Rais Samia amechanga karata zake vizuri

Rais Samia amechanga karata zake vizuri

Tulikuwa tunawaambia kuwa Magufuli alikuwa mjinga, mshamba, katiri, zero brain kabisa, mkadhani tulikuwa tunamchukia.

Ubabe wa Magufuli ulifanya nchi irudi nyuma, socially, economically na politically. Yeye aliamini kutumia nguvu,kuteka, ua, filisi, funga wapinzani na kadharika, pamoja na yote.

- Magufuli alifeli vibaya Sana kiuchumi, alikopa Hadi Basi, maana aliua uchumi na kuvuruga diplomasia wakati nchi yake Ni masikini ata GDP yake haifiki ata $70b.

- Alishindwa kutengeneza ajira, angalia sahivi angalau ajira zimefunguka, kila sector inaajiri, Magufuli alichofanya Ni kupunguza wafanyakazi Basi.

- Alishindwa kupandisha madaraja na mishahara kwa miaka 5, wakati mwezake mwaka tu kafanya yote.

- Statistically Magufuli alijenga barabarani chache Sana, ukilinganisha na mtangulizi wake JK, kwa miaka mitano yaani JK(2005-2010) na yeye (2015-2020) kwa miaka mitano ya Magufuli bajeti ya Tarura haikuwai zidi Tsh200b wakati Samia now Ni 800b.

- Aliharibu diplomasia, ubabe wa kishamba, sasa ukiwa na Bunge la chama kimoja ni sifa, lijitu halikuwa na aibu yaani hata nchi zilizoendelea Mabunge yao unakuta majority ni 51% na minority Ni 49%, lakini huyu Jiwe alitaka 100% iwe CCM tu.

Samia baada ya kuingia madarakani akaanza na umagufuli, kwa kumfunga Mbowe, nadhani matokeo aliyaona, Samia alichukiwa saaana kipindi Mbowe Yuko rumande, alipokuwa anaenda nje alikuwa anaulizwa kuhusu Mbowe, Mbowe, Mbowe. Akipost kitu yalikuwa Ni matusi tu, maana watu walikuwa na hasira naye.

Baada ya kumtoa Mbowe akacheza kiakiri, akashikana nae na kuahidi kushirikiana nae, believe me, Samia sio kwamba anampenda Sana Mbowe, lakini ameona siasa za kukomoana hazimsaidii kitu zaidi ya kuvuna chuki.

Now anakutana na wanasiasa wa upinzani, mpaka sherehe zao anaudhuria, kwa kufanya hivyo
- Amepunguza chuki kwa Watanzania
  • Anajitengenezea njia ya kuaminiwa kimataifa
  • Sahivi anatawala kwa raha Sana
Believe me Samia atatawala kwa raha Sana kuliko JPM, maana siasa za chuki anazizika, na inakuwa credit sana kwake.
Nani alisema Mboe ni gaidi?
 
Tumefundindishwa sisi Marehemu haswemwi,

lakini ndugu muandishi nikuulize mbona mnatumia Minguvu sana kumsifia huyu Mama.

Anyway inaonekana uchumi wako umelindwa laiti ungeguswa usingeandishi maandiko kama haya.

Waheshimu Marehemu ,waombee lkn pia heshimu basi hata kidogo Familia yake

Mwisho

nikupe taarifa MIRADI YOTE ANAYOZINDUA mama mwanzilishi ni JPM chuma kutoka chato
vitu ambavyo MAMA ameanzisha ni TOZO na kwenda kumpeleka PETER kutalii kwenye hifadhi zetu bila kulipa chochote na kumlipa 7B

Swala la watumishi kuongezewa mishahara sisi halituhusu maana huwezi kuwa na watoto ukaacha kuwahudumia akati ni jukumu lako

hivyo ni jukumu lake kuwaongeza na kuwapandisha madaraja na ipo kwa mujibu wa sheria.

MImi ni CCM kindakindaki na sisi CCM NI WAKWELI.wanachama wote ni sawa .sio Samia wala JPM,

POVU RUKSA
Wewe jamaa mbona Magu alifungua miradi kibao ya Kikwete ikiwemo tazara na daraja la kigamboni, ujenzi wa miundombinu ya jamii ni jambo la kawaida ila kuongoza taifa unapaswa kuwa na akili ya zaida. Taifa ina roho na uhai wake ni usalama na umoja wakitaifa. Maguu aliamini vitu kuliko utu ndio maana kwenye utawala wake hofu ilikuwa kubwa sana kuliko ilivyo Sasa. Watanzania tulipaswa kusifia tu kuliko kukosoa hata kwa jambo jema. Kuliibuka makundi ya untouchable wanaongea na kuropoka wanavyojisikia. Kiungozi mzuri anasifiwa kwa utu sio vitu
 
Mbona JPM hakuongeza,? Hiv kweli huoni mabadiriko, Samia ameumiza watu kuliko JPM, Niwekee list ya watu alioumiza Samia, mie naweka ya JPM
-Mbowe(filisiwa vibaya Sana)
-sugu(fungwa)
-Lema(fungwa)
-Lissu(unajua)
-Manji(filisiwa)
-Ben saanane, Lwajabe, Kanguye,azory Gwanda, Akwilina(uliwa)
-malinzi, Rugemalira,
-Mo, Roma, Nondo, Tito magoti, mdude(walitekwa)
- wafanya bihashara kufilisiwa,n.k

Niwekee list ya watu walioumizwa na Samia, Magufuli alikuwa shetani, mshamba, katiri, zero brain, jitu lilikuwa useless, hopeless kabisa
-
Nitajie Raisi alietoka madarakani bila kuua?
 
Umaskini mkubwa ndio maana World Bank wakkaitangaza Tanzania kuwa nchi yenye uchumi wa kati. Amekufa Maghufuli hata miaka 2 bado the same World Bank wanairudisha Tanzania katika nchi yenye uchumi duni. Huo ndio umaskini ulioletwa na JPM???
Wewe kwa akili zako uliona tulifika uchumi wa Kati kama sio hadaa za kumtafuta jamaa yenu aingie kingi walipue
 
Wewe jamaa mbona Magu alifungua miradi kibao ya Kikwete ikiwemo tazara na daraja la kigamboni, ujenzi wa miundombinu ya jamii ni jambo la kawaida ila kuongoza taifa unapaswa kuwa na akili ya zaida. Taifa ina roho na uhai wake ni usalama na umoja wakitaifa. Maguu aliamini vitu kuliko utu ndio maana kwenye utawala wake hofu ilikuwa kubwa sana kuliko ilivyo Sasa. Watanzania tulipaswa kusifia tu kuliko kukosoa hata kwa jambo jema. Kuliibuka makundi ya untouchable wanaongea na kuropoka wanavyojisikia. Kiungozi mzuri anasifiwa kwa utu sio vitu
Umemuelezea magu vizuri na alikua hivyo kweli, sidhani Kuna mtu mwenye akili atakataa.
Ila kwa Sasa pia hiyo hofu ipo, imehama kutoka kwa Hawa kwenda kwa wale.
Pia kwenye kusifia hapo hebu niambie hata sasa huono kama sifa nazo zimezidi? Huoni hata katibu wa chama analazimisha wakuu wa mikoa kusifia? Sasa hivi nchi nzima kumejaa mabango barabarani ya kumsifia raisi, unaweza kusema tupo kwenye uchaguzi mkuu. Sifa zimeenda mbali hadi timu za soka zinavaa jezi yenye picha ya raisi.
 
H

Hivi upo serious au ni mabangi! Au unafikiri watz wote ni mataahira kama wewe?
Wenye utimamu wa akili wote wanajua rais wa Tz alikuwa Magu TU ukiacha Mel. J.K. Nyerere! Wewe na mandondocha wenzako mnaoishi kitapelitapeli endeleeni ni upuuzi wenu mfyuuuuu 😡!
Mwenzako ana PhD eti anaishi kitapeli. Jpm aliwatelekeza wasomi wote akageukia akina makonda na mazero brains wengine Samia ameona umuhimu wa wasomi ndo Mana anawapandisha vyeo na mishahara kwa Nini wasimfurahie? Kazi ya jpm alikuwa moja tu kuua na kutesa
 
Mbona JPM hakuongeza,? Hiv kweli huoni mabadiriko, Samia ameumiza watu kuliko JPM, Niwekee list ya watu alioumiza Samia, mie naweka ya JPM
-Mbowe(filisiwa vibaya Sana)
-sugu(fungwa)
-Lema(fungwa)
-Lissu(unajua)
-Manji(filisiwa)
-Ben saanane, Lwajabe, Kanguye,azory Gwanda, Akwilina(uliwa)
-malinzi, Rugemalira,
-Mo, Roma, Nondo, Tito magoti, mdude(walitekwa)
- wafanya bihashara kufilisiwa,n.k

Niwekee list ya watu walioumizwa na Samia, Magufuli alikuwa shetani, mshamba, katiri, zero brain, jitu lilikuwa useless, hopeless kabisa
-
Wewe ni mpumbavu takataka kabisa!

Mbowe kafungwa miezi 8 karibu mwaka mzima nani alimfunga?

Unamjua ulimboka wewe?
Mwangosi unamjua?
Dr mvungi unajua kilichomuua?
Kubenea unajua nani alimmwagia tindikali ili awe kipofi?
Balile nae unajua nani alimmwagia tindikali?
Unajua lile bomu kwenye mkutano wa chadema pale soweto arusha lilioua watu 5 nani alirusha?

Yote hayo akikuwa Magufuli yule?

Wewe sema tu kama ni miongoni mwa wale waliachiwa mimba na mwamba tukuelewe chanzo cha hasira zako!
 
Umemuelezea magu vizuri na alikua hivyo kweli, sidhani Kuna mtu mwenye akili atakataa.
Ila kwa Sasa pia hiyo hofu ipo, imehama kutoka kwa Hawa kwenda kwa wale.
Pia kwenye kusifia hapo hebu niambie hata sasa huono kama sifa nazo zimezidi? Huoni hata katibu wa chama analazimisha wakuu wa mikoa kusifia? Sasa hivi nchi nzima kumejaa mabango barabarani ya kumsifia raisi, unaweza kusema tupo kwenye uchaguzi mkuu. Sifa zimeenda mbali hadi timu za soka zinavaa jezi yenye picha ya raisi.
Hii ni laana ambayo magu ametuacha nayo kwa sababu viongozi niwatumishi wa umma na wanalipwa maburungutu hawafanyi bure. Yanaibuka makundi ya machawa na wasaka tonge wao ni kusifia tu bila mpango wowote yaani wanaficha makosa. Nilidhani samia atakataa huu unafiki ila cha kushangaza ameamua kwenda na upepo
 
Wewe kwa akili zako uliona tulifika uchumi wa Kati kama sio hadaa za kumtafuta jamaa yenu aingie kingi walipue
Sikujua kama World Bank ni waongo kiasi hicho. Hatukuwahi kujitangaza kuwa tulifikia uchumi wa kati, bali tulitangazwa. Juzi Rais Samia kaenda kupokea tuzo kwa maendeleo makubwa ya miundombinu Tanzania ambayo kwa kiasi kikubwa ilitupeleka kwa uchumi wa kati. Je unafahamu yeye Rais Samia alisema hiyo tuzo aliistahili nani???
 
Mwenzako ana PhD eti anaishi kitapeli. Jpm aliwatelekeza wasomi wote akageukia akina makonda na mazero brains wengine Samia ameona umuhimu wa wasomi ndo Mana anawapandisha vyeo na mishahara kwa Nini wasimfurahie? Kazi ya jpm alikuwa moja tu kuua na kutesa
Taja listi ya watu 5 aliowaua na ushidi wake
 
Tulikuwa tunawaambia kuwa Magufuli alikuwa mjinga, mshamba, katiri, zero brain kabisa, mkadhani tulikuwa tunamchukia.

Ubabe wa Magufuli ulifanya nchi irudi nyuma, socially, economically na politically. Yeye aliamini kutumia nguvu,kuteka, ua, filisi, funga wapinzani na kadharika, pamoja na yote.

- Magufuli alifeli vibaya Sana kiuchumi, alikopa Hadi Basi, maana aliua uchumi na kuvuruga diplomasia wakati nchi yake Ni masikini ata GDP yake haifiki ata $70b.

- Alishindwa kutengeneza ajira, angalia sahivi angalau ajira zimefunguka, kila sector inaajiri, Magufuli alichofanya Ni kupunguza wafanyakazi Basi.

- Alishindwa kupandisha madaraja na mishahara kwa miaka 5, wakati mwezake mwaka tu kafanya yote.

- Statistically Magufuli alijenga barabarani chache Sana, ukilinganisha na mtangulizi wake JK, kwa miaka mitano yaani JK(2005-2010) na yeye (2015-2020) kwa miaka mitano ya Magufuli bajeti ya Tarura haikuwai zidi Tsh200b wakati Samia now Ni 800b.

- Aliharibu diplomasia, ubabe wa kishamba, sasa ukiwa na Bunge la chama kimoja ni sifa, lijitu halikuwa na aibu yaani hata nchi zilizoendelea Mabunge yao unakuta majority ni 51% na minority Ni 49%, lakini huyu Jiwe alitaka 100% iwe CCM tu.

Samia baada ya kuingia madarakani akaanza na umagufuli, kwa kumfunga Mbowe, nadhani matokeo aliyaona, Samia alichukiwa saaana kipindi Mbowe Yuko rumande, alipokuwa anaenda nje alikuwa anaulizwa kuhusu Mbowe, Mbowe, Mbowe. Akipost kitu yalikuwa Ni matusi tu, maana watu walikuwa na hasira naye.

Baada ya kumtoa Mbowe akacheza kiakiri, akashikana nae na kuahidi kushirikiana nae, believe me, Samia sio kwamba anampenda Sana Mbowe, lakini ameona siasa za kukomoana hazimsaidii kitu zaidi ya kuvuna chuki.

Now anakutana na wanasiasa wa upinzani, mpaka sherehe zao anaudhuria, kwa kufanya hivyo
- Amepunguza chuki kwa Watanzania
  • Anajitengenezea njia ya kuaminiwa kimataifa
  • Sahivi anatawala kwa raha Sana
Believe me Samia atatawala kwa raha Sana kuliko JPM, maana siasa za chuki anazizika, na inakuwa credit sana kwake.
Yule bwana alikuwa ni mjinga na asiyetumia akili..

Aliwekeza nguvu kubwa kuhangaika na wapinzani na wakosoaji,Samia saizi kawaacha wanajisemesha wee lakini anawapuuza..

Moja ya mambo yaliyonikera kipindi cha Mwendazake ni kuanzisha mradi wa sgr ambao ni hasara kubwa Sana kama Nchi tumepata na tutaendelea kupata kwa miaka mingi ijayo..

Pesa zilizozikwa kwenye sgr pekee zaidi ya Til.15 zilitosha kujenga zaidi km 12,000 za lami Nchi nzima..

Hizi barabara zingefungua Sana fursa ya Nchi hii then baada ya 2025 ndio tungeanza kuwekeza kwenye reli tukiwa na uchumi mkubwa na bila kuumiza sekta zingine..

Hili jambo linaniuma Sana,pili aliua sekta binafsi ambayo ilikuwa imeanza kufanya vizuri enzi za JK,angeendeleza pale leo hii Tanzania ingekuwa na Uchumi mkubwa sana Sasa ni kila tumeanza upya..

I second him kwenye mradi wa Bwawa la umeme tuu,vingine vyote ni vidogo vidogo hata haifai kujisifia..
 
Wewe ni mpumbavu takataka kabisa!

Mbowe kafungwa miezi 8 karibu mwaka mzima nani alimfunga?

Unamjua ulimboka wewe?
Mwangosi unamjua?
Dr mvungi unajua kilichomuua?
Kubenea unajua nani alimmwagia tindikali ili awe kipofi?
Balile nae unajua nani alimmwagia tindikali?
Unajua lile bomu kwenye mkutano wa chadema pale soweto arusha lilioua watu 5 nani alirusha?

Yote hayo akikuwa Magufuli yule?

Wewe sema tu kama ni miongoni mwa wale waliachiwa mimba na mwamba tukuelewe chanzo cha hasira zako!
Chawa wa Bibi Tozo watakuja na majibu.
 
Sikujua kama World Bank ni waongo kiasi hicho. Hatukuwahi kujitangaza kuwa tulifikia uchumi wa kati, bali tulitangazwa. Juzi Rais Samia kaenda kupokea tuzo kwa maendeleo makubwa ya miundombinu Tanzania ambayo kwa kiasi kikubwa ilitupeleka kwa uchumi wa kati. Je unafahamu yeye Rais Samia alisema hiyo tuzo aliistahili nani???
Lichukue hili jambo kitaaluma bila ushabiki then ulete mrejesho kama ni kweli takwimu zao zina aksi uharisia.
 
H

Hivi upo serious au ni mabangi! Au unafikiri watz wote ni mataahira kama wewe?
Wenye utimamu wa akili wote wanajua rais wa Tz alikuwa Magu TU ukiacha Mel. J.K. Nyerere! Wewe na mandondocha wenzako mnaoishi kitapelitapeli endeleeni ni upuuzi wenu mfyuuuuu !
Mbuzi jike
 
Yule bwana alikuwa ni mjinga na asiyetumia akili..

Aliwekeza nguvu kubwa kuhangaika na wapinzani na wakosoaji,Samia saizi kawaacha wanajisemesha wee lakini anawapuuza..

Moja ya mambo yaliyonikera kipindi cha Mwendazake ni kuanzisha mradi wa sgr ambao ni hasara kubwa Sana kama Nchi tumepata na tutaendelea kupata kwa miaka mingi ijayo..

Pesa zilizozikwa kwenye sgr pekee zaidi ya Til.15 zilitosha kujenga zaidi km 12,000 za lami Nchi nzima..

Hizi barabara zingefungua Sana fursa ya Nchi hii then baada ya 2025 ndio tungeanza kuwekeza kwenye reli tukiwa na uchumi mkubwa na bila kuumiza sekta zingine..

Hili jambo linaniuma Sana,pili aliua sekta binafsi ambayo ilikuwa imeanza kufanya vizuri enzi za JK,angeendeleza pale leo hii Tanzania ingekuwa na Uchumi mkubwa sana Sasa ni kila tumeanza upya..

I second him kwenye mradi wa Bwawa la umeme tuu,vingine vyote ni vidogo vidogo hata haifai kujisifia..
Jamaa alikuwa hopeless kabisa
 
Wewe jamaa mbona Magu alifungua miradi kibao ya Kikwete ikiwemo tazara na daraja la kigamboni, ujenzi wa miundombinu ya jamii ni jambo la kawaida ila kuongoza taifa unapaswa kuwa na akili ya zaida. Taifa ina roho na uhai wake ni usalama na umoja wakitaifa. Maguu aliamini vitu kuliko utu ndio maana kwenye utawala wake hofu ilikuwa kubwa sana kuliko ilivyo Sasa. Watanzania tulipaswa kusifia tu kuliko kukosoa hata kwa jambo jema. Kuliibuka makundi ya untouchable wanaongea na kuropoka wanavyojisikia. Kiungozi mzuri anasifiwa kwa utu sio vitu
Magu alikuwa sadist, hopeless kabisa
 
Back
Top Bottom