Rais Samia ameutendea haki Urais

Duuuhh, huu ni unafki na uchawa wa wazi wazi toka kwa mleta uzi.

Be serious brother.
 
Huyu Mama anaukumbatia Mfumo wa HOVYO wa Uchaguzi hana jipya.

Na amepanga kupora tena Uchaguzi kipindi kile Walipora yeye na Magufuli sasa anaenda kupora yeye na Mpango.
 
Kumbe wewe umepata chanjo ndo maana akili zipo hivyo[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Ukweli ni kwamba utawala mbovu na dhaifu kupata kutokea ndani ya Tanganyika wa kwanza ni awamu ya 4 ya JK kisha ikafuata hii ya Mama!.
Hata upambe namna gani ila huo ndo ukweli hata wao wanajua hivyo tena wanakushangaa.
Kwako ww Lile shetani lenu la Chato ndo alikuwa Rais!
Are you serious kweli!?
 
Anawasahaulisha kuwa ameuza nchi kwa wajomba zake!!! Unapoainisha mazuri unayosema kafanya usisahau kuwa kuna mabaya pia yakiwemo kuuza bandari za bara na upendeleo wa wazi kwenye teuzi zake kwa wazenz na watu wa imani yake!
Kwanza sisi hatumtaki kabisa
 
Huyu Mama anaukumbatia Mfumo wa HOVYO wa Uchaguzi hana jipya.

Na amepanga kupora tena Uchaguzi kipindi kile Walipora yeye na Magufuli sasa anaenda kupora yeye na Mpango.
Mi huwa hata sijui anafanya nini maana sioni cha maana anachofanya zaidi ya kuzunguka zunguka na kukopa hovyo + matumizi makubwa ya hovyo haswa
 
Wajinga ndivyo mlivyo
Wewe huna akili kabisa .hili siyo jukwaa la wahuni au wavuta bangi.acha kutukana watu matusi pasipo sababu kisa tu umekosa malezi mazuri ya mama yako na kujikulia tu kama vifaranga vilivyo achwa. Jiheshimu na siyo kuropoka ropoka tu humu kama kichaa au mgonjwa wa akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…