Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,913
- 6,523
Baada ya kufika hapa na kuona umekwenda Chaka, nikajua hata andiko lako ni la kiukurupukaji.Hata Daniel aliambiwa,"Wanataka mfalme? Wape mfalme. Kwa sababu wananikataa MIMI nisiwe Kiongozi wao."
Una akili ndogo kiasi gani?Amepewa fursa ya kuongoza nchi kwa miaka michache tu anataka atupangie mipango ya 2050.
Ndiyo Mhe. Msekwa alikuwa anasema wakati ule,"Kwamba nimesikia watu wanataka kubadili Katiba Magufuli atawale milele. Maneno gani haya?"
Masheikh juzi wameshinda kesi mahkamani,wamekamatwa tena,sasa hii ndio vision ya 2050 tunayotaka.
Rais Samia inamhusu nini Tanzania itakavyokuwa 2050?
Hata Daniel aliambiwa,"Wanataka mfalme? Wape mfalme. Kwa sababu wananikataa MIMI nisiwe Kiongozi wao."
Haitoshi kwamba rasilmali za nchi zinasimamiwa kwa njia ambazo ginaketa mashaka,sasa tunazigeukia fikra za watu tuziongoze mpaka 2050?
Na yule Doris "active" aliyetajwa pale ana shughuli gani? Rais huyu BADO hajachaguliwa na wananchi. Hana mandate ya kufanya grandiose plans. Hana mandate ya kufanya mambo kama haya.
Unauliza,"Lakini Rais Samia si alikuwa mgombea mwenza?" Hebu tazama mfano wa London Johnson aliyemrithi Kennedy. Huyu Johnson hatimaye alikwenda kwenye uchaguzi akashinda, akaapishwa kuwa rais.
Baada ya kuapishwa, kesho yake akaanza kukwapua dhahabu ya Fort Knox. Magari yakaanza kuichukua ile dhshabu yakiongozwa na Lynda Bird.
Kwa hiyo kama kiongozi anataka kufanya mabadiliko makubwa anapaswa kusubiri kwanza apate mandate.
Aisee una tatizo mahali.Amepewa fursa ya kuongoza nchi kwa miaka michache tu anataka atupangie mipango ya 2050.

First born kuwa makini hawajari jina hawa.Kwa hiyo kama kiongozi anataka kufanya mabadiliko makubwa anapaswa kusubiri kwanza apate mandate
Baada ya kufika hapa na kuona umekwenda Chaka, nikajua hata andiko lako ni la kiukurupukaji.
Kukusaidia.
1 Samweli 8:5
[5]wakamwambia, Angalia, wewe umekuwa mzee, na wanao hawaendi katika njia zako; basi, tufanyie mfalme atuamue, mfano wa mataifa yote.
And said unto him, Behold, thou art old, and thy sons walk not in thy ways: now make us a king to judge us like all the nations.
Wewe una akili kubwa kiasi gani?Una akili ndogo kiasi gani?
Una akili ndogo kiasi gani?Wewe una akili kubwa kiasi gani?
Mabilioni ya hela yametafunwa kuandika Katiba Mpya.
Na sasa kuna mpango wa kutumia mabilioni tena kuandika tena Latinna Mpya.
Na sasa huu mpango mwingibe tena wa dira ya 2050?
Wewe ni mtoto wa chekechea ,kila siku unataka kufanya mikutano ya kuuliza ni mambo gani yanaleta maudhi?
Hayo mambo yanayoleta maudhi ungesumbuka kusoma Injili na Torati uongeona kwamba yameandikwa pale.
Rais lazima awe na strong personality.Kwahiyo kila rais anayeingia madarakani anatakiwa awe na mipango ya muda wake tu wa miaka minne?
Hueleweki unataka nini hasa,tulia kisha kunywa maji baridi halafu njoo tena.Rais lazima awe na strong personality.
Umoja wa nchi unategemea plan ya kuongoza nchi itoke kwenye akili moja.
Ni kweli tupu umesema. Samia kwanza alikosea sana kuanza kujidai kugeuza mambo tofauti na alivyokua anaendesha magufuli bila ridhaa kwenye uchaguzi. Ndio maana hadi watu wamemtilia shaka kuhusika na kuishia magufuli. Alianza vijembe kisha kuruhusu uliberali kushika kasi na kukutana na watu kama kina tony blair na kugeuzwa mwigizaji wa cinema kutangaza utalii na majasusi wa kimarekani na hili la kutaka kuuza bandari. Wenye kuipenda tanzania na uhuru wa watu wake lazima kuhakikisha samia haendelei kua rais akimaliza urithi wake 2025.Amepewa fursa ya kuongoza nchi kwa miaka michache tu anataka atupangie mipango ya 2050.
Ndiyo Mhe. Msekwa alikuwa anasema wakati ule,"Kwamba nimesikia watu wanataka kubadili Katiba Magufuli atawale milele. Maneno gani haya?"
Masheikh juzi wameshinda kesi mahkamani,wamekamatwa tena,sasa hii ndio vision ya 2050 tunayotaka.
Rais Samia inamhusu nini Tanzania itakavyokuwa 2050?
Hata Daniel aliambiwa,"Wanataka mfalme? Wape mfalme. Kwa sababu wananikataa MIMI nisiwe Kiongozi wao."
Haitoshi kwamba rasilmali za nchi zinasimamiwa kwa njia ambazo ginaketa mashaka,sasa tunazigeukia fikra za watu tuziongoze mpaka 2050?
Na yule Doris "active" aliyetajwa pale ana shughuli gani? Rais huyu BADO hajachaguliwa na wananchi. Hana mandate ya kufanya grandiose plans. Hana mandate ya kufanya mambo kama haya.
Unauliza,"Lakini Rais Samia si alikuwa mgombea mwenza?" Hebu tazama mfano wa London Johnson aliyemrithi Kennedy. Huyu Johnson hatimaye alikwenda kwenye uchaguzi akashinda, akaapishwa kuwa rais.
Baada ya kuapishwa, kesho yake akaanza kukwapua dhahabu ya Fort Knox. Magari yakaanza kuichukua ile dhshabu yakiongozwa na Lynda Bird.
Kwa hiyo kama kiongozi anataka kufanya mabadiliko makubwa anapaswa kusubiri kwanza apate mandate.
Kwani Nyerere na viongozi wenzake walivyopigania uhuru walihusika vipi na mambo ya mwaka 2023 na kuendelea mbele? Uongozi ni vision. Acha kelele. Muache mama apige kazi.Amepewa fursa ya kuongoza nchi kwa miaka michache tu anataka atupangie mipango ya 2050.
Ndiyo Mhe. Msekwa alikuwa anasema wakati ule,"Kwamba nimesikia watu wanataka kubadili Katiba Magufuli atawale milele. Maneno gani haya?"
Masheikh juzi wameshinda kesi mahkamani,wamekamatwa tena,sasa hii ndio vision ya 2050 tunayotaka.
Rais Samia inamhusu nini Tanzania itakavyokuwa 2050?
Hata Daniel aliambiwa,"Wanataka mfalme? Wape mfalme. Kwa sababu wananikataa MIMI nisiwe Kiongozi wao."
Haitoshi kwamba rasilmali za nchi zinasimamiwa kwa njia ambazo ginaketa mashaka,sasa tunazigeukia fikra za watu tuziongoze mpaka 2050?
Na yule Doris "active" aliyetajwa pale ana shughuli gani? Rais huyu BADO hajachaguliwa na wananchi. Hana mandate ya kufanya grandiose plans. Hana mandate ya kufanya mambo kama haya.
Unauliza,"Lakini Rais Samia si alikuwa mgombea mwenza?" Hebu tazama mfano wa London Johnson aliyemrithi Kennedy. Huyu Johnson hatimaye alikwenda kwenye uchaguzi akashinda, akaapishwa kuwa rais.
Baada ya kuapishwa, kesho yake akaanza kukwapua dhahabu ya Fort Knox. Magari yakaanza kuichukua ile dhshabu yakiongozwa na Lynda Bird.
Kwa hiyo kama kiongozi anataka kufanya mabadiliko makubwa anapaswa kusubiri kwanza apate mandate.
Nchi inapaswa kuwa na mipango ya muda mrefu (miaka 50 - 100). Kama rais Samia ana mtazamo huu ni jambo jema sana. Tumpe moyo.Rais Samia inamhusu nini Tanzania itakavyokuwa 2050?