Sioni kama unayozungumza yana ukweli kwa kiasi kikubwa.Wewe itakuwa ni hao hao walioathirika wa historia.Mwarabu anavyomtreat mzungu sio sawa na amavyo m treat mwafrica
Jambo la pili waarabu wako too tricky nimefanya nao kazi zaidi ya miaka 15 nawajua vizuri mambo yao hayajanyooka hasa ao waarabu wa Dubai huwa wana calculate risk kwao tuu sio kwako
Pia wakipata wanachokitaka hukimbia mail Mia na kukuacha solemba
Hivyo Rais asichukulie poa hili swala ni linahitaji umakini mkubwa
Una umri gani?Uje na sababu haswa ni kwanini ashindwe kuwa kiongozi. Kasumba hizi za mtaani zitaishia kukupa maumivu ya moyo.
Nusu karne.Una umri gani?
MaombiGwajima??anaenda ongeza nini kwenye negotiation??
Nimefuatilia huu mjadala, watu wengi wanaonyesha Rais anazungukwa, Bado hawaamini moja kwa moja Kama Hilo suala analifahamu kiundani, ndio maana watu wengi wanapeleka lawama bungeni, kimsingi jinsia yake inamlinda watu kumshambulia moja kwa moja kupitia udhaifu wa huu mkataba, angekuwa mwanaume mishale ingempata moja kwa moja, kuanzia Sasa nakuendelea ninayoyaona kwa TULIA na namba moja napendekeza mwanamke asiwe kiongozi wa serikali.Uje na sababu haswa ni kwanini ashindwe kuwa kiongozi. Kasumba hizi za mtaani zitaishia kukupa maumivu ya moyo.
Mkuu umeandika kwa vijembe ila kelele zetu zinasaidia hao wabunge wengi njaa tupu mpaka kichwani ila yote kwa yote mambo yawekwe hadharani maana huu muungano una mashaka muda wowote tunaweza kawana Sasa tukiingia mkataba mbovu sisi tanganyika sindo itakula side yetuUmeandika wivu mtupu. Wabunge wamepelekewa azimio na wamelifanyia kazi. Hayo mambo ya waarabu wa Dubai na wale waafrika ni maneno ya kike, ni kulia wivu, kulia chuki na kulia hasira.
Uwekezaji utakuja na kuzifaidisha pande mbili zote. Walioamua kujenga SGR waliona mbali kwamba ipo siku utafanyika uwekezaji mkubwa kulingana na mahitaji ya usafiri mzima wa reli.
Kama Kenya kapoteza fursa ya kiuchumi na anakwenda kuburuzwa na Tanzania hayo ni matatizo yenu ya ndani.
Alaumiwe JPM aliyemchukua kuwa makamu wake tangu 2015. Kwa taarifa yako Rais anao washauri wenye elimu na wazalendo pengine kuliko mimi na wewe, wanaishi kwa kazi hiyo maalum ya kumshauri Rais.Nimefuatilia huu mjadala, watu wengi wanaonyesha Rais anazungukwa, Bado hawaamini moja kwa moja Kama Hilo suala analifahamu kiundani, ndio maana watu wengi wanapeleka lawama bungeni, kimsingi jinsia yake inamlinda watu kumshambulia moja kwa moja kupitia udhaifu wa huu mkataba, angekuwa mwanaume mishale ingempata moja kwa moja, kuanzia Sasa nakuendelea ninayoyaona kwa TULIA na namba moja napendekeza mwanamke asiwe kiongozi wa serikali.
Kama wewe ni mtanzania halisi inakubidi ujifunze kuwa mzalendo. Tanzania kuweza kuingia katika makubaliano na DP World ni faida kwetu sisi kuliko Kenya waliokosa hii biashara haswa na DRC pamoja na Rwanda.Mkuu umeandika kwa vijembe ila kelele zetu zinasaidia hao wabunge wengi njaa tupu mpaka kichwani ila yote kwa yote mambo yawekwe hadharani maana huu muungano una mashaka muda wowote tunaweza kawana Sasa tukiingia mkataba mbovu sisi tanganyika sindo itakula side yetu
Too late samaki ameshameza chamboRais samia usisahau mwaka jana Rais wa Malawi Chakwera alibaki mdomo wazi baada ya kupigwa na kitu kizito wajanja walimuingiza mjini walimpoteza maboya yeye mwenyewe, waziri wa kiliimo na waziri wa fedha hivyo kuwa makini sana hili game ni game kama ma game mengine cheza kwa tahadhari.
Dp World anaweza kuiajiri TICC iliyofeli kama sub contract akaendelea kula cha juu. Akili za waarabu haziaminiki sometimes
Sekta ya bandari ndio sekta inayobeba uchumi mkubwa wa dunia pia ndio sekta yenye matapeli wakubwa mithili ya nyangumi wasio na huruma. Watu hao hutafuta upenyo wa dili moja tuu la matrilion kisha hupiga pakubwa na kupumzika
Sasa kwenye mkataba wa makubaliano uliyompa ridhaa Prof. Mbarawa ku sain kuna udhaifu ambao wachache tumegundua.
Kwanza Tanzania imekubali kuwa inferior kwa Dubai na wakati Tanzania ndio host region na owner wa rasilimali. Uo mkataba wa awali ulitakiwa uoneshe authority na muscles za Tanzania sababu DP World hana anachomiliki zaidi ya technology ambayo kimsingi sio yeye pekee kwenye hii dunian. Kitendo cha framework kuja bila time frame, requirements wala dissolution ni kuonesha waziri wako na timu yake walifeli kwenye bargaining power. Pia imeonesha sehemu kubwa imekubaliwa na waarabu wa Dubai na ni sehemu ndogo tuu ya huo mkataba ndio imekubaliwa na Tanzania
Unaweza ukawa msomi sana kama Prof. Mbarawa ila huna exposure.
Waliokushauri ulete azimio bungeni huenda wakawa wamekupoteza sababu kwa azimio hilo huwezi kurudi kunyume nyume lazima tuu ukubaliane na DP World sasa kama hukumalizana nao ndio umeingia chaka wataalamu wako watakuwa wamekupoteza na hutaweza kukubali kuwapa advantage wapinzani kwa kufuta azimio.
Angalizo. Waarabu wa Dubai wanawaona waarabu wa Africa sio waarabu bali ni waafrica. Na kwa asili Mwarabu akipata hapokei simu
Sasa ukianza kupiga simu Dubai hawapokei usishangae
Sasa tega na tegua uo mtego kwa tahadhari. Mbarawa pekeyake atakuangusha ongeza timu kwenye hili swala Chukua vichwa hivi
Mwanasheria mkuu wa serikali
Prof kabudi
Chenge
Gwajima
Masaju
Pascal Mayala
Tulia - awe ana backup
Ccm 3
Tiss 3
Ofisi yako 3
Wachumi 2 nje ya wizara
Ma engineer 3
Independent harbour operator consultants 2
Yaani na wewe uwe muuni
Ili wakileta za kuleta una cancel na io timu inakusafisha unabaki msafi bila doa
Usiamini vitu kwa urahisi lazima waarabu wajue uko serious na waone u serious huo kwenye process za mikataba
Ukiona wamekimbia jua walitaka kuiba
Hujaelewa kasome tenaUmeandika wivu mtupu. Wabunge wamepelekewa azimio na wamelifanyia kazi. Hayo mambo ya waarabu wa Dubai na wale waafrika ni maneno ya kike, ni kulia wivu, kulia chuki na kulia hasira.
Uwekezaji utakuja na kuzifaidisha pande mbili zote. Walioamua kujenga SGR waliona mbali kwamba ipo siku utafanyika uwekezaji mkubwa kulingana na mahitaji ya usafiri mzima wa reli.
Kama Kenya kapoteza fursa ya kiuchumi na anakwenda kuburuzwa na Tanzania hayo ni matatizo yenu ya ndani.
Absolutely ndio maana kwa kusoma kilichoandikwa kwenye mikataba nikapata kujua nia na position yaoMwarabu siku zote anamwona Mwafrika kama mtumwa na anamdharau mikataba yake na nchi za kiafrika ni tofauti ma nchi za ulaya. Milele mwarabu anamwogopa Sana mzungu
Umeanza vizuri ila hapo ulipomtaja nyangumi chenge ndio umezingua hyo fisadi kwenye nchi zinafuata sheria angekuwa ameshanyongwa licha ya kuwa bado yupo bungeni mpaka sasa.Rais samia usisahau mwaka jana Rais wa Malawi Chakwera alibaki mdomo wazi baada ya kupigwa na kitu kizito wajanja walimuingiza mjini walimpoteza maboya yeye mwenyewe, waziri wa kiliimo na waziri wa fedha hivyo kuwa makini sana hili game ni game kama ma game mengine cheza kwa tahadhari.
Dp World anaweza kuiajiri TICC iliyofeli kama sub contract akaendelea kula cha juu. Akili za waarabu haziaminiki sometimes
Sekta ya bandari ndio sekta inayobeba uchumi mkubwa wa dunia pia ndio sekta yenye matapeli wakubwa mithili ya nyangumi wasio na huruma. Watu hao hutafuta upenyo wa dili moja tuu la matrilion kisha hupiga pakubwa na kupumzika
Sasa kwenye mkataba wa makubaliano uliyompa ridhaa Prof. Mbarawa ku sain kuna udhaifu ambao wachache tumegundua.
Kwanza Tanzania imekubali kuwa inferior kwa Dubai na wakati Tanzania ndio host region na owner wa rasilimali. Uo mkataba wa awali ulitakiwa uoneshe authority na muscles za Tanzania sababu DP World hana anachomiliki zaidi ya technology ambayo kimsingi sio yeye pekee kwenye hii dunian.
Kitendo cha framework kuja bila time frame, requirements wala dissolution ni kuonesha waziri wako na timu yake walifeli kwenye bargaining power. Pia imeonesha sehemu kubwa imekubaliwa na waarabu wa Dubai na ni sehemu ndogo tuu ya huo mkataba ndio imekubaliwa na Tanzania
Unaweza ukawa msomi sana kama Prof. Mbarawa ila huna exposure.
Waliokushauri ulete azimio bungeni huenda wakawa wamekupoteza sababu kwa azimio hilo huwezi kurudi kunyume nyume lazima tuu ukubaliane na DP World sasa kama hukumalizana nao ndio umeingia chaka wataalamu wako watakuwa wamekupoteza na hutaweza kukubali kuwapa advantage wapinzani kwa kufuta azimio.
Angalizo. Waarabu wa Dubai wanawaona waarabu wa Africa sio waarabu bali ni waafrica. Na kwa asili Mwarabu akipata hapokei simu
Sasa ukianza kupiga simu Dubai hawapokei usishangae
Sasa tega na tegua uo mtego kwa tahadhari. Mbarawa peke yake atakuangusha ongeza timu kwenye hili swala Chukua vichwa hivi.