Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,440
- 29,982
Niliandika tarehe 13/09/2021 nayo itapita wamachinga wstakuwapo, Leo tarehe 13/09/2021 Rais akiongelea kuhusu wamachinga alisema hataki kuona nguvu yoyote ikitumika kuwaondoa wamachinga.
Unaahisi wamachinga wataondoka bila kelele na vurugu? Ukisema uwapange vizuri, kwa jiji Kama la dar utawapeleka wapi?Hujamuelewa Mh Rais.
Kasema waondolewe kwa utaratibu bila kelele na vurugu.
Hiyo ni Go ahead ya Wamachinha kuondolewa. Hiyo kinga hakuna tena ya kutoguswa.
Ila mbona makusanyo yameongezeka? Mwezi uliopita makusanyo yalikuwa trillion 1.6.Tunakosa kodi kwa sabbu ya kutaka kura 2025... Haya ni matatizo mengi ya kiafrica...
Wafanya biashara siku hzi hawauzi bidhaa zao kwenye maduka.. Maduka yanakuwa kama store room.
Mmachinga apewe sehemu anayoitaka yeye, ipi hiyo! Wamepewa masoko wameyakataa, kila wapopewa hawataki wao wanataka katikati ya barabara.Hujamuelewa Mh Rais.
Kasema waondolewe kwa utaratibu bila kelele na vurugu.
Hiyo ni Go ahead ya Wamachinha kuondolewa. Hiyo kinga hakuna tena ya kutoguswa.
Hujamuelewa, kasema wanatakiwa wapangiwe maeneo rasmi sio kuzagaa ovyo lakini akataka zoezi hilo lisifanyike kwa vurugu na kuumizana.Niliandika tarehe 13/09/2021 nayo itapita wamachinga wstakuwapo, Leo tarehe 13/09/2021 Rais akiongelea kuhusu wamachinga alisema hataki kuona nguvu yoyote ikitumika kuwaondoa wamachinga, kauri hii ya Rais ni muendelezo wa kuwajengea kiburi wamachinga...
Kupangwa vizuri ndio kuwapanga vipi.Machinga wapangwe vizuri sio kwa kuwa tu Raisi kasema hivyo basi Watendaji nao wasuse...
Wanaondolewa wanapelekwa wapi?Hujamuelewa Mh Rais.
Kasema waondolewe kwa utaratibu bila kelele na vurugu.
Hiyo ni Go ahead ya Wamachinha kuondolewa. Hiyo kinga hakuna tena ya kutoguswa.
Hawatakuta vibanda vyao.Unaahisi wamachinga wataondoka bila kelele na vurugu? Ukisema uwapange vizuri, kwa jiji Kama la dar utawapeleka wapi?
Kikwete alijenga machinga complex Ila bado hawakwenda
Machinga wasikae kwenye maduka ya watuMachinga wapangwe vizuri sio kwa kuwa tu Raisi kasema hivyo basi Watendaji nao wasuse.
Na ikiwezekana Mh Raisi awape kipimo Watu wake kuhakikisha Watu wanapangwa vizuri na kuhakikisha hapo walipo sasa hawaongezeki tena...Waliopo wandikishwe watambulike kwa kupewa vile vitambulisho vyao wachangie mapato.
Yote haya yanawaezekana kupitia Viongozi wenye vision na busara.
Walipewa masoko yaliyojengwa na mradi wa kuboresha manispaa DMP na wameyatelekeza. Mbagala waliambiwa wawapishe wajenzi wa barabara, wamegoma kuondoka na kusababisha usumbufu kwa wajenzi kwa kutupa taka wanamojenga na kukanyaga lami mbichi. Mmachina ni sawa na wale ndege wanaokaa migongoni mwa wanyama mbugani.Hujamuelewa, kasema wanatakiwa wapangiwe maeneo rasmi sio kuzagaa ovyo lakini akataka zoezi hilo lisifanyike kwa vurugu na kuumizana.
Kasema hataki fokea watu... mbona hilo ni agizo tayari waondolewa! Katumia tu soft language ila between the lines ni kwamba waondolewe maana serikali inakosa mapato!
Hakukua na matozo ya ajabu ajabu kama sahiviIla mbona makusanyo yameongezeka? Mwezi uliopita makusanyo yalikuwa trillion 1.6.
Kipindi Cha kikwete ambapo machinga hao unaowasema hawakuwepo lakini makusanyo kwa mwezi ilikuwa bil 800