Rais Samia awaapisha Balozi Batilda kuwa RC Tabora na Zuwena Omari kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga

Kwahiyo kachoma Mafuta ya Ndege jana kwenda Dodoma ili 'Kuwaapisha' tu hawa? Kwanini ili Kuokoa Pesa za Walalahoi ( Watanzania ) hawa 'Walioapishwa' wao ndiyo wasingekuja Dar es Salaam na Gari zao ili waapishwe?
Tulishasema ukipiga hesabu sawasawa Dodoma ni gharama nyingine, tena kubwa mno.
 
Nafikiri tu Balozi kama angewahi matibabu sahihi nina uhakika leo angekuwepo maskini... jamaa kawakaanga wenzake eti uji wa malimao na nyungu ni dawa ya korona - weeeee !!
Aliwadanganya hadi Watu wa kawaida kuwa Barakoa zimetiwa Sumu na Mabeberu Watu wakaamini na kupelekea kuangamiza Wazee.
 
Aliwadanganya hadi Watu wa kawaida kuwa Barakoa zimetiwa Sumu na Mabeberu Watu wakaamini na kupelekea kuangamiza Wazee.
ha ha ha, jamaa alikuwa na logic za ajabu, kama wazungu wangetaka kutuangamiza sisi weusi why wasubiri hadi kutumia chanjo ya korona au barakoa wakati watoto wote wanachanja chanjo karibia saba kwa nini wasitumie hizo kuangamiza kizazi cha watu weusi, kama wana lengo hilo.
 
Yule Jamaa alikuwa ni Mshamba sana, huwezi kujifungia Ikulu unakesha kwenye YouTube ukiangalia Conspiracy theories sites, halafu unataka kuliendesha taifa kwa utashi wako.
 
Kwahiyo kachoma Mafuta ya Ndege jana kwenda Dodoma ili 'Kuwaapisha' tu hawa? Kwanini ili Kuokoa Pesa za Walalahoi ( Watanzania ) hawa 'Walioapishwa' wao ndiyo wasingekuja Dar es Salaam na Gari zao ili waapishwe?
Huyu mama ameanza kunichosha mapema mno yaani yeye ni kuzurura tu,mara hatujakaa sawa anatuletea mkeka wa hovyo wa ma DC
 
Sio hawazitaki Watu waliambiwa kuwa zimetiwa Sumu na Mabeberu sasa itabidi zitungiwe Sheria ndogo kama Kenya.

Rejea msemo huu...unaweza lazimisha mpeleka ng'ombe mtoni ila kunywa maji inabaki kuwa hiari ya ng'ombe.
 
Katibu twawala wetu mashallah amejaaaliwa, wasukuma tutampenda sana maana hayo ndo mambo yetu.,asante mama.
 
Wamachinga wanauza hatima yao na vitambulisho vyao vipi?
Mpango tulionao nikupeleka mswada bungeni na rais najua atasaini kwamba machinga hawamishwe na kwenda kwenye maeneo ambayo serikali itawahusisha kama wadau wayatambue au watoe mchangowao kuhusu maeneo ,nasheria hiyo itaaza kutumika miaka mitano ijayo.siosasa
 
😳
 
Ile ndege anayotumia ni kubwa sana na sielewi wanakodisha au ndio yaleyale ya shamba la bwana heri?

Namna hii shirika la ATCL haliwezi kurekodi faida hata kidogo sababu mama anatumia ndege kwa gharama zipi? Kama ni za ATCL aisee lile dude ni kubwa sana kupanda yeye na watu wake kadhaa u less wanakodisha na wanakupa hizo fedha.

Lakini tujiulize kwa nini apande lindege likubwa vile ndege ya abiria zaidi ya 180 anapanda yeye na mashosti zake kadhaa? Ndege ya Rais ipo wapi na inafanya nini? Ina maana tunawalipa pilots wa Rais bure? Tunawalipa engineer wa Ile ndege bure? Inakaa bure tu kwa nini? Why kutumia ndege inayofanya biashara kwenye misele yake binafsi?

ATCL inalaumiwa bure tu, Kassim Majaliwa anaitumia, yule Makamu wa Rais hata akienda kusalimia kaburi la Mungu wake anaitumia, what is this ndugu zangu?
 
Ndio ,mana unataja tu machinga machinga ukitamka umetamka watu wafuatao ,mtoto shule(nauli kilasiku ama Ada),kupendeza mkewe,wakwe ,ujenzi nyumba ,siasa itoke ili tuwape mkakati utakaochukua miaka mitano ili kuwaondoa bila shuruti maeneo walipo
 
Back
Top Bottom