Rais Samia amechanga karata zake vizuri

Rais Samia amechanga karata zake vizuri

Tulikuwa tunawaambia kuwa Magufuli alikuwa mjinga, mshamba, katiri, zero brain kabisa, mkadhani tulikuwa tunamchukia.

Ubabe wa Magufuli ulifanya nchi irudi nyuma, socially, economically na politically. Yeye aliamini kutumia nguvu,kuteka, ua, filisi, funga wapinzani na kadharika, pamoja na yote.

- Magufuli alifeli vibaya Sana kiuchumi, alikopa Hadi Basi, maana aliua uchumi na kuvuruga diplomasia wakati nchi yake Ni masikini ata GDP yake haifiki ata $70b.

- Alishindwa kutengeneza ajira, angalia sahivi angalau ajira zimefunguka, kila sector inaajiri, Magufuli alichofanya Ni kupunguza wafanyakazi Basi.

- Alishindwa kupandisha madaraja na mishahara kwa miaka 5, wakati mwezake mwaka tu kafanya yote.

- Statistically Magufuli alijenga barabarani chache Sana, ukilinganisha na mtangulizi wake JK, kwa miaka mitano yaani JK(2005-2010) na yeye (2015-2020) kwa miaka mitano ya Magufuli bajeti ya Tarura haikuwai zidi Tsh200b wakati Samia now Ni 800b.

- Aliharibu diplomasia, ubabe wa kishamba, sasa ukiwa na Bunge la chama kimoja ni sifa, lijitu halikuwa na aibu yaani hata nchi zilizoendelea Mabunge yao unakuta majority ni 51% na minority Ni 49%, lakini huyu Jiwe alitaka 100% iwe CCM tu.

Samia baada ya kuingia madarakani akaanza na umagufuli, kwa kumfunga Mbowe, nadhani matokeo aliyaona, Samia alichukiwa saaana kipindi Mbowe Yuko rumande, alipokuwa anaenda nje alikuwa anaulizwa kuhusu Mbowe, Mbowe, Mbowe. Akipost kitu yalikuwa Ni matusi tu, maana watu walikuwa na hasira naye.

Baada ya kumtoa Mbowe akacheza kiakiri, akashikana nae na kuahidi kushirikiana nae, believe me, Samia sio kwamba anampenda Sana Mbowe, lakini ameona siasa za kukomoana hazimsaidii kitu zaidi ya kuvuna chuki.

Now anakutana na wanasiasa wa upinzani, mpaka sherehe zao anaudhuria, kwa kufanya hivyo
- Amepunguza chuki kwa Watanzania
  • Anajitengenezea njia ya kuaminiwa kimataifa
  • Sahivi anatawala kwa raha Sana
Believe me Samia atatawala kwa raha Sana kuliko JPM, maana siasa za chuki anazizika, na inakuwa credit sana kwake.
Tumekusikia..nenda kanye kisha ukalale.
 
sasa wewe unalingana na yupi kati yao??upuuzi uko nao tunaujua sisi tuko nawewe jf 24hrs,hamna mtu kalio kama wewe yaani.
Mimi nalingana na watu waungwana tu. Siwezi kulingana na mijitu mijizi, minyang'anyi na miuaji kama hayo akina Sabaya/ Makonda/ Magufuli
 
Wa hovyo ni wewe na mtazamo wako! Sasa hayupo Fanyeni basi hata robo TU ya alichokuwa anakifanya kwa nchi yake na raia wake kama ninyi mna maana yoyote mfyuuuuu!
Mnapiga makelele ya kipumbufu wakati raia wanataka maendeleo kwa kuboresha huduma! Mnachoweza ni kukatakata umeme, na maji! Kupandisha bei vitu kwa kuachia mfumko wa bei! Mnachoweza ni wizi TU mapungu nyie mfyuuuuu!
Alifanya nini ambacho wengine walishindwa kufanya? Au wewe Hero umezaliwa mwaka 2010 hivyo hujui kazi wamefanya akina Mkapa, Mwinyi na Nyerere?

Shetani wa Chato aliwajaza propaganda za uwongo kwa vile alijuwa watanzania wengi ni wajinga
 
Siku hizi Jukwaa la Siasa halina tofauti sana na Jukwaa la Jokes; Chit-chat au Jukwaa la Porojo kama lingekuwepo
 
Alifanya nini ambacho wengine walishindwa kufanya? Au wewe Hero umezaliwa mwaka 2010 hivyo hujui kazi wamefanya akina Mkapa, Mwinyi na Nyerere?

Shetani wa Chato aliwajaza propaganda za uwongo kwa vile alijuwa watanzania wengi ni wajinga
Kama hujui basi akili yako hauwezi kufunzika!
 
Mwelekeo wa kiuongozi ni mzuri lakini ukifuatilia vizuri bunge utaona kuwa kwa mwaka mmoja huu wizara ya fedha imeshindwa kupeleka fedha kwenye budget ya maendeleo ambapo sekta nyingi zimepata kuanzia 0-3% ya kiwango kilichopangwa.Hii inamaanisha mapato mengi yanagharimia matumizi ya uendeshaji wa serikali kuu na serikali za mitaa yaani safari,posho,mishahara, nk
 
Baada ya kumtoa Mbowe akacheza kiakiri, akashikana nae na kuahidi kushirikiana nae, believe me, Samia sio kwamba anampenda Sana Mbowe, lakini ameona siasa za kukomoana hazimsaidii kitu zaidi ya kuvuna chuki.

Now anakutana na wanasiasa wa upinzani, mpaka sherehe zao anaudhuria, kwa kufanya hivyo
- Amepunguza chuki kwa Watanzania
Mkuu 'Mto wa mbu',

Andiko lako hili ni ushuda wa waTanzania kuwa na kumbukumbu mbovu kabisa na ni watu wanaochotwa akili kirahisi sana.

Ngoja nikueleze hili:
Huyu Samia si alikuwa pamoja na Magufuli, au umesahau mara hii?

Wakati akiwa na Magufuli ulisikia lolote kinyume na kumpamba Magufuli, pamoja na hayo yote mabaya ya Magufuli uliyoyaeleza hapo juu, ambayo nami naungana nawe juu yake, lakini Samia hakuyaona!

Basi, ukweli ndio huu, Samia unavyomwona sasa na akina Mbowe, usidhani anayofanya yako moyoni mwake, bali ni mwendelezo ule ule uliokuwa ukiuona akimfanyia Magufuli.

Sasa sijui kama kweli umenielewa!

Uongozi wa kinafiki, kiujanjaujanja haujawahi hata siku moja kuwa uongozi bora.

Subiri itakapofika wakati utaona jinsi Samia atakavyowaruka hao akina Mbowe.

Sasa hapo sijui utasemaje? Bila shaka utaendeleza mapambio juu yake alivyo na uwezo wa kuhadaa wajinga.
 
Ni kweli Ila Ana haribu uchumi Sana na kusababisha rushwa I we kubwa
 
Mama Samia uwezo wake ni vitu vidogo vidogo vya kufurahisha, sio mambo makubwa ya kujenga nchi.
Umeandika mstari mfupi tu lakini wenye uzito mkubwa sana.

Lakini kidogo ninasita kukubaliana nawe juu ya ukweli uliouweka hapa kwa sababu moja tu.

Samia pamoja na uwezo wake wa kufanya mambo makubwa haupo, lakini matokeo ya kazi yake anayoifanya sasa hivi itakuwa na 'impact' kubwa sana kwa Tanzania, 'impact' ambayo itakuwa ni hasi kwa manufaa ya nchi hii. Kwa sababu hana uwezo wa kuwadhibiti hao anaowafungulia na wala haweki maandalizi yoyote ya kuhakikisha kuwa shughuli za hao watu zitakuwa ndani ya usimamizi imara.

Hili linanitisha sana.

Kama ataendelea na mpango wake huu wa kunadi kila kitu katika jina la 'uwekezaji', na kukumbatia anaowafungulia nchi, katika miaka hii hadi 2025, hali ya mfumo wa kibiashara itakuwa imebadilika sana. Ni hali inayonitia hofu sana juu yake.
 
Samia huenda akaja kuwa rais bora kabisa kuwahi kutokea. akiweza kufanya haya:

1.kujali watu wa chini, Wamachinga
2.Ajira kwa vijana ziongezeke
3. Demokrasia na utawala bora
4. Wakulima , wafanyabiashara, na wafanyakazi mambo yao yawe sawa
5.Dhibiti ufisadi
6. Malizia miradi ya kimkakati ya Magufuli
7. Alete katiba mpya
8. Aweke naye miradi yake
 
Mimi nalingana na watu waungwana tu. Siwezi kulingana na mijitu mijizi, minyang'anyi na miuaji kama hayo akina Sabaya/ Makonda/ Magufuli
muungwana huwa haweki kinyongo mwaka mzima,muungwana anajua kifo sio adhabu ni njia yake pia,muungwana husikitikia waovu badala ya kuwanenea mabaya.

hufai kuitwa hata mtu anayesaidia kazi za ndani waungwana.
 
Umaskini mkubwa ndio maana World Bank wakkaitangaza Tanzania kuwa nchi yenye uchumi wa kati. Amekufa Maghufuli hata miaka 2 bado the same World Bank wanairudisha Tanzania katika nchi yenye uchumi duni. Huo ndio umaskini ulioletwa na JPM???
Ndio uliletwa na yeye kwani uongo??alikuwa anapika data tu.alifeli kwa kila jambo mleta mada umesema kweli yote.aliamini kwenye kuvuruga nchi,vuruga uchumi wa nchi na wa wananchi,ukabila ulishamili hasa wa kipande cha wale washamba wachunga ng'ombe.
 
Back
Top Bottom