Rais Samia ana kazi ngumu kwa sasa

Rais Samia ana kazi ngumu kwa sasa

Don_Gazzy

Member
Joined
Jul 22, 2023
Posts
20
Reaction score
9
Rais Samia anatamani nchi nzuri na watanzania wa enjoy Utanzania wao.

Anatafuta namna ataiwezesha serikali kuwahudumia vizuri Watanzania.

ANAFANYA MAMBO AMBAYO WAPO WANAOOGOPA KUA ATAAMINIKA KULIKO RAIS YEYOTE ALIYETOKEA TZ

Hivyo wanafanya juu chini kumkwamisha huku wananchi wachache wakiungana na wakwamishaji.

KAMA MWANAMKE ANAWEZA KUPAMBANA LEBA KUHATARISHA MAISHA YAKE KUSUKUMA MTOTO AISHI, MAMA HASHINDWI LOLOTE.

Wakati huu utapita. SAMIA atavuka hili.

AMINA[emoji120][emoji120]
 
Rais Samia anatamani nchi nzuri na watanzania wa enjoy utanzania wao.

Anatafuta namna ataiwezesha serikali kuwahudumia vizuri watanzania.

Comments reserved
 
Ungetaja hayo mambo kwanza
 
Rais Samia anatamani nchi nzuri na watanzania wa enjoy Utanzania wao.

Anatafuta namna ataiwezesha serikali kuwahudumia vizuri Watanzania.

ANAFANYA MAMBO AMBAYO WAPO WANAOOGOPA KUA ATAAMINIKA KULIKO RAIS YEYOTE ALIYETOKEA TZ

Hivyo wanafanya juu chini kumkwamisha huku wananchi wachache wakiungana na wakwamishaji.

KAMA MWANAMKE ANAWEZA KUPAMBANA LEBA KUHATARISHA MAISHA YAKE KUSUKUMA MTOTO AISHI, MAMA HASHINDWI LOLOTE.

Wakati huu utapita. SAMIA atavuka hili.

AMINA[emoji120][emoji120]
Ndiyo mpakan asaini kumpa Waziri wake mamlaka ya kusaini mkataba kwa niaba ya Tanzania na Dubai?

Yani anasaini vitu kama hasomi anachosaini!
 
Rais Samia anatamani nchi nzuri na watanzania wa enjoy Utanzania wao.

Anatafuta namna ataiwezesha serikali kuwahudumia vizuri Watanzania.

ANAFANYA MAMBO AMBAYO WAPO WANAOOGOPA KUA ATAAMINIKA KULIKO RAIS YEYOTE ALIYETOKEA TZ

Hivyo wanafanya juu chini kumkwamisha huku wananchi wachache wakiungana na wakwamishaji.

KAMA MWANAMKE ANAWEZA KUPAMBANA LEBA KUHATARISHA MAISHA YAKE KUSUKUMA MTOTO AISHI, MAMA HASHINDWI LOLOTE.

Wakati huu utapita. SAMIA atavuka hili.

AMINA[emoji120][emoji120]

Ninyi hua ni wendawazimu kafanya jambo gani la maana? Tofauti na kuvurunda kwenye mikataba ya kijinga, unadhani waliovujisha mkataba wao ni wajinga?
 
Rais Samia anatamani nchi nzuri na watanzania wa enjoy Utanzania wao.

Anatafuta namna ataiwezesha serikali kuwahudumia vizuri Watanzania.

ANAFANYA MAMBO AMBAYO WAPO WANAOOGOPA KUA ATAAMINIKA KULIKO RAIS YEYOTE ALIYETOKEA TZ

Hivyo wanafanya juu chini kumkwamisha huku wananchi wachache wakiungana na wakwamishaji.

KAMA MWANAMKE ANAWEZA KUPAMBANA LEBA KUHATARISHA MAISHA YAKE KUSUKUMA MTOTO AISHI, MAMA HASHINDWI LOLOTE.

Wakati huu utapita. SAMIA atavuka hili.

AMINA[emoji120][emoji120]
Kuteseka labor Ward siyo sabab ya kutuendesha endesha Kama mizoga,hapa hakwamishwi na mtu,anajikwamisha mwenyewe,na kuhusu bandari akiforce vinaenda kuumana,halaf tusiache mambo ya hovyo yapite bila kuhoj et kisa yanatendwa na mwanamke,hii Ni nchi siyo familia ya mtu
 
Kazi ya Urais haijwahi kuwa nyepesi.

Mwenyezi Mungu hambeshi mtu mzigo asiyeuweza.

Wala usiwe na shaka. Kanisa litatulia lenyewe, wakishaanza kufumuliwa madudu yao.

Wanafikiri hayajulikani.
 
Mnapoandika tumien akili kdg , kuwa ataaminika kuliko marais wote ? Hao wakwamishaj ni akina nan ? Je wanatumia njia gan kumkwamisha ? Kwa hoja? Au kukwamisha mirad ya mama yako ? Kama ni hoja yey si mwanasiasa haez jib hoja za wanasiasa ? Tusipende kupeana sifa za kijiga hata mtu ukikosea
 
Madai ya watu yapo wazi , kiongoz mwanasiasa haez jibu madai ya raia wake anajificha kwenye udini , mungu atutolee shetan huyu alieshika nchi yetu , tutamiss sana siasa JK HAKUWI KUWA MDINI PINDI ANAPOKOSOLEWA
 
...Tumekusikia CHAWA...!...
 
Ndiyo haya anayosema Msanii Wetu.... Hata Mvua ikinyesha, ni Raisi Anaupiga Mwingi' !!!
Punguzeni Mapambio...[emoji35]
 
Madai ya watu yapo wazi , kiongoz mwanasiasa haez jibu madai ya raia wake anajificha kwenye udini , mungu atutolee shetan huyu alieshika nchi yetu , tutamiss sana siasa JK HAKUWI KUWA MDINI PINDI ANAPOKOSOLEWA
Upewe wew malaika? Kwenye dini kajifichaje?
 
Mnapoandika tumien akili kdg , kuwa ataaminika kuliko marais wote ? Hao wakwamishaj ni akina nan ? Je wanatumia njia gan kumkwamisha ? Kwa hoja? Au kukwamisha mirad ya mama yako ? Kama ni hoja yey si mwanasiasa haez jib hoja za wanasiasa ? Tusipende kupeana sifa za kijiga hata mtu ukikosea
Mnaweza kutoa hoja za kueleweshana bila kutumia lugha isio faa
 
Kuteseka labor Ward siyo sabab ya kutuendesha endesha Kama mizoga,hapa hakwamishwi na mtu,anajikwamisha mwenyewe,na kuhusu bandari akiforce vinaenda kuumana,halaf tusiache mambo ya hovyo yapite bila kuhoj et kisa yanatendwa na mwanamke,hii Ni nchi siyo familia ya mtu
Hakuna mahali amekatazwa mtu kuhoji.
 
Back
Top Bottom