Rais Samia afanya uteuzi Huu

Rais Samia afanya uteuzi Huu

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
36,518
Reaction score
23,846
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge amefanya uteuzi huu.

Sitaki kuwachosha ila nawaachia na kuwawekea Taarifa ya Ikulu ili Msome wenyewe Muone wenyewe nani kateuliwa na Rais wetu anayesifika kwa ujasiri,umadhubuti , ushupavu,uimara na Umakini wa hali ya juu sana wa kiuongozi.

Rais Mwenye maamuzi Magumu lakini makini na asiye ogopa wala kuhofia wala kuteteleshwa katika kufanya maamuzi Mazito kwa maslahi mapana ya Taifa letu.

Rais Ambaye Ameowaonyesha kwa Vitendo Watanzania kwa nini anastahili kupewa muhula wa pili.Rais Samia ni kiongozi ambaye amewafanya Watanzania wajivunie na kutembea vifua mbele ,Kiongozi ambaye amempa sababu kila mtanzania ya kumpigia kura ya ndio hapo Mwakani,Rais na kiongozi ambaye Ameowaonyesha Watanzania kuwa Urais wake hauna ubia na mtu zaidi ya kuwatumikia watanzania ambao ndio wabia wake waliompatia mamlaka yote na nguvu zote kikatiba na kisheria.

Rais Samia ni kiongozi aliyelituliza Taifa na kulifanya kutamalaki kwa amani , utulivu na upendo.Taifa sasa lina zungumza lugha moja na hata maadui hawawezi kupenya katikati yetu kwa kuwa tupo pamoja na tupo tayari kumkabili adui yeyote yule atakayejitokeza mbele yetu kama Taifa.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Screenshot_20240731-200034_1.jpg
 
Back
Top Bottom