Rais Samia Amlilia Mwanamke Wa Kwanza kusomea Shahada ya Sheria na Wa Kwanza Afrika Mashariki na Kati Kuwa Jaji wa Mahakama kuu

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
36,348
Reaction score
23,757
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Ambaye Ndiye Mfariji wa Taifa letu na aliyebeba Matumaini ya watanzania, Amesikitishwa sana Kufuatia kifo cha aliyewahi Kuwa Waziri Wa Sheria Na ambaye alikuwa ndiye Mwanamke wa kwanza Kusomea shahada ya sheria hapa Nchini.

Lakini pia Ndiye Aliyekuwa Mwanamke wa Kwanza Afrika Mashariki na Kati kuwa Jaji wa Mahakama kuu.
Screenshot_20260320-222150_1.jpg
Screenshot_20260320-222140_1.jpg

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Ambaye Ndiye Mfariji wa Taifa letu na aliyebeba Matumaini ya watanzania, Amesikitishwa sana Kufuatia kifo cha aliyewahi Kuwa Waziri Wa Sheria Na ambaye alikuwa ndiye Mwanamke wa kwanza Kusomea shahada ya sheria hapa Nchini.

Lakini pia Ndiye Aliyekuwa Mwanamke wa Kwanza Afrika Mashariki na Kati kuwa Jaji wa Mahakama kuu.View attachment 3560713View attachment 3560714

post za huyu 🌈 ni za kuzipotezea hivi hivi.
 
downloadfile-4.png
 
Julie Manning was a giant.

Huyu ndiye aliyemfundisha kazi Joseph Warioba.

Poleni Kevin na familia yote.

RIP.
 
Alafu kuna mtu anajiandikia uzi anajifanya kuijua sana familia hiyo 😄
Aise mpe pole sana kevin

Ova
 
Back
Top Bottom