Rais Samia afungua Mkutano wa Wadau wa Demokrasia Barani Afrika wa Viongozi wakuu wastaafu, Julai 17, 2023

Mh Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ashiriki..

1. Maazimisho ya siku ya Utamaduni na vyakula vya bahari, huko Zanzibar.
2. Ashiriki maadhhimisho ya miaka 59 ya uhuru wa Malawi, huko Lilongwe, Malawi.
3. Ashiriki maadhimisho ya kilele cha siku ya kupambana na rushwa Afrika, huko Arusha.
4. Ashiriki maadhimisho ya kilele cha miaka 60 ya JKT, huko Dodoma.
5. Ashiriki maadhimisho ya kilele cha siku ya madawa ya kulevya, Arusha.
6. Ashiriki maadhimisho ya siku ya mwaka mpya wa waislamu huko Zanzibar.
7. Ashiriki maadhimisho ya mahafali ya 60 ya chuo kikuu cha Dsm, Dsm.
8. Ashiriki maadhimisho ya siku ya Haki Jinai, Dsm.
9. Ashiriki chakula cha pamoja na timu ya Yanga.
10...
11.
TISS wanamuweka busy asisikie kelele za mkataba mbovu wa bandari, ambao naamini hata yeye ni miongoni mwa waliohongwa ili kuupitisha.
 
Mtu mmoja kwa siku moja!!

Angekuwa male sijui ingekuwaje
 
TISS wanamuweka busy asisikie kelele za mkataba mbovu wa bandari, ambao naamini hata yeye ni miongoni mwa waliohongwa ili kuupitisha.
We endelea kuhangaika na bandari isiyokuhusu wakati wenzio wako busy kutafuta fursa.
Siku ukija kuzinduka watu washatoboa
 
Mh Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ashiriki..

1. Maazimisho ya siku ya Utamaduni na vyakula vya bahari, huko Zanzibar.
2. Ashiriki maadhhimisho ya miaka 59 ya uhuru wa Malawi, huko Lilongwe, Malawi.
3. Ashiriki maadhimisho ya kilele cha siku ya kupambana na rushwa Afrika, huko Arusha.
4. Ashiriki maadhimisho ya kilele cha miaka 60 ya JKT, huko Dodoma.
5. Ashiriki maadhimisho ya kilele cha siku ya madawa ya kulevya, Arusha.
6. Ashiriki maadhimisho ya siku ya mwaka mpya wa waislamu huko Zanzibar.
7. Ashiriki maadhimisho ya mahafali ya 60 ya chuo kikuu cha Dsm, Dsm.
8. Ashiriki maadhimisho ya siku ya Haki Jinai, Dsm.
9. Ashiriki chakula cha pamoja na timu ya Yanga.
10...
11.
Mambo magumu hayawezi
 
Work hard,its over!, yaani kuhusu bandari ni kujisumbua bure na kupoteza muda sisi CHAMA kubwa tumeshapitisha and no one is able to reverse,tusonge mbele time is money!
Jifunzeni kuweka akiba ya maneno... kwa jiwe mlitapika yote sahv yupo anagalagala kaburini mmeishiwa pumzi.. hata kwa Samia kuweni na aibu na mbakishe maneno hayawani nyie.
 
Ukiuliza mmiliki unaambiwa ni muarabu, lakini kiukweli ni ya huyo mstaafu. Hata hawa DP World tunaoambiwa ni ya waarabu sio kweli, ni kiongozi wetu ndio mwenye deal. Ndio maana unaona kuna utata mkubwa kwenye huo mkataba. Hakuna popote mtia saini ni kiongozi kutoka UAE, lakini huku kwetu ni rais! Hapo inabidi tuchanganye na zetu.
Upo sahihi kabisa.

Richmond pt.2
 
Kafungua mkutano wa demokrasia huku yeye hataki demokrasia.hataki watu wamkosoe kuhusu kuuza bandari.kama unapenda demokrasia basi uruhusu watu wakukosoe na hiyo ndiyo femoktasia ya kweli.Maana huo mkataba ni kichaa pekee anayeweza kuukubali
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akifungua Mkutano wa Wadau wa Demokrasia Barani Afrika unawahusisha Viongozi Wakuu Wastaafu wa Nchi mbalimbali Africa katika Ukumbi wa Mikutano wa Gran Melia jijini Arusha.

Toka Rais Samia aingie madarakani Tanzania inang'aa sana kwenye conference Tourism yaani mikutano ya Kimataifa haikauki.

Rais mwenye Nyota analeta pesa Juu ya pesa.
 
Back
Top Bottom