Rais Samia apunguza gharama za matibabu ya figo kwa 66% kutoka TZS 300K mpaka 100K

Full Blood Picture

JF-Expert Member
Jan 7, 2021
703
1,000
Watu wa Mungu,

" Nawasalimu kwa Jina la JMT, "

Dialysis ni kitendo cha kuondoa Sumu,Uchafu na ziada ya maji kwenye damu baada ya figo kufeli kufanya kazi hiyo au simply ni kitendo cha kupitisha damu kwenye mashine ili isafishwe,

Rais mnyenyekevu Samia Suluhu Hassan ametangaza kushusha bei ya matibabu ya figo kwa watoto wa masikini wa nchi kwa karibu 70% kutoka Tshs 300,000 ya Sasa mpaka chini ya Tshs 100,000,Mnaposikia tunasema Rais Samia anahuruma kwa watu wake huwa tunamaanisha haya,

Rais Samia pia kupitia MSD ameahidi kununua zaidi ya mashine mpya 7,000 kwaajili ya Vituo vya kutolea huduma elfu 7 na hii ni baada ya Rais Samia kuzia wizi na ubadhilifu kwenye manunuzi ndani ya MSD kwa karibu 50% ya gharama yaani mashine iliyonunuliwa Tshs 100M kabla ya Rais Samia sasa inanunuliwa kwa Tshs 55M tu ,( Fungua hiyo Video chini umsikilize vizuri Director General wa MSD Maj. Gen. Dr. Gabriel Sauli Mhidize,

Taarifa za shirika la afya duniani ( WHO ) za mwaka 2018 zinaonesha jumla ya wagonjwa 2,636 sawa na 1% ya vifo vyote Tanzania hutokana na matatizo ya figo,

.........Kazi iendelee .........

___________________________________________

Relief as dialysis costs set to come down 66 percent

FRIDAY SEPTEMBER 24 2021

Summary
This is after the govt decided to buy the dialysis machines directly from manufacturers

Dar es Salaam.
________________

Come January 2022,
costs of dialysis will come down by 66 percent to Sh100,000 after the government started procuring machines directly from manufacturers.

Currently, a session of dialysis costs between Sh230,000 and Sh300,000.

The government says fixing of the new machines supplied directly by manufacturers for a price that is 47 percent cheaper has started at some of the hospitals across the country, specifically on Mafia Island in Coast Region and Rubia in Kagera Region.

Speaking yesterday, Medical Stores Department’s (MSD) director general Gabriel Mhidize said hospitals that will be receive first instalments include Muhimbili in Dar es Salaam, Udom in Dodoma, Seketure in Mwanza, Chato in Geita Region, Temeke, Amana and Mwananyamala of Dar es Salaam and Tumbi of Coast Region.

“Dialysis procedures are very expensive in Tanzania making it hard for an ordinary citizen to afford,” he said.

Dialysis is the process of removing excess water, solutes, and toxins from the blood in people whose kidneys can no longer perform these functions naturally.

Dr Mhidize said, “We will start with the price of Sh100,000 a session, however it might go lower in future.”

He said by buying machine directly from manufacturers the government has saved nearly Sh18 billion annually.

He said MSD has also started to procure machines and medical equipment at a price of 50 to 100 percent cheaper.

“That is the direction that the National Health Insurance Fund (NHIF) and MSD are taking--cost cutting. For instance, a machine that was sold Sh57 million is now bought at Sh25 million; same for a Sh27 million equipment now is Sh14 million,” he said.

He added: “A machine once sold at Sh14 million now is Sh7 million, while that of Sh7 million is sold at Sh2 million.”

Health minister Dorothy Gwajima said the purchase of the machines was part of the plan to improve health services and infrastructure in the country, a move that needs to go hand in hand with the building of pharmaceutical industries.

“Availability of machines at all hospitals across the country would reduce service costs and save patients money, because there will be no necessity to travel a long distance for the service,” she said
_________________________________________

VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA

View attachment 1951660
Watu wa Mungu hawasalimiani kwa jina la JMT.
 
darcity

JF-Expert Member
Jul 20, 2009
6,220
2,000
Hongera Sana kwa serikali ya awamu ya sita. Wiki chache zilizopitiliza tulisikia Bima ya Afya. Hivi vitu tulidhani Ni nchi tajiri kumbe hata TZ kunawezekana kukaswa na 'OBAMA CARE'.

Ukijumlisha na vifaa Tiba vya kutosha kama hivi na unafuu wake na vituo vya afya vinavyojengwa kupitia tozo za mihamala, kuajiri watumishi sekta ya afya n.k bila shaka Tanzania inaenda kuwa ya mfano barani Afrika.
 
Econometrician

JF-Expert Member
Oct 25, 2013
12,083
2,000
Kwani yeye ndio wakwanza kutawala Tanzania?

Mbona hatukuwa na hizo dialysis machine?

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni,
Hatukuwahi kuwa nazo kwa sababu ya wajinga kama nyie ambao mnadhani Serikali kutekeleza jambo flani ni hisani.Watu wakihoji mnaona hawanazo.

Issue za machine kama hizo ikitakiwa tuwe nazo kwenye kila kituo cha Afya miaka mingi iliyopita.
 
CM 1774858

JF-Expert Member
May 29, 2021
2,439
2,000
Akili kubwa sana hii,

Wakati wote umekuwa mzalendo kwa nchi yako,

Tuko pamoja sana Chief,
Hongera Sana kwa serikali ya awamu ya sita. Wiki chache zilizopitiliza tulisikia Bima ya Afya. Hivi vitu tulidhani Ni nchi tajiri kumbe hata TZ kunawezekana kukaswa na 'OBAMA CARE'.

Ukijumlisha na vifaa Tiba vya kutosha kama hivi na unafuu wake na vituo vya afya vinavyojengwa kupitia tozo za mihamala, kuajiri watumishi sekta ya afya n.k bila shaka Tanzania inaenda kuwa ya mfano barani Afrika.
 
Mungu Mkuu

JF-Expert Member
Apr 9, 2017
509
500
Watu wa Mungu,

" Nawasalimu kwa Jina la JMT, "

Dialysis ni kitendo cha kuondoa Sumu,Uchafu na ziada ya maji kwenye damu baada ya figo kufeli kufanya kazi hiyo au simply ni kitendo cha kupitisha damu kwenye mashine ili isafishwe,

Rais mnyenyekevu Samia Suluhu Hassan ametangaza kushusha bei ya matibabu ya figo kwa watoto wa masikini wa nchi kwa karibu 70% kutoka Tshs 300,000 ya Sasa mpaka chini ya Tshs 100,000,Mnaposikia tunasema Rais Samia anahuruma kwa watu wake huwa tunamaanisha haya,

Rais Samia pia kupitia MSD ameahidi kununua zaidi ya mashine mpya 7,000 kwaajili ya Vituo vya kutolea huduma elfu 7 na hii ni baada ya Rais Samia kuzia wizi na ubadhilifu kwenye manunuzi ndani ya MSD kwa karibu 50% ya gharama yaani mashine iliyonunuliwa Tshs 100M kabla ya Rais Samia sasa inanunuliwa kwa Tshs 55M tu ,( Fungua hiyo Video chini umsikilize vizuri Director General wa MSD Maj. Gen. Dr. Gabriel Sauli Mhidize,

Taarifa za shirika la afya duniani ( WHO ) za mwaka 2018 zinaonesha jumla ya wagonjwa 2,636 sawa na 1% ya vifo vyote Tanzania hutokana na matatizo ya figo,

.........Kazi iendelee .........

___________________________________________

Relief as dialysis costs set to come down 66 percent

FRIDAY SEPTEMBER 24 2021

Summary
This is after the govt decided to buy the dialysis machines directly from manufacturers

Dar es Salaam.
________________

Come January 2022,
costs of dialysis will come down by 66 percent to Sh100,000 after the government started procuring machines directly from manufacturers.

Currently, a session of dialysis costs between Sh230,000 and Sh300,000.

The government says fixing of the new machines supplied directly by manufacturers for a price that is 47 percent cheaper has started at some of the hospitals across the country, specifically on Mafia Island in Coast Region and Rubia in Kagera Region.

Speaking yesterday, Medical Stores Department’s (MSD) director general Gabriel Mhidize said hospitals that will be receive first instalments include Muhimbili in Dar es Salaam, Udom in Dodoma, Seketure in Mwanza, Chato in Geita Region, Temeke, Amana and Mwananyamala of Dar es Salaam and Tumbi of Coast Region.

“Dialysis procedures are very expensive in Tanzania making it hard for an ordinary citizen to afford,” he said.

Dialysis is the process of removing excess water, solutes, and toxins from the blood in people whose kidneys can no longer perform these functions naturally.

Dr Mhidize said, “We will start with the price of Sh100,000 a session, however it might go lower in future.”

He said by buying machine directly from manufacturers the government has saved nearly Sh18 billion annually.

He said MSD has also started to procure machines and medical equipment at a price of 50 to 100 percent cheaper.

“That is the direction that the National Health Insurance Fund (NHIF) and MSD are taking--cost cutting. For instance, a machine that was sold Sh57 million is now bought at Sh25 million; same for a Sh27 million equipment now is Sh14 million,” he said.

He added: “A machine once sold at Sh14 million now is Sh7 million, while that of Sh7 million is sold at Sh2 million.”

Health minister Dorothy Gwajima said the purchase of the machines was part of the plan to improve health services and infrastructure in the country, a move that needs to go hand in hand with the building of pharmaceutical industries.

“Availability of machines at all hospitals across the country would reduce service costs and save patients money, because there will be no necessity to travel a long distance for the service,” she said
_________________________________________

VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA

View attachment 1951660
Hongera mama Samia,

Unafanya kazi nzuri sana,

Watanzania tulio wengi tunakuunga mkono sana,
 
Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
5,424
2,000
Mwambie huyo kama hujakutana na gharama zinazhitaji matumizi ya mashine hizi huwezi jua
Watu wengi wamezikwa kwa kushindwa kumudu hizo gharama, ugonjwa wa figo usikie tu, kuna hospitali unakuta gharama 350,000 kwa siku inabidi mtu asafishe damu mara 3 kwa wiki hiyo ni 1,050,000 na kila akiingia ni masaa 4, akitoka hapo yupo chakari hawezi kufanya shughuli yoyote ya kuingizia kipato angalau yapunguze machungu ya gharama za matibabu, bado diet special...kuna watu wanapitia mateso aisee acha tu !
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom