HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 73,252 Reaction score 103,382 Nov 3, 2022 Thread starter #81 Kenya Zambia Sri Lanka Hawa wanatakiwa wawe mfano kwetu, na si mtu anachukuliwa kwenda kutia saini mkitaba ambayo ukute hawakuipitia au waliyopitia ni tofauti na wanayosaini
Kenya Zambia Sri Lanka Hawa wanatakiwa wawe mfano kwetu, na si mtu anachukuliwa kwenda kutia saini mkitaba ambayo ukute hawakuipitia au waliyopitia ni tofauti na wanayosaini