chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 12,180
- 25,417
Duh
Hilo mmeachiwa nyie nyumbu mseme itakavyokupendezeni na utahira wenu!Amealikwa au ameomba aalikwe?
Unadhani huyo kiongozi wa kanisa lililofadhiliwa atakuwa na utashi au mamlaka ya kimaadili ya kukemea maovu ya mfadhili? Ni hatari kwa taasisi za kiimani kutumika kama kinga kwa watawala waovuKuna ubaya gani hapo?!
Kanisa langu linaanza kupoteza mwelekeo, linaanza kuwa materialistic churchMtoto wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aitwaye Abdul Halim Hafidah Ameir ameahidi kutoa Tsh. Milioni 30 kwenye harambee iliyoandaliwa na Muhashamu Askofu Flaviani Katindi Kasala wa Jimbo Katoliki la Geita, kwa kushirikiana na Baba Paroko Padri Japheth Masalu wa Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Daima Kome kwa ajili ya ukarabati wa Kanisa la Parokia hiyo na maandalizi ya Jubilee ya miaka 125 ya uinjilishaji pamoja na ujenzi wa nyumba za Watawa.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
View attachment 3288314
Source: clouds fm
Huyu Abduli ndiye janga la taifa kwa sasaLISSU alikua sahihi juu ya Abdul.
Nani kaikataa ?Sadaka hiyo imekataliwa.
Wewe huoni huyo ni Askofu?! Hata Pete ya uaskofu huioni? Vazi lenyewe la kiaskofu/kichungaji.Abdul ndo huyo?
Na yule kama kijana ana mwili mdogo ni yupi?
Ukhanithi huu sasa. Kanisa linapokea hela ya Abdul?Mtoto wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aitwaye Abdul Halim Hafidah Ameir ameahidi kutoa Tsh. Milioni 30 kwenye harambee iliyoandaliwa na Muhashamu Askofu Flaviani Katindi Kasala wa Jimbo Katoliki la Geita, kwa kushirikiana na Baba Paroko Padri Japheth Masalu wa Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Daima Kome kwa ajili ya ukarabati wa Kanisa la Parokia hiyo na maandalizi ya Jubilee ya miaka 125 ya uinjilishaji pamoja na ujenzi wa nyumba za Watawa.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Source: clouds fm
Bc hao clouds wameshindwa kuwasilisha taarifa vzr, leo h mtu ambaye hafatilii siasa za Bongo akiona hy post atajua huyo ndiye mtoto wa raisWewe huoni huyo ni Askofu?! Hata Pete ya uaskofu huioni? Vazi lenyewe la kiaskofu/kichungaji.
Ukute Adbul mwenye hakutaka kuonekana hadharaniBc hao clouds wameshindwa kuwasilisha taarifa vzr, leo h mtu ambaye hafatilii siasa za Bongo akiona hy post atajua huyo ndiye mtoto wa rais
Kwenye ziara za CDM haonekani??Sijui Wenje yupo wapi siku hizi?