Rais Samia anajenga barabara ya Same - Kisiwani - Mkomazi km 97

Athari zinaweza kujitokeza anytime between 0-3 years,hiyo ndiyo science ya hii Covid bio and chemical weapon.Ila kama kweli kachanjwa which is impossible,the worst is yet to come.Lakini ninachojua ni kwamba "initiates" hawachanji,kwa kuwa ni lazima waendelee kusimamià implementation of the agenda.
Inaelekea unasoma sana hizi detective novels.
 
Hata wa kwangu akifanya upuuzi wa kupata mimba ovyo ni malaya tu brother,unless humjui maana ya malaya.
Basi sawa. Malaya wetu, tumewazaa wenyewe, Kodi zetu tunazilipa wenyewe, wajukuu machokoraa wetu, vizazi vyetu wenyewe, rais wetu, tunataka wenyewe mpaka 2030
 
Wakiume hawazai kwa hiyo hawaachi alama ya kuweza kuigwa,kwa hiyo malaya wa kike ni wabaya zaidi kwa kuwa they have a visible mark.
Kwa akili yako fupi mwanamke huzaa peke yake bila mume. Ungetuambia anayejifungua anaacha Alama labda tungeanza kukusikiliza. Kwenye suala hili kama tungetaka kumshughulikia mkosaji kwa haki basi tungeshughulika na mtia mimba. Kamata piga miaka 30 ukitoka una mtoto wa kukulisha huku uraiani. Watoto wa kike ni humans wanaohitaji protection ya jamii. Kama mtoto wa kike aliyepata mtoto anarudishwa kwenye shule aliyomo binti yako, muondoe binti yako peleka kwingine atakakokuwa salama. Ondoa akili ya ngada hapa.
Hata hivyo base line ni kwamba approach ya serikali ya Samia ni kuhamasisha umalaya wa wanafunzi,si kukomesha tatizo.She is very ill adviced by NGOs,which are actually mouthpieces of Western Governments.Lakini sishangai, kwa kuwa background yake ni huko
Unajifanya mwenyewe uko analytical kumbe bure kabisa. Huna hata holistic view udini tu umekujaa. Hufikiri hata sekunde kuwa Kuna vipaji vinakuwa victimized, potentials zinakuwa buried all in the name of udini wako. Haya Sasa eleza hawa watoto wakishanyimwa elimu ndio waachwe wafe?
 
Rais wetu ana hela sana, anajenga barabara kila mahali...
 
Kwa akili yako fupi mwanamke huzaa peke yake bila mume. Ungetuambia anayejifungua anaacha Alama labda tungeanza kukusikiliza. Kwenye suala hili kama tungetaka kumshughulikia mkosaji kwa haki basi tungeshughulika na mtia mimba. Kamata piga miaka 30 ukitoka una mtoto wa kukulisha huku uraiani. Watoto wa kike ni humans wanaohitaji protection ya jamii. Kama mtoto wa kike aliyepata mtoto anarudishwa kwenye shule aliyomo binti yako, muondoe binti yako peleka kwingine atakakokuwa salama. Ondoa akili ya ngada hapa.

Unajifanya mwenyewe uko analytical kumbe bure kabisa. Huna hata holistic view udini tu umekujaa. Hufikiri hata sekunde kuwa Kuna vipaji vinakuwa victimized, potentials zinakuwa buried all in the name of udini wako. Haya Sasa eleza hawa watoto wakishanyimwa elimu ndio waachwe wafe?
Very evil,worldly distorted minds.Eti vipaji,mwenye kipaji alichopewa na Mungu anakuwa Malaya,labda kama hicho kipaji kinatoka kuzimu,au umalaya nao mnauita kipaji.Hivi imekuwa vigumu sana kuelewa kwamba kurudisha malaya shuleni kutahamasisha umalaya,aisee.Aidha mna very small minds au you are being used by Western Governments to advance their evil demonic agenda.
 
Mpaka umekiri hivi👉Unajifanya mwenyewe uko analytical⏪inaelekea kweli ndivyo nilivyo.
 
Aisee,hii inaonyesha wewe ni kiazi kabisa,silaha ya sumu unaiita chanjo!
Kuna watu mko obsessed kuonekana righteous hadi mnakuwa vituko.
Silaha za sumu wakati labda una bonge la ndui begani na machanjo mengine usiyoyajua!
 
Hii comment yako inaonyesha jinsi ulivyo kiazi,basi kama nilikuwa mjinga wakati huo, niendelee kuwa mjinga!...
 
Very evil,worldly distorted minds.Eti vipaji,mwenye kipaji alichopewa na Mungu anakuwa Malaya,labda kama hicho kipaji kinatoka kuzimu,au umalaya nao mnauita kipaji.Hivi imekuwa vigumu sana kuelewa kwamba kurudisha malaya shuleni kutahamasisha umalaya,aisee.Aidha mna very small minds au you are being used by Western Governments to advance their evil demonic agenda.
Haaa haaa. Got you by your stupid balls imbecile. Ndo hivyo ujue hao unaowaita Malaya Wana akili kushinda hata asopata mimba au mjinga mwingine yeyote. The difference is they have uterus too which gives them an added advantage.
Get this into you tiny brain hao Malaya tumewazaa sisi and we are responsible for them. Hao Malaya wetu will go back to school
Mpaka umekiri hivi👉Unajifanya mwenyewe uko analytical⏪inaelekea kweli ndivyo nilivyo.
It's amazing you think that is compliment you empty head
 
Chini ya Rais Samia Suluhu Hassan kazi inaendelea kwa kasi katika kila kona ya nchi,Kaskazini baada ya kusahauliwa kwa muda leo mama anawafungua kwa kasi.

Ona hii barabara ya Same – Kisiwani-Mkomazi kujengwa lami,​

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Eng. Godfrey Kasekenya amesema Serikali iko katika hatua za mwisho za maandalizi ya ujenzi wa barabara ya Same – Kisiwani-Mkomazi yenye urefu wa (KM 96.46).
Screenshot_20211122-114713.png

Akikagua maandalizi ya ujenzi wa barabara hiyo Eng. Kasekenya amesema awamu ya kwanza ya ujenzi huo itahusisha KM 11.9 ambapo ujenzi utaanzia sehemu ya Mroyo – Ndungu hadi Kihurio.
Screenshot_20211122-114742.png

Barabara hiyo ambayo inapita pembezoni mwa hifadhi ya taifa ya Mkomazi itachochea na kurahisisha huduma za usafiri na uchukuzi, kilimo, utalii na biashara kwa wakazi wa tarafa za Gonja, Ndungu, Kihurio, Bendera na Mkomazi wilayani Same na hivyo kukuza uchumi wa wakazi hao.

“Tumejipanga kuijenga barabara hii kwa lami na kuhakikisha inakamilika kwa wakati na ubora uliokusudiwa”, amesisitiza Naibu Waziri Kasekenya.
Screenshot_20211122-114727.png

Aidha amekagua ujenzi wa madaraja ya Mamba na Yongoma ambayo ujenzi wake umekamilika katika barabara ya Mwembe-Myamba-Ndungu na kuzungumzia umuhimu wa wananchi kulinda miundombinu hiyo ili itumike wakati wote wa mwaka.
Screenshot_20211122-114511.png

Naye Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS), Mkoa wa Kilimanjaro Eng. Motta Kyando amesema ujenzi wa madaraja na makalvati katika barabara ya Mwembe hadi Ndungu ni zoezi endelevu hivyo kuwataka wananchi kuepuka kulima karibu na hifadhi ya barabara ili kuepuka mmomonyoko wa udongo.

Naye Mbunge wa Same Mashariki Mhe. Anne Kilango Malechela amesema ujenzi wa barabara ya Same-Kisiwani-Mkomazi (KM 96.46), na Mwembe-Myamba-Ndungu (KM 90.19), ukikamilika utafungua uchumi wa wakazi wa wilaya ya Same ambao kwa kiasi kikubwa unategemea shughuli za kilimo cha mazao ya tangawizi na ndizi na kuhuisha utalii katika hifadhi ya taifa ya Mkomazi.
Kajipa kandarasi?
 
Haaa haaa. Got you by your stupid balls imbecile. Ndo hivyo ujue hao unaowaita Malaya Wana akili kushinda hata asopata mimba au mjinga mwingine yeyote. The difference is they have uterus too which gives them an added advantage.
Get this into you tiny brain hao Malaya tumewazaa sisi and we are responsible for them. Hao Malaya wetu will go back to school

It's amazing you think that is compliment you empty head
So kwa sababu wanazo uterus basi wazitumie kubebea illegitimate children,this is a demonic mind set.The woumb is for legitimate children.

Nakubaliana na wewe kwamba watakwenda shule,but that is only because humanity is evil and Devil rules this World.
 
Hii comment yako inaonyesha jinsi ulivyo kiazi,basi kama nilikuwa mjinga wakati huo, niendelee kuwa mjinga!...
Kwahiyo na wewe ulikuwa mjinga ukachomwa sumu, ila for some reasons bado upo tu unadunda. Zitakuwa zilikuwa sumu rafiki kweli!
Tuambie basi, tuliochoma hizi za sasa tunamalizwa lini hiyo sumu na na wewe uliyekwepa kwa werevu wako, utaishi siku ngapi zaidi yetu baada ya sisi kutendwa na hiyo sumu?!
 
So kwa sababu wanazo uterus basi wazitumie kubebea illegitimate children,this is a demonic mind set.The woumb is for legitimate children.

Nakubaliana na wewe kwamba watakwenda shule,but that is only because humanity is evil and Devil rules this World.
Unaonekana wewe ni msabato kwa hii comment yako lakini mbona wasabato wenzako tunaoishi nao hawana akili fupi namna hii
 
So kwa sababu wanazo uterus basi wazitumie kubebea illegitimate children,this is a demonic mind set.The woumb is for legitimate children.

Nakubaliana na wewe kwamba watakwenda shule,but that is only because humanity is evil and Devil rules this World.
Sexual immorality maybe truly demonic kwa mujibu wa maandiko, lakini wanaume tunapomwaga mbegu kwa wanawake ndio wanaweza kupata mimba.
Kabla ya kumwaga hizo mbegu, tunaanza kuwaingilia kwanza. Kabla ya kuanza kuwaingilia, tunaanza kusimamisha Uume kwanza. Na kabla ya kusimamisha tunaanza kwanza kupata hisia za kujamiiana. Kwa logic hiyo nani anakuwa kwanza kwenye demonic influence kabla ya mwenzake??!
Nimetumia lugha graphic ili nikupe picha tu kwanini karibu Duniani kote binadamu walifikia hitimisho kuwa ngono na msichana under 18 ni ubakaji hasa mwanaume anapokuwa over 18.
 
Very evil,worldly distorted minds.Eti vipaji,mwenye kipaji alichopewa na Mungu anakuwa Malaya,labda kama hicho kipaji kinatoka kuzimu,au umalaya nao mnauita kipaji.Hivi imekuwa vigumu sana kuelewa kwamba kurudisha malaya shuleni kutahamasisha umalaya,aisee.Aidha mna very small minds au you are being used by Western Governments to advance their evil demonic agenda.

..wakati sisi tunasoma uzinzi ilikuwa ni kosa linalokufukuzisha shule.

..hiyo haikujalisha ni mtoto wa kike au kiume.

..kwa hiki kinachoendelea sasa hivi, tukitaka kuwa fair, basi wanafunzi wawe wanapimwa BIKIRA.

..itafutwe teknolojia ya kupima bikra za wavulana na wasichana.🤣🤣

..kusubiri mpaka mwanafunzi anabeba mimba tunakuwa tumechelewa.

..Zaidi tunatimua wasichana waliobobea mimba, na kuwaacha wavulana waliochomeka mimba, na hiyo siyo haki.

..Kwa maoni yangu, tunatakiwa tuongeze juhudi ktk masuala COUNSELLING kuhusu elimu, malengo, maisha, na uzazi, hii itasaidia sana watoto kushinda changamoto za PUBERTY.

..Mwanafunzi anayejielewa, na mwenye malengo ktk maisha, hawezi kujihusisha na mambo yatakayokatisha ndoto zake. Wazazi, waalimu, na jamii, tunapaswa kuwawezesha watoto wetu.

..Utaratibu wa kufukuza wasichana waliopata mimba umefeli, hivyo ni lazima tutafute mbinu mpya za kukabiliana na tatizo hilo.

Cc auferet dominus
 
Back
Top Bottom