Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,135
- 9,628
- Thread starter
- #81
Nduu ufunge Domo, Kwan JPM alimaliza muda wakeKwani kamaliza Muda wake
Nduu ufunge Domo, Kwan JPM alimaliza muda wakeKwani kamaliza Muda wake
UnatesekaNdugai na Charamila walifanyaje walipojalibu kutoa maoni?sema kuwapereka ikuru kunywa uji akina Mbowe,ndio maana wafuasi wa mbowe mnamsifia lakini Samia amna lolote
Ng'ombeKwa taarifa yako kama unazijua vizuri siasa za tanzanua hususani upinzani ni kwamba huyu mama anajiandalia kifo chake kisiasa ama kifo cha chama.
Pengine sababu ameupata urais mezani, hajashindanishwa wala kushindana na mtu yeyote. Mazingira ya ushindani ndio hutengeneza visasi, chuki na majivuno.
Leo hii Tundulisu na chadema wanasimama duniani na kusema wao ndio walishinda uchaguzi dhidi ya Magufuli wakati hata mtoto wangu wa miaka minne atakuambia kazi za magufuli kwa kipindi kifupi toka aingie wakati huyo lissu hata lugoba hawamfahamu. Na bado anahamasisha chama chake na wafuasi wao wasusie serikali.
Kifupi Magufuli aliwajua vizuri upinzani. Enzi za JK ukitaka kula nae ilikuwa lazima uwe mpiga kelele na kuonyesha upo tofauti nae na hasa kutoka upinzani. Alifanya kama afanyavyo huyu maza.
Mwisho wa siku hakuishia tu kukataliwa na upinzani, bali hadi ccm wenzie.
Samwel Sita aliamua kuungana na upinzani na kuwapa airtime bungeni kadri alivyoweza.
Mwisho wa siku hakuishia tu kukataliwa na upinzani kwa kubezwa kuwa alikuwa na chuki binafsi na lowasa, bali hadi ccm wenzie walimkataa.
Hata kule zanzibar ilipoundwa SUK na maalim seif kuingia serikalini, wao walitaka kujitengenezea mazingira ya ushindi tu. Kiukweli ccm ilitikiswa haswa zanzibar na mwishowe shein akiwa rais akasema maalim seif alikuwa anajitengenezea mazingira ya kisiasa na sio kuisaidia serikali.
Huyu mama haijui siasa, hawajui kina mbowe, hawajui wanaccm. Muda utasema.
Hata COVID-19 ni global issue ila kuna kichwa kilitumia akili.Sipati picha Rais Samia angekuwa Rais wa awamu ya tano kama tusingekuwa lockdown na kulazimishwa chanjo.Huyo Ni Global issue, ata now California gesi Ni $6 per gallon wakati utawala wa Trump ilikuwa $1.9
Kwahiyo unakubaliana nae kuwa TANZANIA na Marekani purchasing power Iko sawa kule na huku?Huyo Ni Global issue, ata now California gesi Ni $6 per gallon wakati utawala wa Trump ilikuwa $1.9
Mtu hujijengea mwenyewe heshima yake, I mean anajijengea mazingira ya kuheshimiwa. Mtu katili muuwaji asiyefuata sheria hawezi kuheshimiwa.Waheshimu Marehemu ,waombee lkn pia heshimu basi hata kidogo Familia yake
Hivi huyu rais wetu mbona kila mtu anamuita mama? Kwa nini wengine tusimuite dada?mama amesikitika jinsi Sugu alivyoburutwa bungeni
JPM aliyafanya hayo chini ya CCM kama unadanganyika na siasa za Sasa subiri uone kama watakubali kuleta katiba mpya au Tume ya uchaguzi yenye uwazi haswa ikiwemo matokeo ya Urais kuhojiwa mahakamani, kama Bunge la chama hichohicho limewakumbatia Wabunge ambao wameshafukuzwa chama usitegemee jipya, na ufisadi upo tu usidanganywe kuwa umeisha wizi ni mfumo Dola wa CCMTulikuwa tunawaambia kuwa Magufuli alikuwa mjinga, mshamba, katiri, zero brain kabisa, mkadhani tulikuwa tunamchukia.
Ubabe wa Magufuli ulifanya nchi irudi nyuma, socially, economically na politically. Yeye aliamini kutumia nguvu,kuteka, ua, filisi, funga wapinzani na kadharika, pamoja na yote.
- Magufuli alifeli vibaya Sana kiuchumi, alikopa Hadi Basi, maana aliua uchumi na kuvuruga diplomasia wakati nchi yake Ni masikini ata GDP yake haifiki ata $70b.
- Alishindwa kutengeneza ajira, angalia sahivi angalau ajira zimefunguka, kila sector inaajiri, Magufuli alichofanya Ni kupunguza wafanyakazi Basi.
- Alishindwa kupandisha madaraja na mishahara kwa miaka 5, wakati mwezake mwaka tu kafanya yote.
- Statistically Magufuli alijenga barabarani chache Sana, ukilinganisha na mtangulizi wake JK, kwa miaka mitano yaani JK(2005-2010) na yeye (2015-2020) kwa miaka mitano ya Magufuli bajeti ya Tarura haikuwai zidi Tsh200b wakati Samia now Ni 800b.
- Aliharibu diplomasia, ubabe wa kishamba, sasa ukiwa na Bunge la chama kimoja ni sifa, lijitu halikuwa na aibu yaani hata nchi zilizoendelea Mabunge yao unakuta majority ni 51% na minority Ni 49%, lakini huyu Jiwe alitaka 100% iwe CCM tu.
Samia baada ya kuingia madarakani akaanza na umagufuli, kwa kumfunga Mbowe, nadhani matokeo aliyaona, Samia alichukiwa saaana kipindi Mbowe Yuko rumande, alipokuwa anaenda nje alikuwa anaulizwa kuhusu Mbowe, Mbowe, Mbowe. Akipost kitu yalikuwa Ni matusi tu, maana watu walikuwa na hasira naye.
Baada ya kumtoa Mbowe akacheza kiakiri, akashikana nae na kuahidi kushirikiana nae, believe me, Samia sio kwamba anampenda Sana Mbowe, lakini ameona siasa za kukomoana hazimsaidii kitu zaidi ya kuvuna chuki.
Now anakutana na wanasiasa wa upinzani, mpaka sherehe zao anaudhuria, kwa kufanya hivyo
- Amepunguza chuki kwa Watanzania
Believe me Samia atatawala kwa raha Sana kuliko JPM, maana siasa za chuki anazizika, na inakuwa credit sana kwake.
- Anajitengenezea njia ya kuaminiwa kimataifa
- Sahivi anatawala kwa raha Sana
Wewe endelea kutumiwa na mwanaume mwenzio, mwisho wa siku atakutumia hata katika ile njia ambayo sio sahihi kutumiwa.Cheki hii ngombe
Nakuona umeweka pozi ukisubiri ugali wakoNa wewe kiroboto unafutaje ugali wako? Kwa kwenda kufanya usafi kwenye kaburi kule Chato?
Marehemu hasemwi toka lini?Tumefundindishwa sisi Marehemu haswemwi,
lakini ndugu muandishi nikuulize mbona mnatumia Minguvu sana kumsifia huyu Mama.
Anyway inaonekana uchumi wako umelindwa laiti ungeguswa usingeandishi maandiko kama haya.
Waheshimu Marehemu ,waombee lkn pia heshimu basi hata kidogo Familia yake
Mwisho
nikupe taarifa MIRADI YOTE ANAYOZINDUA mama mwanzilishi ni JPM chuma kutoka chato
vitu ambavyo MAMA ameanzisha ni TOZO na kwenda kumpeleka PETER kutalii kwenye hifadhi zetu bila kulipa chochote na kumlipa 7B
Swala la watumishi kuongezewa mishahara sisi halituhusu maana huwezi kuwa na watoto ukaacha kuwahudumia akati ni jukumu lako
hivyo ni jukumu lake kuwaongeza na kuwapandisha madaraja na ipo kwa mujibu wa sheria.
MImi ni CCM kindakindaki na sisi CCM NI WAKWELI.wanachama wote ni sawa .sio Samia wala JPM,
POVU RUKSA
Uzi sio wa kwako, lkn umeuvamia kwa tamaa zako. Mlamba viatu vya mwenyekiti ktk ubora wako wa kupigania tumbo lako 😂😂🤣🤣Kusema kweli Mwenyezi Mungu alitufanyia upendeleo wa kipekee Watanzania March 17 kwa kutuondolea lile jinamizi bila hata tone la damu kumwagika.
Nakuona ukiwa kwenye mawindo ukitafuta bwana ili upate mkate wako wa sikuNakuona umeweka pozi ukisubiri ugali wako
Enzi zako ukilamba viatu vya marehemu mekoUzi sio wa kwako, lkn umeuvamia kwa tamaa zako. Mlamba viatu vya mwenyekiti ktk ubora wako wa kupigania tumbo lako![]()
Ng'ombe jikeWewe endelea kutumiwa na mwanaume mwenzio, mwisho wa siku atakutumia hata katika ile njia ambayo sio sahihi kutumiwa.
Wa hovyo ni wewe na mtazamo wako! Sasa hayupo Fanyeni basi hata robo TU ya alichokuwa anakifanya kwa nchi yake na raia wake kama ninyi mna maana yoyote mfyuuuuu!Very unfortunate nation. Yaani ukitaka kujua kuwa Magufuli alikuwa mtu wa HOVYO angalia watu ambao aliwakumbatia kama wasaidizi wa karibu.
1. Daud Bashite aka Makonda
2. Lengai Ole Sabaya
3. Mrisho Gambo
4. Albert Chalamila
Hiyo mijitu yote ni takataka, miuaji, mijitu ya unyang'anyi na iliyokosa maadili. Still wapumbavu bado wanamuita Magufuli shujaa wao
Lina faida kuliko weye kunguni!Mbuzi jike
Ilo jitu lenu lilikuwa la hovyo ndo maana kila mtu analogwayaWa hivyo ni wewe na mtazamo wako! Sasa hayupo Fanyeni basi hata robo TU ya alichokuwa anakifanya kwa nchi yake na raia wake kama ninyi mna maana yoyote mfyuuuuu!
Mnapiga makelele ya kipumbufu wakati raia wanataka maendeleo kwa kuboresha huduma! Mnachoweza ni kukatakata umeme, na maji! Kupandisha bei vitu kwa kuachia mfumko wa bei! Mnachoweza ni wizi TU mapungu nyie mfyuuuuu!
Mtazamo wa kipumbufu na ni aibu kujiita msomi usieweza kuitumia hata sehemu ya kupambanua mambo yaliyo dhahiri!Mwenzako ana PhD eti anaishi kitapeli. Jpm aliwatelekeza wasomi wote akageukia akina makonda na mazero brains wengine Samia ameona umuhimu wa wasomi ndo Mana anawapandisha vyeo na mishahara kwa Nini wasimfurahie? Kazi ya jpm alikuwa moja tu kuua na kutesa
Wewe huku JF siyo kwako. Nenda MEMKWA au QT ukasome kwanza ujue namna ya kuandika sentensi kwa ufasahaNdugai na Charamila walifanyaje walipojalibu kutoa maoni?sema kuwapereka ikuru kunywa uji akina Mbowe,ndio maana wafuasi wa mbowe mnamsifia lakini Samia amna lolote