Rais Samia amefuata ushauri wa Prof. Janabi? Mbona amepungua sana!

Rais Samia amefuata ushauri wa Prof. Janabi? Mbona amepungua sana!

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,499
Wakuu

Picha za leo kwenye uzinduzi wa Jengo la Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa ambalo pia ndiyo Makao Makuu ya JWTZ na Wizara ya Ulinzi iliyopigwa na Ikulu zikimuonyesha amepungua sana! Tofauti na picha zake nyingi.

SnapInsta.to_641736795_18314483425258462_7930268599553448924_n.jpg
SnapInsta.to_641639103_18314483434258462_1482957530919208073_n.jpg

Picha hii inaonyesha Rais akiwa tofauti kimuonekano ukilinganisha na hizi za leo

SnapInsta.to_590316264_1437545278377914_5192458853202750424_n.jpg
 
stress mkuu, huyu mama tuwe tunamuonea huruma anayoyapitia kwa sasa ni mengi....nahisi kuna wakati akiwa peke yake huwa analia kwa uchungu sana..sema mfumo uliopo unamlazimisha aendelee kuwepo pale na kuna watu wanahisi akitoka tu hawatoendelea kunufaika
 
Chawa na wapigaji wanamtumia waendelee kula lakini anaonekana kabisa hata hayo madaraka hana hamu nayo tena
 
Back
Top Bottom