Rais Samia ameviteka Vyombo vingi vya Habari duniani

Rais Samia ameviteka Vyombo vingi vya Habari duniani

Ndugu yangu ukiona white zinakusifia ujue umesalit waafrika wenzio (nchi yako) Angalia wanamsifia kwa kipi mama? Adui huwa anasifia mabaya yako ili uzidi kuharibikiwa na kujimaliza afu baadae anakumaliza huku akizuga anakusaidia
Aliekua anawadanganya kuwa wazungu Ni maadui zetu kafa.
Hawa white wanatufadhiri HADI Pedi za kabinti zetu,HADI London ili tusife achilia mbali mamiundombinu kibao.
 
Katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, mema yote mnayoandika hapa kuhusu raisi Samia yatageuka kuwa mabaya, na nyie ndio mtakuwa mstari wa mbele kumshambulia. Wapinzani hamna jema.
 
Ccm mbele kwa mbele!

Au hutaki?

Haya basi, mi 10 tena kwa mama! Au nalo hutaki?
Mama Samia anafuta mambo yote ya hovyo ya jiwe.

Kesi ya kuwabambikia viongozi wa chadema.

Bandari ya Bagamoyo itajengwa.

Mama Samia katangaza rasmi kuwa corona ipo Tanzania.
 
Kazi iendelee... Ugaidi, roho mbaya, kubambikia watu kesi, ufisadi, udikteta, mauaji ya Hovyohovyo tupa kule

Mama piga kazi mama push gang waumie vizuri
Pamoja saaana. Acha Waendeleze Kuota. Wakiamka tayari gari imewaacha. Mama kaza span🎤🎤🎤🛠️⚒️🛠️⛏️⚒️🛠️⛏️🛰️🛰️
 
Mkuu ishi kama mungu kakupa upeo wa kufikilia aliyeanzisha utawala Bora Ni nani? Au democrasia Ni nani? Hao hao walioanzisha democrasia kwao haipo ila nyie mkikiuka mnashitumiwa kaa fikiria
Wafuasi wa Jiwe hamnaga jema kwenye utawala wa mama Samia.
 
Hii mitazamo hasi sio mizuri, hata "whites" wana mazuri yao pia, usimfanye kila mtu adui yako utabaki peke yako.
Mzungu always kwa maslahi yake, hana upendo kwa mwafrika yeyote. Akikuonesha upendo, umemwezesha kupata anachokihitaji. Hata hivo huwezi kudumu katika upendo

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Ndugu yangu ukiona white zinakusifia ujue umesalit waafrika wenzio (nchi yako) Angalia wanamsifia kwa kipi mama? Adui huwa anasifia mabaya yako ili uzidi kuharibikiwa na kujimaliza afu baadae anakumaliza huku akizuga anakusaidia
Kwa hiyo wewe mumeo akiwa anakupa kibano tu, amerud amelewa akutandandike akutukane tukane.

Sie tukiingilie utuambie ni wivu tu, wewe unakubaliana na vichapo na matukano ya hadharani.

Kama jamii inayojali utu wa mtu,kamwe hatuwezi kukaa kimya.
 
Ndugu yangu ukiona white zinakusifia ujue umesalit waafrika wenzio (nchi yako) Angalia wanamsifia kwa kipi mama? Adui huwa anasifia mabaya yako ili uzidi kuharibikiwa na kujimaliza afu baadae anakumaliza huku akizuga anakusaidia
Hizo ni fikra mfu. Kati ya nchi zinazosifiwa Duniani kwa demokrasia ni pamoja na Botswana. Nenda Botswana, kaangalie maisha ya Waswana, linganisha na ya Watanzania, halafu niambie ni wapi wananchi wamesalitiwa.
 
Hii mitazamo hasi sio mizuri, hata "whites" wana mazuri yao pia, usimfanye kila mtu adui yako utabaki peke yako.
Kwa ujumla whites wana utu kuliko races nyingine zote. Ndiyo maana kukitokea hata machafuko popote pale, waathirika wanakimbilia Ulaya.
 
Rais anakwenda kuifungua nchi kwa mapana makubwa kuliko waliomtangulia.

Hiyo program aliyoiongelea ya mwezi wa tisa ya kuitangaza nchi ni bonge moja la fursa.

Yeye kuwa mwanamke inampa faida ambazo marais madume wamekuwa wakizikosa.

Analo jukumu la kutunza taswira ya nchi ni lazima awe mkali kwa wasaidizi wake wote ili ule uanamke wake ubakie na heshima ya juu wakati wote wa urais wake.

Ninamuelewa sana anaposisitizia haki kivitendo.
 
Back
Top Bottom