Rais Samia achana na kuikumbatia CCM, fanya kazi zenye Maslahi mapana kwa Watanzania

Mabadiliko ya sheria yatatupeleka uchumi wa kati?? Watanzañia sijui tumelogwa?? Fanyeni kazi uchumi ukue tuondokane na umasikini! Hizi siasa zisizo na tija hazitatupeleka uchumi wa juu!

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Technically,

Huyu siye Rais kiongozi wa nchi anayetarajia kushika madaraka ya nchi baada ya mharibifu Magufuli kuondoka zake kwa kifo...

Huyu anapita tu. Yupo Rais aliyetabiriwa anakuja. Sifa yake kuu ni UCHA MUNGU...
Huyu ndiye mharibifu Magufuli amejenga kila kitu kuanzia miundombinu mpaka uchumi wa taifa! Muulize huyu anaplan gani au amefanya nini?


Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Naweza sema mleta mada hujielewi na huna subira pia... Mwendazake alikua hataki ushauri anachooamua kaamua. Tukawa tunalia tunapelekwa ki dictator saiv Kaja mtu anasikiliza watu ety unamuita zaifu..... Mnakeraaa kishenzi yaan
Magufuli alisema mtamkumbuka! Ila imekuwa mapema mno!


Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Mie nashangaa kuona anaruhusu COVID-19 waendelee kulipwa kiharamu pesa chungu nzima za walipa kodi bila kutia neno. Hizo pesa hao COVID-19 watazitolea tundu lolote kwenye miili yao.
Kazi wanayofanya hao unaowaita covid 19 unataka afanye mamaako?? Hao kazi wanayoifanya ni muhimu kwa taifa na waendelee kuchapa kazi kwa maslahi ya taifa! Nyie endeleeni kupiga porojo


Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Acha upuuzi we mataga, mama yupo vizuri acha aendelee kuliponya taifa baada ya kuharibiwa kwa miaka 6. Usifikiri ni jambo rahisi kama unavyofikiria.
Ndege,Madaraja,SGR,Nyerere project,Terminal 3,Stendi ya Mbezi,Viwanda,Barabara,madarasa,Elimu bure,Kukomesha rushwa, nidhamu kazini.... na mengineyo mengi tu ndio ulikuwa uharibifu?? Haya sasa ngoja tuone huo ujenzi


Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Uko sahihi kabisa naunga mkono hoja
 
Makusanyo ya kodi yenyewe kasema hataki walipa kodi wasumbuliwe... bongo hii unawajua walipa kodi vizuri?? Unategemea atakusanya kiasi gani?? Atawezaje kuendesha nchi??


Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Hakuna Rais hapo. Tuna kiongozi wakupiga porojo tu, utekelezaji zero. Hii miaka yake minne ya utawala wa "blah blah" itaurudisha uchumi chini kabisa, trust me.
 
thats true mkuu. nimeshangaa sana alipoongea na kujiamini kuwa mwakani anapandisha mishara. itakuaje kama mambo yatakuwa kama yalivyo sasa. huwezi toa promise kama vile
Amesema ulipwaji kodi uwe wa kubembeleza anawajua walipa kodi vizuri?? Tuone hiyo hela ya mishahara atatoa wapi!

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Comrade ivi pwagu bila pwaguzi kweli comedy ita swihi!?
 
Kweli aise

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…