Rais Samia ashauriwe vyema uchumi unakufa

Walipanga kukusanya bil 150 .
Wamelala bili 42 wanashangilia.

Huyu mama hakuna kitu
 
Tatizo la msingi hapa ni hatari ya kupata uongozi 'kiajali.' Uongozi wa kupatikana kwa kufumba na kufumbua,haya ndio matokeo yake maana unakua hujajiandaa wala kuandaliwa.Uongozi wa namna hii huwa hauna ajenda wala mpango kazi.
 
Yeye na kaka yake ni kitu kimoja hawashauriki hadi mauti iwakute.
 
Hili ni kweli kabisa lipo wazi kwa mtu mwenye akili timamu unagundua wasaidizi wa Mama their not real, Wana msinitch Mama, Kuna vitu wanafanya mpaka unajiuliza Wana Nia njema na Mama kweli Ila muda si mrefu ukweli utafahamika
 
Nachojiuliza ni kwamba yule wazir chemba ya fedha alisema wataachia bil 5 ziende kwenye mzunguko wa hela na watanzania hawataona mzigo wa tozo kwasabu mzunguko wa pesa utakuepo sasa imekuaje?
 
Nakuunga mkono..na hawa vijana wadogo wadogo aliowateua wasichana warembl kabisa ambao hata maisha ya fitna za siasa hawayajui ndiyo wataenda kumharibia kabisa!! Mtu kama ded msichana mrembo kamchagua yule si anashikiliwa tu anatongozwa anapewa kitita cha maana anajengewa nyumba fasta ataacha kumsalit mama anayemwambia chapa kaz tu? Mama apangue saf na achanganye na wabobez wa mambo? Kuchagua vijana warembo siyo sifa
 
waccm mmegeuka wapinzani wa kila kitu
 
Nachojiuliza ni kwamba yule wazir chemba ya fedha alisema wataachia bil 5 ziende kwenye mzunguko wa hela na watanzania hawataona mzigo wa tozo kwasabu mzunguko wa pesa utakuepo sasa imekuaje?
Money injection🀣🀣
 
Ni kweli.

Nchi yoyote inayotegemea zaidi kodi katika maendeleo yake badala ya kutegemea uzalishaji na uuzaji wa huduma na bidhaa nje ya nchi HAIWEZI KUENDELEA

Nchi zinazoendelea kwasasa zinakuza chumi zao kwa exportation zaidi na sio kwa local tax

Rais alizingatie hili
 
Bila kukuza exports ni kazi bure, tunahitaji fedha za kigeni tununue madawa diesel na industrial inputs. Sasa hivi tunanunua zaidi nje kuliko tunavyouza nje, uchumi wetu unategemea utalii, na corona hii bado hatubadiliki ndio kwanza tunaanza Royal tours.

Mie nilitegemea rais angefanya ziara ya kutembelea viwanda na kuzungumza navyo namna gani wata export product zao.

Bank zetu hazijitanui nje ya nchi, tumeshindwa hata kufungua ki mpesa Juba.
 
Huo ni uchumi wakizamani kabla ya vita vya pili vya dunia, leo hii Korea ya kusini 20% ya mapato ya kigeni wanapata kutoka Samsung.
 
Hapo hujazungumzia MIKOPO kutoka nchi wahisani.
 
Magenge ya Cartels yamerudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…