Rais Samia anamaanisha CHADEMA kuna Ugomvi Unaendelea?

Atuambie yeye. Maza anadadia mitumbwi ya vibwengo tu
 
Aliyesema hqyo anajifariji
 
Au baachiii ?!!! [emoji1787][emoji1787]

Mh.Rais SSH amewafanya desh desh kuwa ndembendembe [emoji1787]

#Mama Anaupiga Mwingi [emoji2956]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
"Jambazi" akapaza sauti.....

Niliacha wizi wa magari nikawa mfuasi wa huyu "jamaa" ila nimegundua "jamaa" ni dalali tu wa siasa.....bora niende miguuni pa mama....

Jambazi akili zimemkaa sasa[emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Basi tupate Tume huru ya uchaguzi ndio atajua kama watu wanajua katiba ama hawajui.
 
CHADEMA wanavurugana hilo lipo wazi. Au nyie ni viziwi na vipofu kwamba hamuoni wala kusikia jinsi Lissu anavyojipambania mwenyewe huko Arusha?
 
Leo nimeamini nchi hii Hakuna usalama wa Taifa. Wanawezaje kuruhusu Rais ahutubie umbea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…