Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 13,053
- 18,008
Ila kwa sasa ni rais anayechukiwa zaidi na wananchi wake, ukiacha nyie wa kulipwa kupaka kinyesi rangi, zaidi ya 70% ya watanzania hawampendi, na katika hao kuna 55% ya wanaomchukia, hence hiyo taasisi ikamweka hapo pamoja na wakongwe kama trump ambaye hakunavshaka yoyote kuwa anaongoza kuwa na maadui wengi hasa wa nje ya nchi yake, uniqueness ya samia ni kuwa anachukiwa zaidi na wananchi wake mwenyeweInaweza kuibuka taasisi nyingine ikaweka majina kumi na kusema piga kura ya rais bora wa mwaka na samia akawemo na pia akashinda,
So hapo kwenye kura hamna shida ni maoni tu yanaweza kuwa ya ubora au sio ubora inategemea na taasisi tu, na taasisi nyingi tu