Rais Samia ameenda Urusi kuitisha Marekani?

Marekani anatishiwa na nani mkuu?
Marekani ni Marekani tuu! Huwezi waimbia taarabu wamarekani kuwarusha roho! 😊
Eti, nyie haters, Kwani mbona mnalazimisha kumuwekea Samia maneno yenu mdomoni?!!! Lini amejibishana na USA?!!! Msichokijua ni kuwa Tz na USA Bado uhusiano upo tu, tena wa maana haswaa.
 
Kundi kubwa sana la watu weusi kama lile la walioenda Morroco kushangilia mpira, hakuna tofauti, gharama zetu hizi.
 
Kachagua the wrong block!Hola hadi keshokutwa asubuhi!
 
ujinga mkubwa sana marekani iwe na mvutano na nchi kama hiyo isiyo na ushawishi tena
 
Russia anatafuta na anatengeneza urafiki na yeyote anayeonyesha kukorofishana na marekani.
 
Kweli nyumbu hawana kazi za kufanya. Kwani ni Samia peke yake aliyetwmbelea urusi?!!! Mbona mataifa kibao tu ya Afrika Yana mahusiano mazuri na urusi na hakuna shida? Isitoshe, Tanzania Ina ukubwa gani kidunia Hadi marekani aiwazie kiasi hicho?!!!
Muulize Mwigulu ambaye kila akizurura nchini anasema tuna raslimali kibao hadi tunaonewa wivu na mabeberu. Ama umesahau hiyo propaganda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…