Hata mm ninapata tumaini kwasababu sijawahi kusikia hyt. JPM akitamka neno HAKI na yeye SSH ndiyo leo namsikia akitamka neno hilo.
Hakuna amani ya kweli bila HAKI.
Sent from my A71 using JamiiForums mobile app
Ni wangapi wameachiwa since kaingia madarakani? Ni mambo mangapi kayabadili? Kuwa positive mkuu, hii ishu moja ya Mbowe isiwatoe ufahamuNimeanza kuhisi kauli za Samia hazina uzito, yeye atasema hivi wasaidizi wake watafanya vile, hana authority inayotakiwa kiongozi wa aina yake awe nayo, hii kauli yake nayo itapita tu, na polisi na mahakama zitaendelea kutumiwa na CCM kwa maslahi yake kama kawaida.
Kamama kanafiki haka, kakihojiwa BBC kalisema MBOWE ni gaidi.Baadhi ya wafuasi wa Chadema wameipongeza hatua ya Rais Samia kuitaka mahakama itende haki katika mashauri yanayoletwa mahakamani.
Baadhi ya wafuasi wa Chadema wamepongeza hatua hiyo ya Rais Samia na kusema sasa wana imani kesi za wanachama wao ambazo nyingi ni za kubumba zitapatiwa ufumbuzi wa haraka.
Hao wafuasi wa Chadema ulikutana nao kwenye ofisi au tawi la wapi? Unakaa na mtu kwenye kijiwe cha bia kisha unatuletea eti baadhi ya wafuasi ambao walikusanyika bila kukamatwa na polisi! Sema rafiki zako wamepongeza.Baadhi ya wafuasi wa Chadema wameipongeza hatua ya Rais Samia kuitaka mahakama itende haki katika mashauri yanayoletwa mahakamani.
Baadhi ya wafuasi wa Chadema wamepongeza hatua hiyo ya Rais Samia na kusema sasa wana imani kesi za wanachama wao ambazo nyingi ni za kubumba zitapatiwa ufumbuzi wa haraka.
Kuambizana kupo.... Ingawa kusikilizana hakupoNimeanza kuhisi kauli za Samia hazina uzito, yeye atasema hivi wasaidizi wake watafanya vile, hana authority inayotakiwa kiongozi wa aina yake awe nayo, hii kauli yake nayo itapita tu, na polisi na mahakama zitaendelea kutumiwa na CCM kwa maslahi yake kama kawaida.
Amenawa mikono... maandalizi ya hukumu ya kesi ya kihistoria iliyoko mahakamani. In short ametoa mwelekeo wa hukumu na yeye kujitoa kimtindo!
Jaji Mkuu mbona huwa anataka upelelezi wa kesi uharakishwe? Hii ni mihimili inayotegemeana siyo ILIYOTENGANA!Rais ana mamlaka ya kuamrisha mahakama kutenda au kutotenda haki?Angewakumbusha kufuata sheria!
Ndio maana DPP anaweza kuamua kutoendelea na kesi bwashee!Hivi Mahakama zetu zinahitaji kuelekezwa kutenda Haki ? Kama ndivyo ,basi kuna wakati zinaelekezwa kutokutenda Haki !
Ana haki na mamlaka ya kuagiza haki itendeke asichoweza na ambacho ni kuingilia uhuru wa mahakama ni kuagiza kesi iamuliweje.Rais hawezi kuiagiza mahakama, labda kama katoa ushauri...
Unaiona moja kama ndogo vile, lakini ni mbaya kwa taswira ya nchi .Ni wangapi wameachiwa since kaingia madarakani? Ni mambo mangapi kayabadili? Kuwa positive mkuu, hii ishu moja ya Mbowe isiwatoe ufahamu
Rais anaagiza mahakama itende haki badala ya mahakama kusimamia sheria kutenda haki,kwa hali hii uhuru wa mahakama uko wapi? siku nyingine Rais akiagiza mahakama nyonga huyu, funga huyu kifungo cha maisha mahakama itashindwa kutekereza maagizo ya Rais?.
Huu ni ubabe wa muhimili mmoja kwa muhimili mwingine. Katiba mpya ndio tiba.
... exactly! Siku zijazo akihojiwa atajitetea alikuwa mhimizaji na muumini mkubwa wa haki sio tu itendeke bali ionekane inatendeka! Halafu mashabiki wake na media wata-propagate hii maneno duniani kote wakimwimbia sifa kedekede.Amenawa mikono
Ana haki na mamlaka ya kuagiza haki itendeke asichoweza na ambacho ni kuingilia uhuru wa mahakama ni kuagiza kesi iamuliweje.