Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,729
- 5,640
Nimefika hapa jana nimeona uwanja unatayarishwa kwa shughuli fulani. Nimeuliza kuna nini hapa leo.? Nimeambiwa hapa Leo tunasheherekea Mara Day. Lakini uwanja ni maridadi sana. Nikaambiwa labda neye atafika.
Basi naona hawana habari. Lakini nimeambiwa hapa katika mjengo kwamba Rais atafika Butiama Jumapili katika hizo whirlwind tours zake za Kampeni ya Uchaguzi.
NI vizuri sasa kwamba tunaye Rais Mwislamu.
Rais Samia ni Mwislamu na mpinzani wake Mkuu mpaka sasa ni Mpagani Luhaga Mpina.
Indeed kuna sherehe ya Mara Day hapa Butiama. Nasikia matangazo sasa. Mambo ya kufanya Kampeni ya kupanda miti kando kando ya mto Mara, kufanya kongamani la kuuhifadhi Mto Mara na pia shughuli za utunzaji wa mazingira.
Halafu Jumapili, September 14, Rais Samia atafika.