Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,120
- 879
Ni muuaji kwa uchu wa madaraka fullstop.View attachment 3595868
Ni wazi kuwa uongozi wa Mama Samia unaendelea kuonyesha sura ya upendo, mshikamano na umoja wa kitaifa. Kupitia salamu hizi za heri ya Eid Al Adha, ameonesha kuwa yeye ni kiongozi wa wote anayejali waumini wa dini zote bila ubaguzi na mwenye kuamini kuwa Tanzania ni ya Watanzania wote bila kujali tofauti za kiimani au vyama vya siasa. Hii ndiyo tafsiri halisi ya uongozi unaounganisha watu, unaojenga utu na kuhimiza amani. Mama Samia anatosha; anabeba kila kundi kwa moyo wa upendo na taifa kwanza.
ujasiri na umadhubuti wa Dr Samia Suluhu Hassan na serikali yake sikivu ya CCM, ndio msingi wa umoja, amani na usalama wa taifa letu Tanzania.View attachment 3595868
Ni wazi kuwa uongozi wa Mama Samia unaendelea kuonyesha sura ya upendo, mshikamano na umoja wa kitaifa. Kupitia salamu hizi za heri ya Eid Al Adha, ameonesha kuwa yeye ni kiongozi wa wote anayejali waumini wa dini zote bila ubaguzi na mwenye kuamini kuwa Tanzania ni ya Watanzania wote bila kujali tofauti za kiimani au vyama vya siasa. Hii ndiyo tafsiri halisi ya uongozi unaounganisha watu, unaojenga utu na kuhimiza amani. Mama Samia anatosha; anabeba kila kundi kwa moyo wa upendo na taifa kwanza.
Ujasiri wa kuua na kulawiti na ujasiri kwa kuiba ameua umoja na Amani na usalama wa nchi yetu na bado machawa mnamdanganya.ujasiri na umadhubuti wa Dr Samia Suluhu Hassan na serikali yake sikivu ya CCM, ndio msingi wa umoja, amani na usalama wa taifa letu Tanzania.
viva Dr Samia Suluhu Hassan viva π₯π
Mteule wa Mungu hawezi kuwa mchafu hivi na mwenye laana ya damuView attachment 3595868
Ni wazi kuwa uongozi wa Mama Samia unaendelea kuonyesha sura ya upendo, mshikamano na umoja wa kitaifa.
Kupitia salamu hizi za heri ya Eid Al Adha, ameonesha kuwa yeye ni kiongozi wa wote anayejali waumini wa dini zote bila ubaguzi na mwenye kuamini kuwa Tanzania ni ya Watanzania wote bila kujali tofauti za kiimani au vyama vya siasa.
Hii ndiyo tafsiri halisi ya uongozi unaounganisha watu, unaojenga utu na kuhimiza amani. Mama Samia anatosha; anabeba kila kundi kwa moyo wa upendo na taifa kwanza.
View attachment 3595868

Khasss sirikali haramu...imejaa damu wasio hatiaujasiri na umadhubuti wa Dr Samia Suluhu Hassan na serikali yake sikivu ya CCM, ndio msingi wa umoja, amani na usalama wa taifa letu Tanzania.
viva Dr Samia Suluhu Hassan viva π₯π
punguza porojo nonsense gentlemanKhasss sirikali haramu...imejaa damu wasio hatia
Subiri ban inakuja nchi itayumba...atupishe tu sababu ziko nyingipunguza porojo nonsense gentleman
huenda ikakupata na kukuyumbisha wewe tu mvivu unayoisubiri gentlemanSubiri ban inakuja nchi itayumba...atupishe tu sababu ziko nyingi
Mnajibizana wenyewe Kwa wenyewe kama mazuzu mawili yamefungiwa chumba kimoja.ujasiri na umadhubuti wa Dr Samia Suluhu Hassan na serikali yake sikivu ya CCM, ndio msingi wa umoja, amani na usalama wa taifa letu Tanzania.
viva Dr Samia Suluhu Hassan viva π₯π
relax na utulize mihemko nonsense ikiwa huna point gentlemanMnajibizana wenyewe Kwa wenyewe kama mazuzu mawili yamefungiwa chumba kimoja.