ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 43,733
- 90,370
Mzee baba hii nchi ngumu sana, kuiongoza inahitaji zaidi ya kudemkaHahahahah majibu yatakuwa kama hivi:
Ufisadi vs Huduma bora. 5-0
Rushwa vs Haki. 7-1
Uwazi vs Kuminywa. 2-1
Hapo ndipo atakapokumbukwa yule ambaye anadhihakiwa na kukiri kuwa jamaa ndiye aliiweza nchi!