Rais Samia ametembelea Jumla ya Mataifa 18 Mwaka 2023

Rais Samia ametembelea Jumla ya Mataifa 18 Mwaka 2023

Matokeo ya hizo safari ni sifuri.

Hizo fedha wanazozichezea bora wangejenga mashule na kuboresha hospital za uma.

Katembelee hospitali za uma ujionee huko maajabu ndio utaacha kusifia ujinga.
 
Kwa mwaka wa 2023 Rais Samia amezulu na kutembelea Jumla ya Mataifa 18 Duniani kote.

Kwenye ziara hizo ameinadi vyema diplomasia ya Uchumi na Diplomasia ya Tanzania ambapo Kupitia ziara zake hizo Nchi imenufaika katika nyanja mbalimbali kuanzia biashara, uchumi,Utalii, uwekezaji,Ajira,Elimu,masoko mapya nk.

View: https://twitter.com/TheCitizenTz/status/1738940999332733041?t=vJ0KpMLIXMx7s4MTjyO4BA&s=19

My Take
Kuna Nchi muhimu na za kimkakati Bado mama hajazifikia mfano Nchi za Scandinavia,Japan,Australia,Canada,DRC Congo,Korea Kusini,Brazil,Egypt na Algeria.

Ni matumaini yangu kwamba Mwaka 2024 atazifikia hizo Nchi hapo Juu.

huko juu hakuna ajali za mamitambo kugongana jamani?
 
Matokeo ya hizo safari ni sifuri.

Hizo fedha wanazozichezea bora wangejenga mashule na kuboresha hospital za uma.

Katembelee hospitali za uma ujionee huko maajabu ndio utaacha kusifia ujinga.
Una Kipimo Cha kuonesha matokeo ya safari ni zero?

Kwani mashule hayajengwi? Kuna Rais anajenga mashule kumzidi Samia?
 
Hii taarifa yako hujaitafakari vizuri kabla ya kuileta humu!!!

Ungekuwa na akili za kutosha ungetambua kwamba kisiasa hili la kuzurula linampunguzia mama heshima!!

Ukifuatilia ziara za mama utajua Kila ziara ililazimika Serikali kutoa ufafanuzi wa kwa nini Kuna hiyo ziara. Utakumbuka pia msululu wa watu anaoambatana nao umekuwa ukiwakera walipa Kodi.

Katika ziara hizi mara zote tunaambiwa zimeleta neema ya Mikopo, lakini hapohapo walipa Kodi hawaoni tija ya Mikopo hiyo kwa umma. Yapo malalamiko kwamba pesa nyingi zinaishia mifukoni mwa wajanja.

Kwahiyo tunapoelekea kwenye chaguzi za 2024 na 2025 ni vyema ukatambua kwamba hili andiko lako linamchafua mama na huenda baadaye Serikali ikalazimika kutoa ufafanuzi.

UCHAWA ni UCHAFU
Kuwa mpumbavu ni kipaji chako

Mama hawezi kuacha kusafiri Kwa mustakabali na maslahi ya Nchi Kwa sababu eti Kuna wapumbavu kama wewe mnawaza matokeo ya Kisiasa.

Lazima atoe mrejesho wa ziara kuwaeleza Watanzania kilichomsukuma kufanya Ziara.Suala la msururu wa watu ni kawaida Kwa viongozi kuambatana na wafanyabiashara nk

Aliyekwambia Kila ziara imeleta Mkopo ni nani? Ziara ya Burundi,Malawi,Zambia nk ilikuletea Mkopo kiasi gani?

Ziara zinalenga kukuza Ushirikiano katika nyanja mbalimbali na jambo kuu ni diplomasia ya uchumi.mbumb kama wewe unaposema hazina Tija una uhakika?

Pole sana Mkuu,mama atasafiri kama kawa so long as ziara zinalenga maslahi ya Kiuchumi, biashara, uwekezaji na mambo kama hayo.

Stori za sijui kumchafua and such upuuzi hazijaanza Leo na akiwa wa ignore kitambo sana.

Natoa wito Kwa Rais Samia kuendelea kufanya ziara za Kimataifa Ili kuifungua Nchi.
 
Tuwekee na tija ya hizo safari zake, kama nchi tumefaidika na nn?!.
Au ni yeye na kundi lake kulamba posho tu za safari.
Kila ziara ikifanyika Serikali Huwa inaleta mrejesho.

Kama Huwa unakuwa kulewa Sasa huo mzigo wako sio wangu.Sina mda mchafu tafuta vyanzo utapata faida za safari za mama.
 
Kuwa mpumbavu ni kipaji chako

Mama hawezi kuacha kusafiri Kwa mustakabali na maslahi ya Nchi Kwa sababu eti Kuna wapumbavu kama wewe mnawaza matokeo ya Kisiasa.

Lazima atoe mrejesho wa ziara kuwaeleza Watanzania kilichomsukuma kufanya Ziara.Suala la msururu wa watu ni kawaida Kwa viongozi kuambatana na wafanyabiashara nk

Aliyekwambia Kila ziara imeleta Mkopo ni nani? Ziara ya Burundi,Malawi,Zambia nk ilikuletea Mkopo kiasi gani?

Ziara zinalenga kukuza Ushirikiano katika nyanja mbalimbali na jambo kuu ni diplomasia ya uchumi.mbumb kama wewe unaposema hazina Tija una uhakika?

Pole sana Mkuu,mama atasafiri kama kawa so long as ziara zinalenga maslahi ya Kiuchumi, biashara, uwekezaji na mambo kama hayo.

Stori za sijui kumchafua and such upuuzi hazijaanza Leo na akiwa wa ignore kitambo sana.

Natoa wito Kwa Rais Samia kuendelea kufanya ziara za Kimataifa Ili kuifungua Nchi.
Huna akili wewe CHAWA. Kinachokusumbua wewe ni Imani yako tu ya kiarabu
 
Back
Top Bottom