Rais Samia achana na kuikumbatia CCM, fanya kazi zenye Maslahi mapana kwa Watanzania

Mkuu tuache kwanza tusheherekee.

Nipo nimechinja jogoo kusheherekea kundolewa ile 'compound interest rate" ya 6% ya loan board aliyeanzisha Rais wenu "madhubuti" maana Deni lilikuwa haliishi linajizalisha tena utafikiri magugu maji na tumaini la kupanda daraja mwaka huu.

Adumu madarakani kwa miaka mingi Madame President.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom