PreGE2025 Rais Samia ampa TSh 20 milioni Askofu wa jimbo jipya la Bagamoyo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa TSh20 milioni kwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Stephano Musomba, kwa ajili ya kusaidia gharama za mafuta ya gari katika mizunguko yake ya kichungaji.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Fedha hizo zimekabidhiwa leo Jumapili, Mei 4, 2025 na Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango aliyemwakilisha Rais Samia katika ibada ya kumsimika rasmi askofu huyo, iliyofanyika mkoani Pwani.

"Ninaomba nimalizie hotuba hii kwa kukabidhi fedha kidogo, TSh20 milioni ambazo Rais amenituma nimkabidhi Baba Askofu Msomba kwa ajili ya mafuta ya gari ya kuanzia ziara zake za kichungaji, katika jimbo hili jipya," amesema Dk Mpango.

Rais Samia Suluhu Hassan ametoa TSh20 milioni kwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Stephano Musomba, kwa ajili ya kusaidia gharama za mafuta ya gari katika mizunguko yake ya kichungaji.

Fedha hizo zimekabidhiwa leo Jumapili, Mei 4, 2025 na Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango aliyemwakilisha Rais Samia katika ibada ya kumsimika rasmi askofu huyo, iliyofanyika mkoani Pwani.

"Ninaomba nimalizie hotuba hii kwa kukabidhi fedha kidogo, TSh20 milioni ambazo Rais amenituma nimkabidhi Baba Askofu Msomba kwa ajili ya mafuta ya gari ya kuanzia ziara zake za kichungaji, katika jimbo hili jipya," amesema Dk Mpango.
Utu ni bora kuliko fedha, hiyo fedha inanuka damu.
 
Swali zuri kabisa ambalo siku hizi haliulizwi, pesa hizi anazozitoa, ni kutoka kwenye mshahara wake?

Au analo fungu la kutoa misikitini, makanisani, kwenye magoli ya Simba na Yanga?

Yule ya nsingi imefungwa, hakuna madawati, kutwa zimebomoka na inavuja kipindi hiki.

Kuna madaraja yamebomoka tangu Jan 2024, ndani ya Dar na yale ya njia kuu iendayo Msumbiji, wamejaza udongo kwa mwaka mzima, umesombwa tena March 2025.

Hakuna kituo cha polisi chenye choo chenye heshima wala hadhi, hakuna kituo cha polisi chenye Photocopy machine...

Watendaji wa kata na vijiji wote nchi hii, wanaranda randa kwenye stationeries kufanya kazi za serikali, hawana hata Desktop tu maofisini.

Ofisi za kata hapa Dar, ni kichekesho...aibu!
 
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa TSh20 milioni kwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Stephano Musomba, kwa ajili ya kusaidia gharama za mafuta ya gari katika mizunguko yake ya kichungaji.

Fedha hizo zimekabidhiwa leo Jumapili, Mei 4, 2025 na Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango aliyemwakilisha Rais Samia katika ibada ya kumsimika rasmi askofu huyo, iliyofanyika mkoani Pwani.

"Ninaomba nimalizie hotuba hii kwa kukabidhi fedha kidogo, TSh20 milioni ambazo Rais amenituma nimkabidhi Baba Askofu Msomba kwa ajili ya mafuta ya gari ya kuanzia ziara zake za kichungaji, katika jimbo hili jipya," amesema Dk Mpango.
View attachment 3324484
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa TSh20 milioni kwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Stephano Musomba, kwa ajili ya kusaidia gharama za mafuta ya gari katika mizunguko yake ya kichungaji.😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Amefeli pakubwa. Maaskofu Katoliki sio kama kina Mwamposa au watumishi wa vikanisa uchwara ambao wakihongwa pesa wanaziba midomo na kuacha kuongelea kuhusu haki.
 
Hii ni
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa TSh20 milioni kwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Stephano Musomba, kwa ajili ya kusaidia gharama za mafuta ya gari katika mizunguko yake ya kichungaji.

Fedha hizo zimekabidhiwa leo Jumapili, Mei 4, 2025 na Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango aliyemwakilisha Rais Samia katika ibada ya kumsimika rasmi askofu huyo, iliyofanyika mkoani Pwani.

"Ninaomba nimalizie hotuba hii kwa kukabidhi fedha kidogo, TSh20 milioni ambazo Rais amenituma nimkabidhi Baba Askofu Msomba kwa ajili ya mafuta ya gari ya kuanzia ziara zake za kichungaji, katika jimbo hili jipya," amesema Dk Mpango.
View attachment 3324484
Rushwa rushwa
Kufunga mdomo
 
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa TSh20 milioni kwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Stephano Musomba, kwa ajili ya kusaidia gharama za mafuta ya gari katika mizunguko yake ya kichungaji.😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Huyu mama amechanganyikiwa. Anadhani watu watakiuka viapo vyao kwa Mungu kuhubiri haki kwa sababu ya vipande vyake vya fedha?
 
Back
Top Bottom