Rais Samia ana uchu wa maendeleo

Mama ni mtaaluma kwenye mahesabu. Najua kama siyo kukwamishwa na walamba Asali basi tungekuwa mbali sana

Tusiache kumuombea lakini akiendelea kuamini anachodanganywa basi anguko ni kama jiwe kwenye maji
Mama ni silent killer mzee we unaweza ukaona anayumbishwa kumbe ana lake moja kichwani na kutokana na matokeo haya serikali imekuja na mpango wa kuleta maendeleo endelevu kulingana na idadi ya watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…