Wengi ni loudspeakerYes na hapo ndio umuhimu wa katiba mpya unapokuja
Makamu wa raisi wengi hawanaga uwezo kabisa
Genta hawa wapuuzi hawawezi kukuelewa my my manKuna Mmoja namjua Kahonga sana na Karoga mno ila Uteuzi bado umempitia tu Kando ( Kaukosa ) je, huyu Mtu tumsaidiaje Mkuu? Na je, huku Kukosa kote kote kwa Kuhonga na Kuroga 'Kitaalamu' kunaitwaje?
Achague pakwenda mambo yaisheDollar Rajab Kusenge Ameteuliwa Mara Mbili Kuwa Mkurugenzi Kwenye Miji Tofauti
Kwa Mujibu wa Ripoti iliyotoka Ameteuliwa Kuwa Mkurugenzi wa Mji wa Njombe na Pia Ameteuliwa Kuwa Mkurugenzi wa Wilaya ya Kasulu
View attachment 1877258
Hiyo kutokuwa makini na katabia ka kukosa uadilifu kwa maafisa wetu serikalini ni chanzo kikubwa cha yote haya. Kuna kujuana sana na kubebana. Sisi bado hatujafikia kiwango cha kutazama matokeo ya jambo lilipo mezani, sisi tunajali mahusiano zaidi. Yani hatupo result-oriented. So, hao wanaohusika na vetting ndiyo wana shida, wapigiana pasi tu. Ilipaswa mama awakamue pale wanapomlisha shudu.Bado nashindwa kuelewa ni either hajauzoea urais au ni kwamba hayupo tu makini.
Moja ya vitu ambavyo ni maajabu sani ni pale unapoona taarifa ya uteuzi kutoka Ikulu ikiwa na makosa kila Mara
Nina mashaka ata na ujuzi na uzoefu wa kazi kwa wateuliwa, inawezekana watu wengi wenye sifa wanaachwa,nimeona watoto wa vigogo kibao ambao sidhani kama wanafahamu changamoto za wakulima vijijini.Bado nashindwa kuelewa ni either hajauzoea urais au ni kwamba hayupo tu makini.
Moja ya vitu ambavyo ni maajabu sani ni pale unapoona taarifa ya uteuzi kutoka Ikulu ikiwa na makosa kila Mara...
Atakwenda mke wakeAchague pakwenda mambo yaishe
Ndio kabisaaHuyu anafaa kuwa waziri was wanawake tyuuu
U
Unateua kitoto kilichotoka juzi shule hata maziwa hayajauka mdomoni kuwa mkurugenzi wa wilaya nafasi ya utendaji serikalini aisee this is too muchWatakuambia yeye analetewa majina
Katiba letu bovu bovu ndio linaendelea kuwabeba.
Hayuko makini aisewMakosa hadi siku alipotangaza msiba wa JPM
akasema ni siku 14
Hahaha wakati ni 21
She needs to seriously clean the house ASAP and massively.Mama anahujumiwa na ****** anashauriwa vibaya.
HUYU MAMA, YEYE AKISHALETEWA MAJINAUnateua kitoto kilichotoka juzi shule hata maziwa hayajauka mdomoni kuwa mkurugenzi wa wilaya nafasi ya utendaji serikalini aisee this is too much
Nafasi kama hizo zinahitaji watu wenye uzoefu wa shughuli za kiserikali kwa miaka 15 consecutively.
Huyo mama yenu hayuko makini
Aliwahi pia mteua yule mpuuzi aliemtishia zitto kumuua eti awe mkurugenzi wa wa tpdc.
Hivi anapitia hayo majini kwa msingi ga Sheria au kwakua yeye ni rais anateua tu anavyojisikia .
Watu wakianza kumzingua na kumdharau asilalame kwamba kuna chokochoko wakati yeye mwenyewe mambo yake yanaendaenda tu .
Nimesikitika Sana
Hahaaaa!!sasa mbona mashambulizi anayaleta langoni kwake!!ana pewa mapande safi badala ya kufunga anaanza kurudisha tena nyuma!!anatupa tabu mabekitulieni tuliii!!mama anaucheza mwingi.
Hapo tumepigwa hakuna kiongoziBado nashindwa kuelewa ni either hajauzoea urais au ni kwamba hayupo tu makini.
Moja ya vitu ambavyo ni maajabu sani ni pale unapoona taarifa ya uteuzi kutoka Ikulu ikiwa na makosa kila Mara.
Taarifa yoyote inayotoka Ikulu inapaswa kuhakikiwa sana kabla ya kwenda kwenye public.
Au niseme ni kawaida yetu sisi ngozi nyeusi kukosa umakini sehemu ambayo tulipaswa kuwa makini.
Na bahati mbaya sana haya makosa hayaishii hapo tu huwa yanakwenda hadi kwenye masuala ambayo huligharimu taifa zima.
Chukulia mfano mikataba inayosainiwa, unabaki kujiuliza hawa viongozi wetu kabla ya kusaini waliisoma kweli?
Mama Samia ulipokosea Mara ya kwanza tuliona ni kawaida, Mara ya pili tukaona aah pengine umepitiwa tu, Mara ya tatu, Mara ya nne?
Shida ni nini huko mbona sisi tunaopenda hii nchi yetu tunapatwa na wasiwasi sana ikiwa jambo Kama hili mnakosa umakini? Au haituhusu?
Makosa kwenye uteuzi yalianza hivi
Kwa lugha nyepesi raisi anapaswa kuteua tena wakurugenzi wawili, ili kuziba nafasi kwenye halmashauri mbili ambazo hazitakuwa na wakurugenzi
- Ulipoteua wakuu wa mikoa
- Ulipoteua wakurugenzi wa mashirika
- Ulipoteua makatibu tawala mikoa na
- Sasa kwenye uteuzi wa wakurugenzi wa halmashauri
Bado sijajua Ikulu wanatumia programu gani ambayo inashindwa kuona duplicate kwenye majina.
Pia ni inaonesha wazi kuwa hakuna uhakiki unaofanyika kwenye taarifa inayoenda public.
Mimi nimetumia haki yangu Kikatiba kukosoa, hivyo Imani yangu umakini utakuwepo kwenye mambo yajayo.