konda msafi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 1,752
- 8,993
Umejibu kama mlevi ila ni maoni yako hata kama ya kilevi tunayaheshimuKwa nini ashauriwe? Yeye mwenyewe kwa akili alizonazo, ana maoni gani?
Nimeridhia nisikujibu. Comment yako imekaa kuharibu mjadala.Ungefuata kanuni bora za uandishi ungeeleweka vizuri bwashee!
Anasema wananchi tumekubalina na tozo na tunaenjoy , na amebariki tozo za Luku ,soon tutakuwa na tozo kwenye sokoniKwa nini ashauriwe? Yeye mwenyewe kwa akili alizonazo, ana maoni gani?
Inasikitisha sana. Kuna mambo huhitaji kuwa mwanauchumi kuyaona hayako sawa.Tatizo kubwa la Mama hadi sasa hajagundua yuko na washauri ambao sio sahihi. Wasaidizi wake wengi wana uchu wa kugombea urais 2025 hivyo wana mgombanisha na wananchi bila yeye kujua...
Alisema ye mtu wa [emoji408][emoji409][emoji410][emoji408] tu yaani anasubiri aletewe mezani watu wamesha mchoreaKwa nini ashauriwe? Yeye mwenyewe kwa akili alizonazo, ana maoni gani?
Huyu si alishangiliwa alipoteua mpaka wasaidizi binafsi wa uchumi? Tulihoji hapa mawaziri wa fedha wanakazi gani tukajibiwa wale wanasiasa wanaweza mshauri vibaya ili waje wagombee huko mbele kwa maslah yao! Sawa ao washauri binafsi aliowateua wanakula tu mishahara ya bure.Tatizo kubwa la Mama hadi sasa hajagundua yuko na washauri ambao sio sahihi. Wasaidizi wake wengi wana uchu wa kugombea urais 2025 hivyo wana mgombanisha na wananchi bila yeye kujua...
Dah! Mambo yapo wazi kabisa. Sijui kwa nini Rais halioni hili? Basi atafute washauri wa maswala ya uchumi wamshauri.Moja wapo ya athari zilizosababishwa na hizi kodi ni mfumuko wa bei Kila mfanyabiashara anangalia maslahi yake angalia bei ya gesi ,mbolea,mafuta,nyama,umeme....? Wenye wizara husika wala hawafatiliii aliongea kalemani gesi ishuke ndani ya siku 14 badala yake ikapanda zaidi
Wakina nani ni washuri wa rais wa uchumi? Kama wapo basi hawamshauri, wanakula mshahara wa bure kama ulivyosema.Huyu si alishangiliwa alipoteua mpaka wasaidizi binafsi wa uchumi? Tulihoji hapa mawaziri wa fedha wanakazi gani tukajibiwa wale wanasiasa wanaweza mshauri vibaya ili waje wagombee huko mbele kwa maslah yao! Sawa ao washauri binafsi aliowateua wanakula tu mishahara ya bure.
bado balaa linakuja ila kwa wakati huu upinzani wakijipanga vizuri bora tuuziwe mbuzi kwenye guniaDah! Mambo yapo wazi kabisa. Sijui kwa nini Rais halioni hili? Basi atafute washauri wa maswala ya uchumi wamshauri.
Tusisubiri tufike hadi Zimbabwe mkuu. Zimbabwe kulikuwa kunatisha, sijui kama bado kuko hivyo ila usiombe nchi ikafikia hali iliyokuwa nayo Zimbabwe. Kuna miaka nilipita Harare hali ilikuwa ya kusikitisha.Sidhani kama kuna ulazima wa kushauriwa katika hili hapa ni yeye mwenyewe akumbuke malalamiko ya wananchi kuhusu tozo hizi.
Hapa ni common sense tu itumike vinginevyo waacheni watuburuze kwa kodi dhalimu halafu tuwe kama Zimbabwe.