RAIS SAMIA AIPA NCHI HESHIMA KIUCHUMI

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
580
Reaction score
546

✅️Mbunge aeleza alivyoanza kuwatoa Watanzania kuombaomba misaada.
✅️Aeleza alivyoondoa utegemezi Kidogokidogo hadi kubakia asilimia 0.9
✅️Alianza kupunguza kutoka Shilingi trilioni 1,Shilingi bilioni 925,Sasa bilioni 563.
 
Ni kweli ameweza kuondoa utegemezi na sasa Deni la Taifa ni Tsh. Trillion 114.3 na linaendelea kushuka kwa kasi... Na mategemeo yetu baada ya mwaka 2030 Deni hili litaisha kabisa na kufikia Tsh. Trillion 145 ambapo tutakuwa hatudaiwi...



Kazi na utu, tunasonga mbele
 
"UKIWA MPUMBAVU WEWE MWENYEWE HAUJIJUI KUWA MPUMBAVU BALI WATU WANAODHURIKA NA UPUMBAVU WAKO!!
 
Hawa chawa ni viazi vitamu

Hovyo kabisa...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…