Rais Samia anatarajia kuanza ziara ya kikazi nchini Marekani

Nchi yetu bado tunaishi kwa kuhemea.kuwa na rais mwanamke ni hatari.anaweza akaenda kuhemea akaolewa hukohuko.aio maneno yangu ni ya mwalimu Nyerere mwaka 1995 pale Dodoma
Wacha ujinga we kuwa na heshima kwa mwanamke ndiye aliyekuwa na kukulea mpaka ukafika hapo na dharau zako kwa mwanamke mwanamke ndiye mtunza familia wakati baba ako akitoka kwenda baa kunywa na kushulika na machangu doa. Sote tunaona nchi ilivyobadilika toka mama samia achukuwe uongozi hakuna manyanyaso hakuna amri za wakuu wa mikoa na wilaya kutia watu ndani hovyo hatuoni udhalilishaji wa wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama kulazimishwa kuhudhuria kila kwenye ghafla za kuapishwa watendaji ikulu, utekwaji wa watu umeondoka kabisa kwa kweli amani imeanza kurudi.
 
Wakuu Kazi iendeleee na Mama anaupiga Mwingi

Taarifa zilizopo ni kwamba inadaiwa Rais Samia ana ziara ya kikazi Kwa Joe Biden.

Ataanza ziara hiyo wakati atakapomaliza Kurecord Kipindi Cha Royal Tour, Na Kesho Atakuwa Yuko Mwanza.

Akifika Marekani atapokekewa na Mwenyeji Wake Waziri wa Fulani Ambae Hajatajwa Mpaka Sasa.

Hakika Ziara zimeanza na Zimetaradadi.

Weki Iendelee Wakuu
Rais unapokelewa na waziri ni tusi
 
Asante kwa taarifa ya ukweli
 
Hivi mama anakwenda na ndege ipi huko unyamwezini.. ni ile airbus au dreamuliner..
 
Watanzania tuna roho mbaya,wivu unaozaa ushirikina ndani.Ivi raisi kusafiri ziarani nalo ni swala la ku doubt mnataka awe anakaa kijiweni na nyie ku discuss watu?. Ebu ifike mahala akili zetu zipevuke wajameni
 
Wakuu Kazi iendeleee na Mama anaupiga Mwingi

Taarifa zilizopo ni kwamba inadaiwa Rais Samia ana ziara ya kikazi Kwa Joe Biden.

Ataanza ziara hiyo wakati atakapomaliza Kurecord Kipindi Cha Royal Tour, Na Kesho Atakuwa Yuko Mwanza.

Akifika Marekani atapokekewa na Mwenyeji Wake Waziri wa Fulani Ambae Hajatajwa Mpaka Sasa.

Hakika Ziara zimeanza na Zimetaradadi.

Weki Iendelee Wakuu
Acha uzushi.
 
Back
Top Bottom