Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,077
- 7,079
Wewe mama wa particles za maharageAnatoa mkono wa kushoto, anaweka wa kulia..!!
š¤š¤š¤š¤Anatoa mkono wa kushoto, anaweka wa kulia..!!
Atasema amepewa na wajomba zake wa Oman, kwa sababu eti wanampenda sana.Kazitoa wapi?
Hivi hizi hela huwa anazitoa wapi?Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania amechangia kiasi cha shilingi milioni 100 za Kitanzania usiku wa CCM gala dinner 2025 katika harambee ya kuchangia bilion 100 kuchangia Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wawakilishi, Wabunge na Urais.
View attachment 3439433
Tunasubiri mchango wa mfadhili wa wahuni na kiongozi wao, Lucas hebu tuambie wamechanga tone tone shing ngapi?Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania amechangia kiasi cha shilingi milioni 100 za Kitanzania usiku wa CCM gala dinner 2025 katika harambee ya kuchangia bilion 100 kuchangia Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wawakilishi, Wabunge na Urais.
View attachment 3439433
Unauliza rais kazitoa wapi miloni 100 una akili timamu kweli wewe?Kazitoa wapi?
Exactly my questionKazitoa wapi?
Tabia ya kibaka ni kujiibia kulia kwake na kuhamishia kushoto kwake.Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania amechangia kiasi cha shilingi milioni 100 za Kitanzania usiku wa CCM gala dinner 2025 katika harambee ya kuchangia bilion 100 kuchangia Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wawakilishi, Wabunge na tabia.
12MMshahara wake kiasi gani?
nilimsikia msigwa akisema ni pesa toka kwenye fungu la mfuko wa rais(akitoa ufafanuzi juu ya pesa za goli la mama).Hivi hizi hela huwa anazitoa wapi?
Nchi ina vichekesho hii, kwamba tunatoa kwa mkono wa kulia na kupokea mkono wa kushoto ,acha nijipe furaha ya moyo kabla ya yule mzanzibar wa October, kuja kuchamba , utamsikia blabla then anamaliza na badoMwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania amechangia kiasi cha shilingi milioni 100 za Kitanzania usiku wa CCM gala dinner 2025 katika harambee ya kuchangia bilion 100 kuchangia Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wawakilishi, Wabunge na Urais.
View attachment 3439433