Rais Samia amtembelea Hospitali Pacome kumpa pole

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,926
Reaction score
6,574
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na MWANANCHI NAMBA MOJA Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na leo alimtembelea na kumpa pole mchezaji wa timu ya wananchi Pacome Zouzoua, ambaye anaendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Aga Khan, Dar es Salaam kufuatia majeraha aliyoyapata wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya JKT Tanzania.



#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko
 
Huyo pakome asingemtembelea kwa maoni yangu.
 
Takataka tu.
Iki anatamani kiwe kinatokea mara kwa mara ndio kazi anayo weza kufanya kwa ufasaha. Cjui km litapona goti
Kazi ni kipimo cha utu
 
Kaenda mtia mikosi kijana wa watu.
 
Licha ya madhaifu yake yote ila huyu Mama huwa ana huruma sana
Basi tu.
 
Raisi wa Wananchi

Kuanzia kesho machawa watajaa hospitali kwenye kumtia gundu huyo mchezaji wa kimataifa

Makolo endeleeni kukojoa na kwenda kunya jangwani
 
Ukimuangalia kwenye hiyo picha unaweza ukafikiri ni Mama mwenye huruma, utu na anayejali. Ukija kwenye uhalisia mambo ni tofauti kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…