Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,402
- 12,010
Takataka zilizolipwa zisifie. Aibu
NI KWELI KABISA ANANi ukweli usiopingika Dunia sasa inamuangalia Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr Samia Suluhu Hassan kama mwanamke hodari anayejiamini kiasi cha kuifananisha misimamo yake ya kiuongozi na Viongozi wakubwa Duniani kama vile akina Putin, Trump, na wengine..
Watanzania ni fahari kuwa na Rais mzalendo anayesimamia maadili ya sisi watanzania bila kuogopa mashinikizo ya nchi za Ulaya.
Mungu mubariki Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan 🇹🇿
Ni kweli kabisa ameweza baada ya Sheikh Hasina wa Bangladesh amefuata yeyeNi ukweli usiopingika Dunia sasa inamuangalia Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr Samia Suluhu Hassan kama mwanamke hodari anayejiamini kiasi cha kuifananisha misimamo yake ya kiuongozi na Viongozi wakubwa Duniani kama vile akina Putin, Trump, na wengine..
Watanzania ni fahari kuwa na Rais mzalendo anayesimamia maadili ya sisi watanzania bila kuogopa mashinikizo ya nchi za Ulaya.
Mungu mubariki Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan 🇹🇿
Anadaiwa miili ya marehemu waliopoteza maisha kabla, wakati na baada ya uchaguzi mkuu.Hana deni
Na wewe jike dume pia unaweza bila kuwezeshwaNi ukweli usiopingika Dunia sasa inamuangalia Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr Samia Suluhu Hassan kama mwanamke hodari anayejiamini kiasi cha kuifananisha misimamo yake ya kiuongozi na Viongozi wakubwa Duniani kama vile akina Putin, Trump, na wengine..
Watanzania ni fahari kuwa na Rais mzalendo anayesimamia maadili ya sisi watanzania bila kuogopa mashinikizo ya nchi za Ulaya.
Mungu mubariki Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan 🇹🇿
Ni ukweli usiopingika Dunia sasa inamuangalia Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr Samia Suluhu Hassan kama mwanamke hodari anayejiamini kiasi cha kuifananisha misimamo yake ya kiuongozi na Viongozi wakubwa Duniani kama vile akina Putin, Trump, na wengine..
Watanzania ni fahari kuwa na Rais mzalendo anayesimamia maadili ya sisi watanzania bila kuogopa mashinikizo ya nchi za Ulaya.
Mungu mubariki Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan 🇹🇿
Ina maana hujijui kama wewe ni dume jike?Sijajua unamaanisha nn
Damu za wahanga wote aliowaua ile Oktoba 29 na kuendelea, zitamlilia maisha yake yote. Kamwe hatokuja aipate tena ile amani ya moyo aliyokuwa nayo hapo kabla.Ni ukweli usiopingika Dunia sasa inamuangalia Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr Samia Suluhu Hassan kama mwanamke hodari anayejiamini kiasi cha kuifananisha misimamo yake ya kiuongozi na Viongozi wakubwa Duniani kama vile akina Putin, Trump, na wengine..
Watanzania ni fahari kuwa na Rais mzalendo anayesimamia maadili ya sisi watanzania bila kuogopa mashinikizo ya nchi za Ulaya.
Mungu mubariki Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan 🇹🇿
Kweli amethibitisha kuwa wanawake wanaweza.wanaweza kuwa madikteta na kuua watu hata zaidi ya elfu 10.hongera kwake.Ni ukweli usiopingika Dunia sasa inamuangalia Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr Samia Suluhu Hassan kama mwanamke hodari anayejiamini kiasi cha kuifananisha misimamo yake ya kiuongozi na Viongozi wakubwa Duniani kama vile akina Putin, Trump, na wengine..
Watanzania ni fahari kuwa na Rais mzalendo anayesimamia maadili ya sisi watanzania bila kuogopa mashinikizo ya nchi za Ulaya.
Mungu mubariki Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan 🇹🇿
Amani hailindwi kwa kuua watu wasio na hatia.ule ulikuwa ni uharamia na Samia amelaaniwa na atakufa bila kumaliza awamu yake.Msicheze na amani ya Tanzania mtabaki vilema
Baadhi ya waliouliwa walikuwa vibaka waliotaka kuivuruga Tanzania nzima. Kitendo cha kuzima network maana yake serikali ilikuwa inapambana na uhaini.Amani hailindwi kwa kuua watu wasio na hatia.ule ulikuwa ni uharamia na Samia amelaaniwa na atakufa bila kumaliza awamu yake.