Zack Abdul JF-Expert Member Joined Mar 9, 2026 Posts 1,170 Reaction score 898 May 27, 2026 #1 Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anataka haki na uadilifu. ■Aapisha majaji wa rufaa, awakumbusha pia uzalendo ■Asisitiza kuepuka upendeleo, kuwa na hofu ya Mungu ■Asema duniani ukiacha Mungu, dhamana kubwa ni yao
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anataka haki na uadilifu. ■Aapisha majaji wa rufaa, awakumbusha pia uzalendo ■Asisitiza kuepuka upendeleo, kuwa na hofu ya Mungu ■Asema duniani ukiacha Mungu, dhamana kubwa ni yao
Kinyungu Platinum Member Joined Apr 6, 2008 Posts 22,833 Reaction score 46,096 May 27, 2026 #2 Angetaka haki angezuia utekaji nanuuaji unaofanyika mchana kweupe kabisa