Rais Samia anatarajia kuanza ziara ya kikazi nchini Marekani

Wakuu Kazi iendeleee na Mama anaupiga Mwingi

Taarifa zilizopo ni kwamba inadaiwa Rais Samia ana ziara ya kikazi Kwa Joe Biden.

Ataanza ziara hiyo wakati atakapomaliza Kurecord Kipindi Cha Royal Tour, Na Kesho Atakuwa Yuko Mwanza.

Akifika Marekani atapokekewa na Mwenyeji Wake Waziri wa Fulani Ambae Hajatajwa Mpaka Sasa.

Hakika Ziara zimeanza na Zimetaradadi.

Weki Iendelee Wakuu
Kwa mtazamo wangu.. kuna matatizo huwa ni magumu kusolve mpaka pale unapopata exposure ukiachilia kuleta mahusiano mazuri ya kimataifa Kwa nchi..
 
Utajiri wa kutosha tunao humuhumu ikiwemo kuboresha miundo mbinu ya umwagiliaji, umeme, maji, barabara n.k

Hakuna hela nje za ncho huko za kubadilisha maisha ya Mtanzania. Ni basi tu Mungu kamchukua JPM mapema, ila ukwel yule alikuwa kwenye njia sahihi za kufikisha nchi sehemu nzuri sanaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaonaje ukamfuata huyo mwendazake huko aliko.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Asije kua vasco da gama wa kike. 😂🤣Magufulist na kwa desturi msimamo wa tz hatuiamini marekani na sera zake za kibeberu. Mama awe makini awapo na wamarekani kwani saa zote lengo lao kumpata kibaraka wa kutumikia maslahi yao.
Marekani ana shida gani na "Shithole Country" kama hii, 70% wanaishi chini ya dola moja.
 
Kutibiwa na ziara ya kiserikali? Acha upumbavu,anaweza kualikwa au kwenda kushiliki tukio la kibiashara nk .

Kwani Marais wengine huwa wanafanya ziara gani? Alikofanya hivi punde kwenye nchi za jirani hazikuwa ziara za kawaida?
Sawa nitajie ziara ya kiserikali ya rais kutoka africa kwenda nchini marekani ukiondoa Misri, south africa na Nigeria
 
Karibu Nyamagana na Weki Iendeleee
255622250250_status_fa8b86a96ae047ea82ec313768347a78.jpg
 
Wakuu Kazi iendeleee na Mama anaupiga Mwingi

Taarifa zilizopo ni kwamba inadaiwa Rais Samia ana ziara ya kikazi Kwa Joe Biden.

Ataanza ziara hiyo wakati atakapomaliza Kurecord Kipindi Cha Royal Tour, Na Kesho Atakuwa Yuko Mwanza.

Akifika Marekani atapokekewa na Mwenyeji Wake Waziri wa Fulani Ambae Hajatajwa Mpaka Sasa.

Hakika Ziara zimeanza na Zimetaradadi.

Weki Iendelee Wakuu
Sasa kama akienda Marekani sisi tufanyeje?
 
Tuwe wakweli hapa - kama tuna nia/lengo thabiti la kuendeleza taifa letu kiviwanda, kiuchumi na sayansi na teknolojia basi tushikamane na Wachina, hao ndio watatufikisha mbali bila strings attached - Wachina hawana hulka za kukuchagulia rafiki - kama kweli madam President amepangiwa kwenda kumtembelea Biden - nawahakikisheni somo LA kwanza kutoka White House kwa ugeni kutoka Tanzania kutahusu ubaya wa ujio wa Wachina Barani Afrika - zitatolewa ahadi lukuki zenye lengo la kuendeleza bara la Afrika ili lihachane na Wachina.Lakini ukiwahoji akina Biden na Makamu wake kwamba nchi nyingi Barani Afrika zilipata Uhuru zaidi ya miaka 60 uliyo pita - watutajie viwanda vingapi vya kimerikani viliwahi kujengwa barani Afrika, infrastructure ngapi za reli na barabara,mashule, Hospitali,mawasiliano kwa njia za simu nk - hakuna!!

Wao wanachangamkia sana masuala kushirikisha baadhi ya majeshi barani Afrika kwenye mazoezi ya pamoja chini ya Jenerali wa Merikani African Command - wanasema hiyo ni njia moja wapo ya kukabiriana na ugaidi. Kipa umbele kwao ni kuwadhibiti magaidi maendeleo barani Afrika wao wanayachukulia kama ni secondary, sisemi wanakosea kukabiriana na ugaidi lakini wajaribu ku-strike a balance katika vipa umbelewe vyao barani Afrika.
 
Nchi yetu bado tunaishi kwa kuhemea.kuwa na rais mwanamke ni hatari.anaweza akaenda kuhemea akaolewa hukohuko.aio maneno yangu ni ya mwalimu Nyerere mwaka 1995 pale Dodoma
We mzee

ujue wamama hawapendi hizi kauli
 
Wakuu Kazi iendeleee na Mama anaupiga Mwingi

Taarifa zilizopo ni kwamba inadaiwa Rais Samia ana ziara ya kikazi Kwa Joe Biden.

Ataanza ziara hiyo wakati atakapomaliza Kurecord Kipindi Cha Royal Tour, Na Kesho Atakuwa Yuko Mwanza.

Akifika Marekani atapokekewa na Mwenyeji Wake Waziri wa Fulani Ambae Hajatajwa Mpaka Sasa.

Hakika Ziara zimeanza na Zimetaradadi.

Weki Iendelee Wakuu
kazi iendeleee
 
Mungu wabariki wazungu
 
Back
Top Bottom