Rais Samia ameviteka Vyombo vingi vya Habari duniani

Rais Samia ameviteka Vyombo vingi vya Habari duniani

Kufuatia kutimiza siku 100 kwenye madaraka akiwa rais kamili wa JMT mama Samia ameviteka vyombo vingi vya habari duniani.

Mengi yamezungumzwa sana yakiwa na mlengo wa kusifia kila hatua anayo ifanya mama Samia.

Tofauti na watanzania wenzetu wasiyo na shukrani wala aibu ya kumbeza mama Samia.

Hawa wanao mbeza nafikiri ni kati ya wale fagio la chuma linawapitia kulingana na picha ya mchoraji kutoka DW. View attachment 1830800
Ahahahahahahahaj! Nimemkumbuka Joyce Banda. Aliingia hivi hivi kwenye Urais huko kwao. Akafanya hivi hivi anavyofanya huyu. Akapata sifa uchwara hivi hivi kama huyu. Mwishowe hakuna anayemkumbuka leo hii! Ahahahahahahah!!!
 
Mawazo mgando kama haya wangekuwa nayo wachina wasingehakiaka kuwa na viwanda au kupambana kwenda mbele,,, kwanza wewe una miaka mingap? Hapo ulipo umewahi kufikiria kugundua kitu chochote? Kama hujawahi kufikiria upo sahihi kuandika hii post na ndo maana mnaamini sana katika wazungu mkuu ukiona unafadhiliwa au unalipwa mshahara wewe bado hujui maendeleo Ni Nini? Nakusaidia uwe unafikilia bas hata kidogo yule anayekufadhili au kukupa mshahara yeye hivyo vitu anavipataje itakusaidia
Mkuu acha nao hao.. washazoea kushikiwa akili na Mbowe, kwahiyo utegemezi kwao ndio mfumo wa maisha, kwa style hii Mbowe akiondoka madarakan wengi watakufa na njaa akiwemo mleta mada.
 
Mama Samia anafuta mambo yote ya hovyo ya jiwe.

Kesi ya kuwabambikia viongozi wa chadema.

Bandari ya Bagamoyo itajengwa.

Mama Samia katangaza rasmi kuwa corona ipo Tanzania.
Kabisa!

Mama samia mi 10 tena hadi kieleweke!
 
Mawazo mgando kama haya wangekuwa nayo wachina wasingehakiaka kuwa na viwanda au kupambana kwenda mbele,,, kwanza wewe una miaka mingap? Hapo ulipo umewahi kufikiria kugundua kitu chochote? Kama hujawahi kufikiria upo sahihi kuandika hii post na ndo maana mnaamini sana katika wazungu mkuu ukiona unafadhiliwa au unalipwa mshahara wewe bado hujui maendeleo Ni Nini? Nakusaidia uwe unafikilia bas hata kidogo yule anayekufadhili au kukupa mshahara yeye hivyo vitu anavipataje itakusaidia
Mwambie "mtegemea cha nduguye daima hufa TAJIRI" au "bahati ya mwenzio ilalie mlango wazi". Nadhani atakuelewa na kuyaona ni mawazo mgando.
 
Ahahahahahahahaj! Nimemkumbuka Joyce Banda. Aliingia hivi hivi kwenye Urais huko kwao. Akafanya hivi hivi anavyofanya huyu. Akapata sifa uchwara hivi hivi kama huyu. Mwishowe hakuna anayemkumbuka leo hii! Ahahahahahahah!!!
Kama watanzania walivyo msahau jiwe hakuna anaye mkumbuka kwa wema zaidi ya maovu
 
Afanye yote ila kama hatatupatia katiba mpya bado hatutakuwa na furaha
Tatizo la mchakato wa katiba mpya ni moja.

Ni wanasiasa walioshiba kurundikana kupiga kabobo makelele weeee asubuhi mpaka jioni halafu wanaondoka bila mwafaka wakiwa wameshatafuna billions.

Huku wananchi njaaa kali, na mambo mengine yote yanasimama.

Na katiba hiyo mpya itakayopatikana kama bado haitasaidia watu fulani kupata madaraka bado italalamikiwa asubuhi mpaka jioni.

Ieleweke hapa sisemi kwamba katiba mpya siyo muhimu.

Ila wakati unalialia kuomba iPhone X unatakiwa kujua mwenzio ana siku tatu hajala.
 
Wewe ambaye usiyeingilika kirahisi, hadi leo bado hata hujaweza hata kujijengea vyoo shuleni na bado unawategemea hao unaowasimanga bila kuwashirikisha na maendeleo yenye tija. Hao Botswana sio ligi yako...
Mkuu huko Botswana siwezi kukusemea sana maana huenda hata izo taarifa za kuisifia Botswana mnapata mtandaoni huenda wanasifia kwa sababu wanaingilika kiurais na kuchukuliwa vitu vyaosie
 
Aliekua anawadanganya kuwa wazungu Ni maadui zetu kafa.
Hawa white wanatufadhiri HADI Pedi za kabinti zetu,HADI London ili tusife achilia mbali mamiundombinu kibao.
Unashindwa kumuhudumia binti yako pedi ya sh 2000 kwa mwezi unategemea kuhudumiwa na watu wa ulaya? Aibu dume zima!!!!

Unajua kwenye hizo pedi zimewekewa kemikali gani?

Huku mshuleni wanapita kisiri kuwachanja mabinti zetu hawa wadogo kabisa chanjo ya kuzuia Kansa ya kizazi huku wazazi hawashirikishwi na hawajui chochote kuhusu hizo chanjo.

Uhakika wa kizazi chetu kuwepo huko mbeleni kwa mienendo hii ya fikra za kitumwa za wananchi Kama wewe, nani mwenyewe uhakika

Tukianzia na wewe[emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji3516]
 
Aliekua anawadanganya kuwa wazungu Ni maadui zetu kafa.
Hawa white wanatufadhiri HADI Pedi za kabinti zetu,HADI London ili tusife achilia mbali mamiundombinu kibao.
Hivi bado tuna watu wanasifia kufadhiliwa pedi? Mungu wangu[emoji15][emoji15][emoji15]
 
Ndugu yangu ukiona white zinakusifia ujue umesalit waafrika wenzio (nchi yako) Angalia wanamsifia kwa kipi mama? Adui huwa anasifia mabaya yako ili uzidi kuharibikiwa na kujimaliza afu baadae anakumaliza huku akizuga anakusaidia
White ndiyo walimsifia Magufuli kuwa Tanzania imefika uchumi wa kati, ili hali mtaani vyuma vimekaza. Naye Magu kila akiongea ni kujisifia yupo uchumi wa kati..

embu tukia kwanza mama apige kazi.
btw ishu ya makanikia iliishiaje?
 
Kabisa! Kina Lisu wakae kwanza kwa amstedam sisi tuko na mama na ccm hadi miaka 100 ipite
Lissu Atarudii kuja kuishi wa Amani katika nchi yake. Na ninakuhakikishia utaona jinsi atakavyotumiwa na Serikali ya Mama. Mama alisema hivi tushirikiane wote na atahakkisha majeraha yanapona. Anahitaji ushiriki wa kila mtu katika kujenga hii nchi. Kila aliyepata majeraha toka Kwa like jitu atapona kabisa. Timeshuhudia jinsi ambavyo haki inatenda KAZI Kwa vitendo. Familia ziliumizwa na sasa zitaungana na kuishi Kwa furaha tena. Wale waliopotea ninaamini nao kuna jinsi watafarijiwa hata Kwa maneno Tu. Itoshe Tu kusema hata Kwa sasa Wana kaunafuu kidogo maana Kwa sasa Ngoma droo. Wafu wameshakutana na sijui Hali ikoje huko#BeniSaanane#Azory#Viroba#kibao😭😭😭😭😭
 
Back
Top Bottom