Bunge limepokea muswada kutoka kwa Rais Samia Suluhu unaopendekeza kufutwa kwa Sheria ya Tozo ya Kodi ya Mazao iliyokuwa ikitoza kodi ya zuio ya 2% mwananchi akiuza mazao ya kilimo, mifugo na uvuvi.
Tozo hiyo ikiondolewa, fedha zitarudi mifukoni mwa wananchi.
Hongera na Asante Rais Samia kwa kuwajali wakulima