Rais Samia anaogopa vipi chama kisicho na mbunge?

Rais Samia anaogopa vipi chama kisicho na mbunge?

Yaani CHADEMA hawana mbunge hata mmoja lakini Samia na magenge yake wanaogopa chadema kama vile kinalingana wabunge na ccm.

Yaani mnadhani Chadema ni Mbowe?

Yaani mpaka Leo bado hamjui Chadema ni nini na mtumie njia gani kupambana nayo?

Mnakuwa waoga waoga tu hata kulala hamlali macho yanawavimba? Kazi kukaa mkifikiria chama ambacho hakina mbunge hata mmoja.

Na wabunge 99% lakini hamjiamini tu?

Ushauri
Chadema wanataka haya
Katiba mpya ya wananchi
Utawala wa sheria
Uwazi wa mikataba
Uhuru wa vyombo vya habari
Uchumi shirikishi
Kodi iliyona ya haki
Diplomasia ya kimataifa.

Mkitaka kukiua chadema fanyeni hayo ila mkitaka kufa nyie mmoja baada ya mwingine shupazeni shingo tu.
ndio kwanza kazi imeanza
 
nchi ikiweza kuyafanya haya kwa ufasaha itakuwa nchi ya asali na maziwa lakini ndugu hebu niambie nchi iliyoyaweza haya ambayo chadema unasema wanayataka ukinionyesha nchi moja tyu nahamia huko maana itakuwa ni paradiso maana hata ulaya hawawezi wenye uchumi uliosabiti
Wewe acha porojo bhana!
Unaonesha unaishi ndani ya Box. Think big and come out of the box!
Afrika nakupa 1.........BOTSWANA.
Amerika Kaskazi 1......USA.
Ulaya nakupa 3........Sweden,Norway na Finland.
Umeelewa ??? Unless you don't know what you're talking about!!!
 
Wewe acha porojo bhana!
Unaonesha unaishi ndani ya Box. Think big and come out of the box!
Afrika nakupa 1.........BOTSWANA.
Amerika Kaskazi 1......USA.
Ulaya nakupa 3........Sweden,Norway na Finland.
Umeelewa ??? Unless you don't know what you're talking about!!!
0ndugu mimi sipo kishabiki ndugu unauhakika hizo nchi kwo hazina matatizo kabisa? you are not serious maana hayaop yote yakitimia nchi haiwezi kuwa na shida hata kidogo na uchmi lazima uwe juu sana
 
Kuna mambo yanakera sana! Yaani wakimbizi na wahamiaji kutoka nchi jirani ndiyo wanawatesa wazawa!!
 
hahahahahahaha...kwa hiyo chizi akijisaidia barabarani akazuiwa na kuonyeshwa sehemu stahiki ya kuweka uchafu wake ndio kaogopwa..

Polisi wakiwatupia risasi majambazi mtaani huko na kuwakamata wasiendelee na uhalifu ndio kuogopwa..

Vijana wa sekondari wakiandamana na kuleta usumbufu barabarani na kukamatwa pamoja na kuzuiya maandamano yao ndio kuogopwa.?
 
Hizo ajenda za Chadema mnazozitengeneza kulingana na matukio? Nyie semeni tu mnaitaka Ikulu kwa gharama yoyote ile na maza kashawastukia hamna rangi mtaacha kuona.
Kwani kosa kuitaka ikulu kile ni chama za siasa, hata wewe kuitaka ikulu sio kosa, hivi kwanin Tanzania Kuna wajinga wengi kama wewe
 
Kwani kosa kuitaka ikulu kile ni chama za siasa, hata wewe kuitaka ikulu sio kosa, hivi kwanin Tanzania Kuna wajinga wengi kama wewe
Ndio kosa lenu hilo sasa. Mnaitaka kwa gharama zozote zile (ulaghai laghai, kukosa dira na msimamo, n.k.) hadi sisi tulio nje ya vyama tunaanza kuwastukia. Na ogopa mtanzania akistuka! Utanitag mkikaribia kufika geti za Ikulu.
 
Kwa hiyo yule aida kihongosi wa kule nkasi ni mbunge wa tlp nyie bwana kwenu mbungu mpaka mbowe na lema
 
Back
Top Bottom