Rais Samia anamalizia miaka minne ya awamu ambayo kairithi, bado awamu yake ya sita mwaka 2025 mpaka 2035

Akimaliza anaanza awamu yake ya sita mwaka 2025 yenye vipindi 2 vya miaka mitano mitano mpaka 2035. Jumla itakuwa kumi. Ukijumlisha na hii 4 mama tunaye sana tuu kwa miaka 14 jumla.
Kasome Katiba ya nchi wewe wacha kukurupuka! Mama anaruhusiwa kumalizia miaka hii ya JPM na kugombea kipindi kimoja tu full stop! Kwa hiyo anaruhusiwa kugombea 2025 na kuishia 2030!
 
Unatakiwa kusoma katiba upya. Lakini pia akitaka kumaliza miaka kidogo mbele anatakiwa kuwatii wakubwa zake mwanzo mwisho siku akienda tofauti utarudi hapa na uzi fofauti.
Rais ni cheo cha mwisho, mama hana mkubwa zaidi yake
 
Exactly, hii awamu sio yake,anamalizia kikatiba tu, kuanzia 2025-2035 ndio awamu zake mbili zitaanzia hapo,


Mungu ampe umri mrefu Samia, masoja wamemkubari Sana,na walimu pia,na watumishi wote, amepandishi madaraja na Wengine walichelewa kupanda vyeo tangu watoke kozi
 
Mama Anamalizia miaka minne ya awamu ambayo kairithi kikatiba, bado awamu yake, awamu hii ya sasa yupo kwa niaba ya marehemu.
Mkuu sky soldier, jf ni ukumbi wa kuelimishana, japo ni kweli Samia ni rais wa JMT by default kutokana na kifo cha JPM, kwa kurithi kikatiba ila ule urithi ilidumu muda mfupi tuu wakati akiwa rais mteule, baada ya kuapishwa, sasa rais Samia ni rais kamili wa JMT na sio kwa niaba ya JPM, yeye ndio rais wa JMT kama yeye na sio kwa niaba ya mtu yoyote.
Mama anamalizia miaka 4 ya kipindi cha pili cha miaka 5 ya awamu ya 5.
Ni kweli rais Samia anamalizia miaka 4 ya kipindi cha pili cha awamu ya 5, ila kwa Tanzania, awamu ni kipindi cha kushika urais, kwa rais aliyepo, baada ya JPM kufa, huo ndio mwisho wa awamu ya 5. Sasa Samia ndiye ameanza kipindi cha kwanza cha awamu ya 6 kitakacho kuwa na miaka 4.
Akimaliza anaanza awamu yake ya sita mwaka 2025 yenye vipindi 2 vya miaka mitano mitano mpaka 2035. Jumla itakuwa kumi. Ukijumlisha na hii 4 mama tunaye sana tuu kwa miaka 14 jumla.
Hapana, kwa mujibu wa Katiba, hiki ni kipindi cha kwanza cha awamu ya 6, kitakachokuwa na miaka 4. Kipindi cha pili, kitaanza 2025 hadi 2030, hivyo rais Samia atahudumu kwa kipindi cha miaka 9.

NB. Kwa mujibu wa utaratibu wa ndani wa CCM, rais huwa hapingwi katikati ya awamu yake, hivyo kwa CCM, mgombea wa CCM kwa 2025 ni Samia Suluhu Hassan.

Ila mimi kwa maoni yangu, mgombea urais wa CCM kwa 2025 sio lazima awe yeye
P
 


Kisheria hii ni awamu ya sita na Raisi Samia anaruhusiwa muhula mwingine mmoja sio miwili!. Cha ajabu Raisi mwenyewe anasema hii ni awamu ya sita sasa kwanini mnapotosha watu kama vile hii ni awamu ya Tano?.
 
Pascal maoni yako ni sawa, kwamba 2025 si lazima awe yeye.Lakini ujue tu kwamba utamaduni wa kumwachia Rais aliyepo madarakani aendelee kumalizia awamu yake ni utamaduni wenye nguvu hata kushinda katiba ya CCM.Wapo wengi wanahangaika kuvunja huo utamaduni lakini kamwe hawataweza. Labda CCM ijayo ya miaka 50 mbele lakini si CCM hii ya kihafidhina.Kumbuka pia Rais aliyepo mamlakani ana kofia mbili na zote zinampa mamlaka makubwa ya kuingiza watu wake wa kumhami hata kutoka nje ya chama akitaka.
 
NYIE MSILETE MAMBO YA NKULUNZIZA HAPA TANGANYIKA....mnajiooona....au mwafikiri ccm tanganyika hakuna wenye akili
 
Hajamaliza mwaka ameshaanza kujimilikisha mali za serikali (ngorongoro wildlife lodge) akimaliza miaka 14 si ndio atakuwa kajimilikisha hadi IKulu
)
 
Mimi sio mwanasheria lakini katiba imetamka waziwazi ni muda gani rais aliyerithi atahesabiwa katawala kwa kipindi kizima au la!! Nadhani ni kuanzia miaka mitatu na kuendelea. Tutafute msaada wa wanasherilia
 
Ww ni jinga una ndoto za mbowe kuwa Rais wa Nchi hii Mara 1000 afadhali tumpe DR Msukuma ambae kwa Sasa ni PHD holder anaweza akatufikisha nchi ya ahadi
 
Ww ni jinga una ndoto za mbowe kuwa Rais wa Nchi hii Mara 1000 afadhali tumpe DR Msukuma ambae kwa Sasa ni PHD holder anaweza akatufikisha nchi ya ahadi
You got my attention lakini uliposema afadhari PHd ya Musukuma nikajua naongea na kiazi na viazi kama nyie manatakiwa msiruhusiwe kupiga kura
 
Kumbe we dogo kichwani ni 0 kabisa
 
Hii ni awamu ya tano au ya sita?
Technically tupo kwenye kipindi cha pili cha awamu ya tano. Hizi nyingine ni porojo tu.

Mama Samia anapaswa kustaafu baada ya 2025 maana atakuwa “ameserve” vipindi vyote viwili. Alikuwa “running mate” wa Rais kwenye uchaguzi ule, as such, muhula ukiisha na yeye muda umeisha.

Katiba ilibugi step kwenye hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…