Fahari ya kusini
JF-Expert Member
- Nov 26, 2022
- 427
- 1,668
Wewe endeleza propaganda zako za ki-ccm..........Nimependa akili ambazo Rais samia amezitumia kuiua chadema kiakili vile aisee chadema ndugu yaani nyie hapo hamna kitu yaani hapo nyie ni mwendo wa kuwaaga taratibu.
Amewaita ikulu amewapa posho,kashata na alkasus then akawaambia tufanye maridhiano then akawaruhusu kuendelea kufanya siasa then majitaka( wastage politics) hapo ndugu zangu chadema kwishinei π π€£ π πΉ.
Bye bye chadema na upinzani
Miss mia, kuna kitu hujakijua, CHADEMA ni gudude fulani kubwa sana. CCM, polisi, jeshi, mahakama, bunge, mahakama, magereza, na mifumo yote chini ya Nduli walishindwa kuimaliza. Samia peke yake hatoweza na hilo amelijua.Nimependa akili ambazo Rais Samia amezitumia kuiua CHADEMA kiakili vile aisee chadema ndugu yaani nyie hapo hamna kitu yaani hapo nyie ni mwendo wa kuwaaga taratibu.
Amewaita ikulu amewapa posho, Kashata na alkasus then akawaambia tufanye maridhiano then akawaruhusu kuendelea kufanya siasa then majitaka(wastage politics) hapo ndugu zangu chadema kwishinei π π€£ π πΉ.
Bye bye chadema na upinzani
Unamaanisha Rais ametoa Rushwa kwa Chadema....muwe na heshima kwa nia na maamuzi ya RaisAmewaita ikulu amewapa posho, Kashata na alkasus then akawaambia tufanye maridhiano then akawaruhusu
Kwa wenye akili ndogo hawataelewa ila ndo wameisha ivoNimependa akili ambazo Rais Samia amezitumia kuiua CHADEMA kiakili vile aisee chadema ndugu yaani nyie hapo hamna kitu yaani hapo nyie ni mwendo wa kuwaaga taratibu.
Amewaita ikulu amewapa posho, Kashata na alkasus then akawaambia tufanye maridhiano then akawaruhusu kuendelea kufanya siasa then majitaka(wastage politics) hapo ndugu zangu chadema kwishinei.
Bye bye chadema na upinzani
Mrembo unamualika Kingai kwa mlango wa nyuma! Unajua hizi prediction zako zaweza kutumika na kufunguliwa kesi ya kumkashifu mkuu wa nchi kwa kumpandikizia fikra zako potofu na watu wanaamini na kufanya vurugu?Nimependa akili ambazo Rais Samia amezitumia kuiua CHADEMA kiakili vile aisee chadema ndugu yaani nyie hapo hamna kitu yaani hapo nyie ni mwendo wa kuwaaga taratibu.
Amewaita ikulu amewapa posho, Kashata na alkasus then akawaambia tufanye maridhiano then akawaruhusu kuendelea kufanya siasa then majitaka(wastage politics) hapo ndugu zangu chadema kwishinei π π€£ π πΉ.
Bye bye chadema na upinzani
Umejizima data? Iko hivi, kwa sasa agwnda ya chadema itakuwa ni kumchafua magufuli na kumsifia samia. Hutasikia ajenda ya katiba mpya, tozo, mfumuko wa bei wala mambo ya moja kwa moja yanayowaumiza wananche. Watakuwa wameahidiwa majimbo machache ili upinzani urudi tena bungeni. Kiufupi chadema imemalizwa maana hawayagusa agenda za wananchi tena. Asali imejaa midomoni mwa viongozi wa cdm.Wewe endeleza propaganda zako za ki-ccm..........
Hivi unawezaje kuita kuwa hatua ya kufungulia mikutano ya hadhara Kwa vyama vya kisiasa, kama ni kifo Cha Chadema, badala ya kusema Chadema ndiyo imepaishwa sana kisiasa?
Kwanza hujiulizi, ni kwanini Rais wa awamu iliyopita alipiga marufuku mikutano ya kisiasa, kama siyo woga wake mkubwa Kwa chama kikuu Cha siasa cha Chadema?
Kiukweli hivi Sasa chama Cha Chadema, ndicho kitakachokuwa na mvuto kuliko chama chochote Cha siasa nchini, kutokana na msimamo wake na kukemea uonevu na hila zinazofanywa na CCM, wakishirikiana na vyombo vya dola
Nimependa akili ambazo Rais Samia amezitumia kuiua CHADEMA ....
Amewaita ikulu akawaambia tufanye maridhiano ....
Bye bye chadema na upinzani ....
Kwenye uzi wangu huu Watanzania tumshukuru Mungu kupata mtu mwenye moyo wa kusamehe. Je, tumuombe asamehe tu bila kuombwa msamaha au akomae naye? nilisemaNimependa akili ambazo Rais Samia amezitumia kuiua CHADEMA kiakili vile aisee chadema ndugu yaani nyie hapo hamna kitu yaani hapo nyie ni mwendo wa kuwaaga taratibu.
Amewaita ikulu amewapa posho, Kashata na alkasus then akawaambia tufanye maridhiano then akawaruhusu kuendelea kufanya siasa then majitaka(wastage politics) hapo ndugu zangu chadema kwishinei π π€£ π πΉ.
Bye bye chadema na upinzani
Ni kweli Mbowe amekuja kuachiwa kwa Nolle, badala ya kuuona ule moto wa usipime, breki ya kwanza ni Ikulu, Mama opened up for him and stretched her hands and embrace him!. He cried, they both cried!. Mama akamuahidi Mbowe utapata kila utakacho, na kweli Mbowe ni kila uchao Ikulu!, huku Chadema nako tukaona mambo yameanza kwenda, vikao vilivyoshindikana kuitiswa, kutokana na ukata, mara ghafla fedha zimepatikana, vikao vikaitishwa, mara trips za overseas fully paid!.Serikali inaweza kabisa kuwa imeona inakwenda kushindwa kwa aibu na fedheha, hivyo ili kuepuka aibu ya kushindwa kwa fedheha, hivyo DPP, anaweza kupeleka Nolle. Hili lilifanyika, litamfanya Mbowe kuonekana shujaa, na akiachiwa kwa Nolle, huo moto wake ni usipime!.
Nawatakia Krismasi Njema.
Paskali.
Nimependa akili ambazo Rais Samia amezitumia kuiua CHADEMA kiakili vile aisee chadema ndugu yaani nyie hapo hamna kitu yaani hapo nyie ni mwendo wa kuwaaga taratibu.
Amewaita ikulu amewapa posho, Kashata na alkasus then akawaambia tufanye maridhiano then akawaruhusu kuendelea kufanya siasa then majitaka(wastage politics) hapo ndugu zangu chadema kwishinei π π€£ π πΉ.
Bye bye chadema na upinzani
Chadema walijiua wenyewe baada ya kuanza kutetea mafisadi
Ila ni mshabiki wa siasa za kishenzi za kuhasimiana zilizoasisiwa na yule mwovu aliyeko kuzimuMimi si mwanasisa