Rais Samia akiwa Rwanda - Agosti 02, 2021

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,582
6,627
IMG_4512.jpg

IMG_4510.jpg

IMG_4509.jpg

IMG_4508.jpg
 
Ile bandar kavu pale Ruvu itarejea..! Kuhusu madini...Mungu tusaidie..
Ni kilio Ila ipo siku tunaemlilia atatujibu kilio chetu, huenda Musa yupo Midian na anajianda kuja kuonana na Haruni Kisha waende kuomba tupewe ruhusa ya kuondoka kwenda nchi ya ahadi japo sio kwa urahisi😢😢😢
 
Ni kilio Ila ipo siku tunaemlilia atatujibu kilio chetu, huenda Musa yupo Midian na anajianda kuja kuonana na Haruni Kisha waende kuomba tupewe ruhusa ya kuondoka kwenda nchi ya ahadi japo sio kwa urahisi
Aaameeen...!!!
 
Nipo kupunga upepo kuelekea upande wa kuchwa kwa jua nasikiliza wimbo usiotafrika kwa lugha rahisi bali kwa aliejawa na ile ahadi tulioisubiri ya hamsini baada ya Yesu kuondoka, naimani mda saa na wakati uko karibu maana natokwa na chozi lisiloweza kufutika ambalo ni ngumu mtu kuliona chozi Hilo😢😢😢😢
 
Nipo kupunga upepo kuelekea upande wa kuchwa kwa jua nasikiliza wimbo usiotafrika kwa lugha rahisi bali kwa aliejawa na ile ahadi tulioisubiri ya hamsini baada ya Yesu kuondoka, naimani mda saa na wakati uko karibu maana natokwa na chozi lisiloweza kufutika ambalo ni ngumu mtu kuliona chozi Hilo
Mkuu mimi usingizi umegoma
 
Back
Top Bottom