Rais Samia amefanya ziara ya kikazi ya siku moja Nchini Msumbiji

Ni jambo jema kudumisha uhusiano mzuri na nchi jirani, LAKINI uhusiano mzuri wa ndani ni muhimu zaidi.

Aibu kubwa dhidi ya Samia ni kesi ya kubumba anayoipigia chapuo na kushabikia dhidi ya Mbowe.

Uchafu wake huo ndio unaomfanya ashindwe kutembelea mataifa makubwa yenye ustaarabu yanayothamini demokrasia na haki za watu.
Mbona kesi inaendelea Mahakamani? Unataka Rais afanye nini? Aingilie Mahakama ili mpate cha kusema?

Ingekuwa Mbowe yuko ndani na kesi haiendelei kama ya wale mashehe wa UAMSHO tungeelewa.
 
General Venance Salvatory Mabeyo na IGP Simon Sirro wakutana na wakuu wa vyombo vya usalama vya Mozambique kuzungumzia mkakati wa usalama na jinsi ya kuendesha kwa pamoja operesheni ktk eneo la mpakani baina ya nchi mbili na pia kumaliza tatizo la Uganda Cabo Delgado



Mozambique and Tanzania FDS assess operational coordination stage in Cabo Delgado

FDS de Mozambique e Tanzania avaliam estàgio de coodenaçào operacional em Cabo Delgado

Source: Televisào de Mozambique TVM
 
27 janeiro 2022

Mnadhimu Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania ( Chief of Staff TPDF) Lieutenant -General Matthew Edward Mkingule atembelea wanajeshi wa JWTZ waliopo ktk vikosi vya nchi za SADC SAMIM katika operesheni kaskazini mwa Mozambique kuwagoa magaidi waliopo ktk jimbo la Cabo Delgado lililopo Kaskazini ya Mozambique



O Chefe do Estado-Maior, Força de Defesa Popular da Tanzânia (TPDF), Tenente-General Matthew Edward Mkingule, visitou, a 24 de Janeiro de 2022, as forças SAMIM destacadas na província de Cabo Delgado.
 
17 November 2021

Tanzania President says her country is willing to support Mozambique in fight against insurgents



Tanzanian President Samia Suluhu Hassan says her country is willing to support Mozambique in its fight against insurgents and is not ready to see Mozambique's sovereignty compromised. Tanzania sent troops to help defend its border with Mozambique earlier this year. SABC's Daniel Kijo has more.

Source : SABC News
 
Back
Top Bottom