Chini ya Rais Samia Suluhu Hassan kazi inaendelea kwa kasi katika kila kona ya nchi,Kaskazini baada ya kusahauliwa kwa muda leo mama anawafungua kwa kasi.
Ona hii barabara ya Same – Kisiwani-Mkomazi kujengwa lami,
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Eng. Godfrey Kasekenya amesema Serikali iko katika hatua za mwisho za maandalizi ya ujenzi wa barabara ya Same – Kisiwani-Mkomazi yenye urefu wa (KM 96.46).
Akikagua maandalizi ya ujenzi wa barabara hiyo Eng. Kasekenya amesema awamu ya kwanza ya ujenzi huo itahusisha KM 11.9 ambapo ujenzi utaanzia sehemu ya Mroyo – Ndungu hadi Kihurio.
Barabara hiyo ambayo inapita pembezoni mwa hifadhi ya taifa ya Mkomazi itachochea na kurahisisha huduma za usafiri na uchukuzi, kilimo, utalii na biashara kwa wakazi wa tarafa za Gonja, Ndungu, Kihurio, Bendera na Mkomazi wilayani Same na hivyo kukuza uchumi wa wakazi hao.
“Tumejipanga kuijenga barabara hii kwa lami na kuhakikisha inakamilika kwa wakati na ubora uliokusudiwa”, amesisitiza Naibu Waziri Kasekenya.
Aidha amekagua ujenzi wa madaraja ya Mamba na Yongoma ambayo ujenzi wake umekamilika katika barabara ya Mwembe-Myamba-Ndungu na kuzungumzia umuhimu wa wananchi kulinda miundombinu hiyo ili itumike wakati wote wa mwaka.
Naye Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS), Mkoa wa Kilimanjaro Eng. Motta Kyando amesema ujenzi wa madaraja na makalvati katika barabara ya Mwembe hadi Ndungu ni zoezi endelevu hivyo kuwataka wananchi kuepuka kulima karibu na hifadhi ya barabara ili kuepuka mmomonyoko wa udongo.
Naye Mbunge wa Same Mashariki Mhe. Anne Kilango Malechela amesema ujenzi wa barabara ya Same-Kisiwani-Mkomazi (KM 96.46), na Mwembe-Myamba-Ndungu (KM 90.19), ukikamilika utafungua uchumi wa wakazi wa wilaya ya Same ambao kwa kiasi kikubwa unategemea shughuli za kilimo cha mazao ya tangawizi na ndizi na kuhuisha utalii katika hifadhi ya taifa ya Mkomazi.

Barabara ya Suji-Makanya yenye 20km tu hamtaki kuimaliza jamani, japo ni milima ya kwenda lakini kwa vile mlishaanza tunaomba ile barabara imalizwe ujenzi wake.
Na hawa malaya wanaorudishwa shule,anajua ukubwa wa tatizo analolileta kwenye jamii kweli huyu?Machokoraa,umalaya,mzigo kwa wazazi na jamii kwa ujumla wa malezi,kuharibika kwa maadili ya jamii nk.Itakuwa vurugu tupu.
Wakiume hawazai kwa hiyo hawaachi alama ya kuweza kuigwa,kwa hiyo malaya wa kike ni wabaya zaidi kwa kuwa they have a visible mark.
Hata hivyo base line ni kwamba approach ya serikali ya Samia ni kuhamasisha umalaya wa wanafunzi,si kukomesha tatizo.She is very ill adviced by NGOs,which are actually mouthpieces of Western Governments.Lakini sishangai, kwa kuwa background yake ni huko.

Tatizo lako kubwa ni kuamini katika mfumo dume mpaka umepitiliza. Adhabu wanapewa wote wawili, ni uonevu kumzuia kuendelea mtoto wa kike halafu aliyemzalisha unamuacha anadunda mtaani kama vile hana hatia. Au hana kosa lolote.
Unamhukumu mtoto wa kike kwa double standards zisizo na sababu, ni tatizo lile lile la afrika yetu tunapoteza vipaji vingi tu kwa kosa la kuhukumu hata kabla hujamsikiliza mtuhumiwa.
Tatizo lako kubwa ni kuamini katika mfumo dume mpaka umepitiliza. Adhabu wanapewa wote wawili, ni uonevu kumzuia kuendelea mtoto wa kike halafu aliyemzalisha unamuacha anadunda mtaani kama vile hana hatia. Au hana kosa lolote.
Unamhukumu mtoto wa kike kwa double standards zisizo na sababu, ni tatizo lile lile la afrika yetu tunapoteza vipaji vingi tu kwa kosa la kuhukumu hata kabla hujamsikiliza mtuhumiwa.
Chini ya Rais Samia Suluhu Hassan kazi inaendelea kwa kasi katika kila kona ya nchi,Kaskazini baada ya kusahauliwa kwa muda leo mama anawafungua kwa kasi.
Ona hii barabara ya Same – Kisiwani-Mkomazi kujengwa lami,
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Eng. Godfrey Kasekenya amesema Serikali iko katika hatua za mwisho za maandalizi ya ujenzi wa barabara ya Same – Kisiwani-Mkomazi yenye urefu wa (KM 96.46).
Akikagua maandalizi ya ujenzi wa barabara hiyo Eng. Kasekenya amesema awamu ya kwanza ya ujenzi huo itahusisha KM 11.9 ambapo ujenzi utaanzia sehemu ya Mroyo – Ndungu hadi Kihurio.
Barabara hiyo ambayo inapita pembezoni mwa hifadhi ya taifa ya Mkomazi itachochea na kurahisisha huduma za usafiri na uchukuzi, kilimo, utalii na biashara kwa wakazi wa tarafa za Gonja, Ndungu, Kihurio, Bendera na Mkomazi wilayani Same na hivyo kukuza uchumi wa wakazi hao.
“Tumejipanga kuijenga barabara hii kwa lami na kuhakikisha inakamilika kwa wakati na ubora uliokusudiwa”, amesisitiza Naibu Waziri Kasekenya.
Aidha amekagua ujenzi wa madaraja ya Mamba na Yongoma ambayo ujenzi wake umekamilika katika barabara ya Mwembe-Myamba-Ndungu na kuzungumzia umuhimu wa wananchi kulinda miundombinu hiyo ili itumike wakati wote wa mwaka.
Naye Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS), Mkoa wa Kilimanjaro Eng. Motta Kyando amesema ujenzi wa madaraja na makalvati katika barabara ya Mwembe hadi Ndungu ni zoezi endelevu hivyo kuwataka wananchi kuepuka kulima karibu na hifadhi ya barabara ili kuepuka mmomonyoko wa udongo.
Naye Mbunge wa Same Mashariki Mhe. Anne Kilango Malechela amesema ujenzi wa barabara ya Same-Kisiwani-Mkomazi (KM 96.46), na Mwembe-Myamba-Ndungu (KM 90.19), ukikamilika utafungua uchumi wa wakazi wa wilaya ya Same ambao kwa kiasi kikubwa unategemea shughuli za kilimo cha mazao ya tangawizi na ndizi na kuhuisha utalii katika hifadhi ya taifa ya Mkomazi.
Hii barabara itachochea utalii na biashara kwa maeneo haya ,vile vle itakuwa ni shortcut ya kutoka mkomazi kuja same .kipande hicho ni kifupi kama fedha zilishatotoka kwa mda mfupi kitakamilika ikiwa ndani yaake hamna siasa.

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.