Bubu Msemaovyo
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 4,189
- 3,548
Hiyo ni RUSHWA KAMILI. TAKUKURU hata kama hamuwezi kumkamata badi KEMEENI ILI NA WENGINE WANAOTAKA KUFANYA HIVYO WAACHE.Mtoto wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aitwaye Abdul Halim Hafidah Ameir ameahidi kutoa Tsh. Milioni 30 kwenye harambee iliyoandaliwa na Muhashamu Askofu Flaviani Katindi Kasala wa Jimbo Katoliki la Geita, kwa kushirikiana na Baba Paroko Padri Japheth Masalu wa Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Daima Kome kwa ajili ya ukarabati wa Kanisa la Parokia hiyo na maandalizi ya Jubilee ya miaka 125 ya uinjilishaji pamoja na ujenzi wa nyumba za Watawa.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Source: clouds fm