Rais Samia anayo nia njema lakini Viongozi wa CHADEMA hawaaminiki

zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
7,138
7,713
Kitendo kilicho fanywa na Mhe. Rais Samia cha kukutana na Kiongozi wa chama cha Upinzani Mh.Mbowe mara baada ya kuachiwa huru ni mwanzo mzuri wa kuimarisha demokrasia ya vyama vya upinzaani nchini.

Ni dhahiri shahiri kuwa Mama ana nia ya dhati ya kutaka kushirikiana na vyama vyote vya upinzani hususan chama kikuu cha upinzaani chadema.

ni dhahiri shahiri kuwa Rais anania ya dhati ya kuzika chuki za nyuma za kisiasa na kufungua ukurasa mpya wa kuijenga nchi yetu kwa pamoja.

Tunafahamu kuwa democracy is not only about election but also how you treat opposition parties.Rais Samia ameamua kushirikiana kwa ukaribu na vyama vya upinzani.

hofu na mashaka ni kwa viongozi wa Chadema;
Viongozi wa chadema hawaaminiki...wengi wao ni wanafiki wa viwango vya juu.
1.Viongozi wa chadema sio wazalendo.

2.Ving'ang'anizi kwa kile wanacho taka wao tu.

3. hawana uvumilivu wala busra, hawakawii kuto lugha za matusi na kejeli.
n.k n.k n.k

Viongozi wa chadema badilikeni ili nchi yetu isonge mbele,
sisi wananchi tunataka maendeleo sio malumbano ya ovyo.
Mhe. Rais Samia kafungua mlango, sasa kazi kwa Mh. Mbowe na yeye kuonyesha njia ya mshikamano kwa watanzania wote.
Njia pekee ya kujenga msingi wa kuaminiana ni kuli zetu zinazo ambatana na matendo sahihi.
 
Kitendo kilicho fanywa na Mhe. Rais Samia cha kukutana na Kiongozi wa chama cha Upinzani Mh.Mbowe mara baada ya kuachiwa huru ni mwanzo mzuri wa kuimarisha demokrasia ya vyama vya upinzaani nchini.

Ni dhahiri shahiri kuwa Mama ana nia ya dhati ya kutaka kushirikiana na vyama vyote vya upinzani hususan chama kikuu cha upinzaani chadema.

ni dhahiri shahiri kuwa Rais anania ya dhati ya kuzika chuki za nyuma za kisiasa na kufungua ukurasa mpya wa kuijenga nchi yetu kwa pamoja.

Tunafahamu kuwa democracy is not only about election but also how you treat opposition parties........Rais Samia ameamua kushirikiana kwa ukaribu na vyama vya upinzani.

Tutafika kweli kwa fikra mfu kama hizi ????????
 
Mkuu, hao CHADEMA ni chama cha upinzani. Wana haki na wajibu wa kupinga kile wasichokiamini. SSH naye hawajibiki kwa CHADEMA. Yeye anatekeleza ilani ya CCM. Walichaguliwa kutekeleza ilani ya CCM, so hizo kelele za CHADEMA hazitakiwi kuwa kikwazo kwake kutimiza majukumu yake
 
Hivyo unavyovilalamikia CHADEMA hawana sijui hawavitaki sijui hawaaminiki ndio UIMARA wa CHADEMA ndugu, tukifuata vyote wanavyotaka ccm tutakuwa chama gani? Hujui chochote wewe tulia tu, mpaka hapa ilipo CHADEMA ipo kwasababu ya UIMARA wa VIONGOZI wake na KATIBA ilio BORA.
 
Kuaminika kwa viongozi wa chadema maanake wakubaliane na sisiem inavyotaka. Ukikubaliana na nao unakuwa km tlp, cuf ya lipumba, na wale wengineo. Kila wanachosema sisiem wao wanasema ndio mzee
 
Kitendo kilicho fanywa na Mhe. Rais Samia cha kukutana na Kiongozi wa chama cha Upinzani Mh.Mbowe mara baada ya kuachiwa huru ni mwanzo mzuri wa kuimarisha demokrasia ya vyama vya upinzaani nchini.

Ni dhahiri shahiri kuwa Mama ana nia ya dhati ya kutaka kushirikiana na vyama vyote vya upinzani hususan chama kikuu cha upinzaani chadema.

ni dhahiri shahiri kuwa Rais anania ya dhati ya kuzika chuki za nyuma za kisiasa na kufungua ukurasa mpya wa kuijenga nchi yetu kwa pamoja.

Tunafahamu kuwa democracy is not only about election but also how you treat opposition parties........Rais Samia ameamua kushirikiana kwa ukaribu na vyama vya upinzani.

hofu na mashaka ni kwa viongozi wa Chadema;
Viongozi wa chadema hawaaminiki...wengi wao ni wanafiki wa viwango vya juu.
1.Viongozi wa chadema sio wazalendo.

2.Ving'ang'anizi kwa kile wanacho taka wao tu.

3. hawana uvumilivu wala busra, hawakawii kuto lugha za matusi na kejeli.
n.k n.k n.k

Viongozi wa chadema badilikeni ili nchi yetu isonge mbele,
sisi wananchi tunataka maendeleo sio malumbano ya ovyo.
Mhe. Rais Samia kafungua mlango, sasa kazi kwa Mh. Mbowe na yeye kuonyesha njia ya mshikamano kwa watanzania wote.
Njia pekee ya kujenga msingi wa kuaminiana ni kuli zetu zinazo ambatana na matendo sahihi.

Kwa haya maelezo yako hapa maana yake unakiri Mbowe siyo gaidi bila shaka! Uvccm mnafurahisha sana.
 
kubaini kuwa Mbowe alikuwa Gaidi au la hiyo ilikuwa kazi ya Mahakama, ila kwa sasa sio hoja tena ya kuijadili.
Tunacho kijadili hapa sasa ni; Ushirikiano wa kuwaletea maendeleo wananchi...baada ya Mhe. Rais kuonyesha nia ya dhati kushirikiana na vyama vya siasa.

Kuna tatizo la kuto kuaminiana pande zote haswa Chadema......viongozi wa chadema hawaaminiki , vigeugeu, wazandiki, vibaraka wa mabeberu....n.k

Je? viongozi wa chadema wataachana na tabia hizo na wakashirikiana na Serikali kwa masilahi ya watanzania?
 
Kuna hali ya kuumia ndani kabisa moyoni mwa mleta uzi.Ukimsoma juujuu utadhani ameandika kwa uzalendo kumbe roho inamuuma sana Mbowe kuwa huru kwa kesi ya kijinga.
 
1.Viongozi wa chadema sio wazalendo.

2.Ving'ang'anizi kwa kile wanacho taka wao tu.

3. hawana uvumilivu wala busra, hawakawii kuto lugha za matusi na kejeli.
n.k n.k n.k
Unasema viongozi wa CHADEMA sio wazalendo, je uzalendo ni nini? Ni kiongozi gani wa CHADEMA aliuza Loliondo Gate? Kiongozi gani wa CHADEMA alishiriki wizi wa Escrow, EPA etc.

CCM nyie ndio sio wazalendo hii nchi ingekuwa mbali sana kama mngeweka mbele maslahi ya taifa badala ya mitumbo yenu.
 
kubaini kuwa Mbowe alikuwa Gaidi au la hiyo ilikuwa kazi ya Mahakama, ila kwa sasa sio hoja tena ya kuijadili.
Tunacho kijadili hapa sasa ni; Ushirikiano wa kuwaletea maendeleo wananchi...baada ya Mhe. Rais kuonyesha nia ya dhati kushirikiana na vyama vya siasa.

Kuna tatizo la kuto kuaminiana pande zote haswa Chadema......viongozi wa chadema hawaaminiki , vigeugeu, wazandiki, vibaraka wa mabeberu....n.k

Je? viongozi wa chadema wataachana na tabia hizo na wakashirikiana na Serikali kwa masilahi ya watanzania?
Fikiri kabla. Nani vigeugeu kama CCM? Nani mafedhuli kama makijani? Nani wazandiki kama wao??????

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Sisi ni washindi
Mbowe
  1. alikamatwa
  2. akashitakiwa
  3. ushahidi ukaonyesha ana kesi ya kujibu
  4. kesi ikaondolewa mahakamani kwa hiari na mwenye mamlaka hayo Kikatiba- katiba bora kabisa
bahati mbaya kesi imeondolewa na mahakama.
haijatamkwa kama mbowe hana hatia ya Ugaidi, hivyo Mbowe bado anazo tuhuma za ugaidi kwa kuwa mhakama haija thibitisha vinginevyo.
 
Unasema viongozi wa CHADEMA sio wazalendo, je uzalendo ni nini? Ni kiongozi gani wa CHADEMA aliuza Loliondo Gate? Kiongozi gani wa CHADEMA alishiriki wizi wa Escrow, EPA etc.

CCM nyie ndio sio wazalendo hii nchi ingekuwa mbali sana kama mngeweka mbele maslahi ya taifa badala ya mitumbo yenu.
Mimi hapa sitetei chama chochote wala sio mwanachama wa chama chochote bali ni mshabaki wa chama chochote kinacho simamia misingi ya kizalendo.

ni kweli hata ccm wapo baadhi ambao sio wazalendo pia chadema wapo, watu wote wa aina hiyo hawatufai ktk kuleta maendeleo ya nchi.
 
Back
Top Bottom